Search results

  1. CUF-WILAYA YA KINONDONI

    CUF: Abdul Kambaya azindua rasmi programu ya upandishaji wa bendera katika Wilaya ya Kinondoni

    MJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA CUF, ABDUL KAMBAYA AZINDUA RASMI PROGRAMU YA UPANDISHAJI WA BENDERA KATIKA WILAYA YA KINONDONI Leo tarehe 4 Julai, 2021 Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa CUF, Abdul Kambaya amezindua rasmi programu ya upandishaji wa bendera katika wilaya ya kinondoni. Programu hiyo...
  2. CUF-WILAYA YA KINONDONI

    Abdul Kambaya kuunguruma kipindi cha Malumbano ya Hoja Julai 1, 2021

    MALUMBANO YA HOJA KESHO ALHAMISI BINGWA WA KUJENGA HOJA NCHINI PIA NI MJUMBE WA BARAZA KUU LA CUF TAIFA, MHE. ABDUL KAMBAYA ATAKUWA KATIKA KIPINDI CHA MALUMBANO YA HOJA KATIKA TELEVISION YA ITV SAA 3:00 USIKU KESHO SIKU YA ALHAMIS USIKOSE KUFATILIA
  3. CUF-WILAYA YA KINONDONI

    Mkutano mkubwa wa ndani Wilaya ya Kinondoni (CUF), Mgeni rasmi Abdul Kambaya

    CUF-CHAMA CHA WANANCHI WILAYA YA KINONDONI Ndugu, Mwanachama wa CUF, wilaya ya kinondoni unaombwa kuhudhuria MKUTANO MKUBWA WA NDANI utakaofanyika katika ofisi ya wilaya ya kinondoni. Siku ya J'pili ya Tar 4/7/2021 Muda Saa 5:00 Asubuhi Mgeni Rasmi wa mkutano huo ni mjumbe wa baraza kuu Mhe...
Back
Top Bottom