Search results

  1. M

    Zitto Kabwe: Wanasiasa wa Tanzania ni wanafiki

    kwa hiyo ccm hakuna unafiki sio
  2. M

    Majibu ya Kigwangalla: Kwa Nini Sikusaini Hoja ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (MB)!

    mnafiki tu ww ishia huko, umesahau issue ya madaktari nusura ikutoe kwenye chama! umepigwa mkwara na wanakuangalia ukirudia kupayuka payuka wana kupiga chini ndio maana unajitia kujenga hoja ya kuwa mawaziri watano na sio waziri mkuu, sasa kama ww mbunge unauwezo gani wa kuwangoa hao mawaziri...
  3. M

    Waraka wa TAMSYA kwa vyombo vya habari

    nyie watu hivi mbona mnapenda kulalamika? shule zote alizozitaja zilijengwa na wakristo na serikali ikazichukua na sasa zimewashindwa wanazirudisha kwa wakristo, sasa basi kama shule iligengwa na kanisa na wakaweka kanisa lao uliteka serikali ijenge ibomoe kanisa au ijenge msikiti, waisilamu mna...
  4. M

    CV ya Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo: Je inatosheleza kusimamia majukumu aliyopewa?

    sasa unafikiri angemteua nani kwa mkoa wa mbeya? wananchi ndio wabunge waliowachagua na jk anachagua mule nyie wananchi mliowachagua, mulugo anaziba nafasi ya lucas siame jamani ambae alikuwa waziri na alishindwa uchaguzi na chadema na ndio maana akina gideon cheyo wa ileje alikaa muda mwingi...
  5. M

    CV ya Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo: Je inatosheleza kusimamia majukumu aliyopewa?

    hao TISS unaowataja ndio walimpigia simu akiwa iringa na alikuwa anaelekea mbeya kwa hiyo walishamchunguza na wakaona anawafaa, na isitoshe jamani uwaziri unagaiwa kulingana na mikoa! ndio maana mwakyusa alidropiwa akaingia mwakyembe na mulugo aliingia baada ya yule mbunge wa mbozi aliekuwa...
  6. M

    CV ya Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo: Je inatosheleza kusimamia majukumu aliyopewa?

    jamani ni mtoto wa mkulima na alikuwa hana uwezo wa kwenda private school ndio maana akakariri yaani alipo maliza darasa la saba 1988 akakarudi darasa la saba mwaka uliofuata shule nyingine ndio akafaulu kwenda mbeya day hostel. angalia msingi kasoma shule mbili
  7. M

    Dk. Slaa akamata nyaraka ya siri ya serikali

    serikali ni nani? umetumwa? hata chadema wakiingia madarakani wafanyiwe hivyo hivyo maana vitu vikienda kwa uwazi na usawa nani atatoa hizo nyaraka za serikali, jaribu kuthink outside the box
  8. M

    Madaktari Waitishe Mgomo usiokoma kudai maslahi! Simameni Pamoja!

    kaka kama ilivyo initials ndio kirefu chake, MD ni M-medica na D- doctor,
  9. M

    Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

    si umeripwa ukauza utu wako! hawezi kujisafisha kwa kutumia makanisa arudi bungeni ajisafishe maana ndiko alikochafuliwa na si makanisani na hum jf
  10. M

    Mpango Huu wa Lowassa ulifanikiwa vipi?

    mmj rudi bongo utusaidie jamani. nimecheka sana hii topic yako umeturudisha nyuma ambako watanzania wengi walishasahau lol tanzania yangu viongozi wanashindwa kufikiri na kufanya research kabla hawajafanya maamuzi wanayoyaita magumu?
  11. M

    Dkt. Mwakyembe mambo mazito: Ripoti ya ugonjwa wake yaivuruga Serikali

    ulikuwa hulijui hilo na ujanja wako wote?
  12. M

    Mh.Lowassa Be Careful...!

    ndio wanamtumia kwani ulikuwa hujui, juzi eti kaarikwa na kanisa la pentekoste kigoma kaenda kwenye harambee, what they need is your money! hata akina beno malisa wamempigia magoti na kuingia kwenye kambi yao ni pesa tu, tena kampa hadi gari vx mpya, hata mimi ningekusifia kila kukicha
  13. M

    CHADEMA yapongezwa kwa kujenga msikiti

    mbona hospital kibao za kikristo wanakwenda? suseini muone kama hamjafa! mmekalia MUO jamani na nyie kuweni wabunifu mfanyeni MOU na nyie! mna hoja? shule mnazo? hospital mnazo? mbona mwenzenu aghakhani anayo MOU?
  14. M

    CHADEMA yapongezwa kwa kujenga msikiti

    hahahaaa ndio maana population yao nyingi imeenda shule hivyo hivyo kwa kulazimisha, na wengine wamebaki kuwa vibaka na madereva na wauza magenge (hawakulazimisha na wakawaacha intellingent people tu ambao ni wachache akina malaria sugu)
  15. M

    CHADEMA yapongezwa kwa kujenga msikiti

    ww ni great thinker kweli? i doubt maana hufanyi research, NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK, kasome masharti ya kujiunga na oic na uendeshaji wa mahakama ya kadhi na kujiunga na vatican then uje uongee hapa. hivi ni kitu gani kinawashinda kujiunga huko through bakwata? hamuitaki bakwata anzisheni...
  16. M

    CHADEMA yapongezwa kwa kujenga msikiti

    mwe akili zenu ziko hivyo hivyo mgando hazibadiliki, ebu tuangalie mfumo wa ufundishaji akuanzia madrasa na sunday school hapo ndio utakapujua kwa nini tupo tofauti kwenye kufikiri!!
  17. M

    Slaa alipua kombora jingine

    ccm mnakazi kweli kurudisha imani kwa wananchi, dr tupe na za kuinua uchumi ni makampuni gani yarikwapua hizo pesa, maana muuza sura alijitamba tumetenga trilion 1 kwa ajiri ya mtikisiko wa uchumi na makampuni yalioadhirika yalikuwa mengi ya pamba na watu wakaanzisha makampuni feki hapo hapo...
  18. M

    Nape Kapotelea Wapi?

    kaka great thinker hatukani, bishana na nape kwa logic sio matusi na pia anaitwa nape sio nepi respect others as u want to be respected!
  19. M

    Nape Kapotelea Wapi?

    ww mbona lowasa kakunyamazisha!! ulikuwa mbele mafisadi watoke mafisadi watoke na alipotoka rostam ukaja na mbwembwe na watu wakakupongeza, but wea are you now? sasa lowasa kaja juu na ww ndio unatakiwa kuchunguzwa kwa maneno ya mwenyekiti! na ndio maana umekaa kimya endelea na fyok fyoko zako...
Back
Top Bottom