Search results

  1. ram

    TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    Apumzike kwa amani, 2021 alimpoteza kijana wake na alimuombeleza kweli kweli, eti leo nae hatunaye, maisha ni fumbo kweli kweli #tunayaishi#
  2. ram

    Ni mimi tu au? Maji ya DAWASA ukinywa bila ya kuchemsha yanaumiza tumbo

    Dah, unakunywaje haya maji ya Tanzania bila kuchemsha? Pole kwa kuumwa tumbo
  3. ram

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Tunaomba na wewe kule entertainment ukamalizie ya Roma
  4. ram

    Hukumu ya kesi ya ndoa inakaribia kusomwa, anataka tugawane mali wakati alinikuta nimesimama. Sitaki hilo litokee, nachanganyikiwa

    Tangu mwanzo wa kesi ungeweka mwanasheria wa kukusimamia lakini pia sio shida, document ya hivyo vitu si unazo na zinaonesha tarehe kwamba ulinunua lini, assets zote zenye majina na tarehe kabala ya ndoa yako sidhani kama zinamuhusu
  5. ram

    Vitengo vya habari viwe makini katika video na picha za Rais zinazotumwa kwa jamii

    Ile ilikuwa mubashara, wangeifuta vipi sasa?
  6. ram

    Yawezekana namkosea Mungu katika hili, lakini Sina chaguo

    Unaenda kuchezea akili za mwenzako eeh, kitakukuta kitu
  7. ram

    TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Waliotangulia wote Mungu awape pumziko la amani!
  8. ram

    Serikali ya CCM iache Masihara na suala la Bima, wanacheza na maisha ya watu

    Hii ni hatari sana, Mungu atusaidie, hao serikali wanawaza matumbo yao tu na wakiumwa kidogo tu ni South Africa, India n.k
  9. ram

    Tafadhali naomba leo Saa 3 Usiku tusipoteane hapa Jukwaani JamiiForums!

    Haya tujulishe uko wapi mwenzetu GENTAMYCINE
  10. ram

    FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

    Pacome day imefana, imefana, imefana tena, yaani imefana sana
  11. ram

    Waziri wa TAMISEMI fumua uongozi wote wa TARURA Mkoa wa Mara

    Niliomba kazi mwaka jana, nikaambiwa na mtu wa procurement nitoe Million 5 ili niweze kupewa kazi ya ukandarasi. Nikamwambia tuandikishane nikipata kazi tu nikupe million 5 yako[emoji3][emoji3]akakataa. Nikaomba tu wala sikupata kazi yenyewe
  12. ram

    Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

    Tanesco akili visoda, tukio la kitaifa linaendelea wao wamakata umeme, TANESCO nani amewaroga nie jamani, inaumiza na kuudhi sana
  13. ram

    Nimeenda Chanika. Ni mbali sana, mnaokaa huko mpewe maua yenu

    Dar kuna maeneo ukitaka kwenda unajiuliza mara mbili mbili, kutoka makumbusho kwenye Bunju lol[emoji38]
  14. ram

    Kwanini maeneo ya jeshi kama Lugalo na External kumejengwa bar na frame nyingi sana?

    Kila nikipita pale najiuliza hili swali, ngoja subiri tuone
  15. ram

    Msiotumia pombe, mnapotezea wapi muda?

    Home tu, hapa nacheza gospel za Rose Mhando tu.....
  16. ram

    Jumla ya ada ya kusoma degree ya udaktari katika chuo kikuu cha Kairuki kwa miaka yote mitano ni milioni 32, swali langu is it worth it ?

    Mfano KCMC ukiweka na accommodation, sijui field work na mazagazaga mengine inagonga 10+
  17. ram

    Jumla ya ada ya kusoma degree ya udaktari katika chuo kikuu cha Kairuki kwa miaka yote mitano ni milioni 32, swali langu is it worth it ?

    KCMC medicine ni 5.6M hii ni ada tu, hiyo 4M ni course zingine kama Laboratory, Physiotherapy n.k
  18. ram

    Fungieni huu wimbo unahamasisha Umalaya kwenye Jamii

    Na wewe hujui maana ya neno Kudanga, hebu mcheki Oni Sigara wa BASATA akwambie maana ya neno kudanga
Back
Top Bottom