Search results

  1. Mario Kempes

    Kuna mchezaji mfupi wa kumzidi Mathieu Valbuena?

    Leo tuwakumbuke wachezaji ambao ni wafupi mno lakini wamewahi kusakata kabumbu vizuri sana, kuna huyu Valbuena, tuendelee na list
  2. Mario Kempes

    Nimeipenda Tamthilia ya Kombolela iko vizuri

    Kupitia AzamTv kuna tamthilia inaitwa kombolela, iko vizuri sana, mimi sio mpenzi wa tamthilia za Bongo, ila hii ni kali. Inaakisi maisha halisi ya uswahilini, maisha halisi ya Mtanzania wa hali ya chini(Mnyonge). Maisha ya Familia zetu za kiswahili, Baba na Mama wanaishi pamoja na Watoto wao...
  3. Mario Kempes

    Je naweza kutumia king'amuzi cha Dstv cha South Africa hapa Tanzania?

    Naombeni wenye kujua mje mnijuze na je malipo ntalipaje nikiwa hapa nyumbani maana nimegundua king'amuzi cha Dstv cha South Africa ni gharama nafuu kulinganisha na hapa kwetu
  4. Mario Kempes

    Simba Vs Namungo| Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2022| Zanzibar

    Leo majira ya saa mbili na robo usiku kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Simba Vs Namungo katika nusu fainali ya pili ya Mapinduzi Cup. Tujumuike wote hapa muda ukifika
  5. Mario Kempes

    Tuma salamu za Mwaka Mpya 2022 kwa members watatu wa jukwaa hili la michezo

    Mimi nawatakia heri ya mwaka mpya members wafuatao 1.Gentamycine 2.Scars 3.Renzo barbera
  6. Mario Kempes

    Prime Chuji Vs Prime Feitoto: Unamchagua nani kwenye kikosi chako?

    Me naenda na Chuji, najua ataniofa machaguo mengi ndani ya kikosi changu, kwanzia kukaba, kuchezesha timu na hata kuamua mechi iisheje! Wewe unamchagua nani?
  7. Mario Kempes

    Safari za Maulid Kitenge Marekani

    Hivi huyu mwamba huwa ana makazi huko? Au anafanya biashara gani huko kwa Joe Biden? Maana kwa mwaka mmoja anaweza kwenda Marekani hata mara nne au tano! Juzi tu hapa kabeba familia nzima kwenda nayo huko akiwemo mama yake mzazi. Jamaa yuko vizuri! NB: Mapovu pelekeni mkafulie
  8. Mario Kempes

    Kwanini wanawake wengi wa siku hizi wana makalio makubwa?

    Yaani leo nipo kkoo katika wanawake 10 unaopishana nao basi 7 wamefungasha na wana mizigo kweli. Nini siri ya mafanikio? English figure zinaanza kupotea
  9. Mario Kempes

    Ricardo Momo: Simba anashinda kesho

    Mchekeshaji wa kipindi cha michezo cha Sports Arena kupitia Wasafi Fm Ricardo Momo anasema kutokana na elimu ya nyota aliyonayo ameona jinsi ambavyo Simba kesho anaenda kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga! Muda wa mechi pia unaibeba Simba kuliko Yanga katika masuala ya nyota! Aliongeza Ricardo...
  10. Mario Kempes

    Simba & Yanga combined XI

    Kuelekea mchezo wa Derby ya Kariakoo Jumamosi, hiki ndio kikosi changu cha first eleven kutoka Simba na Yanga, Simba wamefanikiwa kupenya wachezaji wanne tu huku Yanga wakiwa na wachezaji 7 kama ifuatavyo 1. Aishi Manula 2. Shabani Djuma 3. Tshabalala 4. Mwanyeto 5. Job 6. Bangala 7. Moloko 8...
  11. Mario Kempes

    Nishaurini kati ya Dstv na Azamtv ninunue kisimbuzi gani?

    Napenda mipira yote ya bongo na ulaya, king'amuzi gani kinafaa hapo kwa huu uchumi wa kati? Naombeni ushauri
  12. Mario Kempes

    Kwanini Rais Samia alimuondoa Meja Jenerali Mbuge kama Mkuu wa JKT?

    Wote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT. Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a...
  13. Mario Kempes

    Mchezaji yupi unamkubali kwenye kupiga krosi?

    Hivi kuna wakumzidi David Bekham? Kama yupo lete jina
  14. Mario Kempes

    Nini kilimkuta Rais wa awamu ya 3 huko Msumbiji mpaka kuanza kutembelea mkongojo akiwa Ikulu?

    Wamakonde wa Msumbiji wana visa kidogo! Aliyekuwa Rais wa awamu ya 3 huko Msumbiji aliwahi kupatwa na madhila akiwa Ikulu. Akiwa katika siku zake za mwisho za Urais aliwashangaza wananchi wake ghafla alipoanza kutembea na mkongojo huku akichechemea. Ukipata hapa Mitaa ya Maputo wananchi kuna...
  15. Mario Kempes

    App gani nitapata radio ya Wasafi Fm?

    Achana na youtube, ni app gani ya radio naweza nikapata matangazo ya radio ya Wasafi Fm? Maan sisi wa huku mikoani tunateseka sana kumsikiliza George Ambangile
  16. Mario Kempes

    Bado tunakukumbuka Jemedari John Pombe Magufuli

    Hii picha huwa naikubali sana, mpiga picha (Issa Michuzi) aliipatia sana! Bado tunakukumbuka Jemedari John Pombe Magufuli
  17. Mario Kempes

    Kumbe huyu ndio Mamy Baby wa Clouds FM

    Huyu mtangazaji ana sauti nzuri sana, nadhani wale wasikilizaji wa xxl ya clouds fm watakuwa wanajua. Sasa nikasema ngoja nimtafute insta nimuone alivyo, nikasema mbona haendani na sauti nzuri hivi hana makuu yupo simpo tuu.
  18. Mario Kempes

    Kumbe Perfect Chikwende amevunja mkataba na Simba

    Kwa mujibu wa kipindi cha michezo cha clouds fm cha asubuhi hii ya leo, Perfect Chikwende ameamua kuvunja mkataba na simba na kurejea kwao Zimbabwe ambapo kwasasa anafanya mazoezi na klabu ya fc Platnum. Simba mbona mnatufivha kwenye hili?
Back
Top Bottom