Maendeleo ya tiba ni kuwa unaweza kuchomwa sindano itakayo dhibiti wadudu humo mwilini na huhitaji kubugia yale madonge kila siku.
Taarifa hii imetolewa rasmi siku ya lile gonjwa 01/12/ ya kila mwaka. Maendeleo haya yako kule wanakotutumia ARV’s kwa msaada.
Nchi za SADC ni walaji wakuu wa mahindi. Kutokana na Globalisation wakazi wengi wa nchi hizi wanaishi Ulaya, Marekani na Australia. Hawa ni wateja wazuri wa unga wa mahindi.
Kampuni ya Iwisa ya South Africa imefanikiwa kupeleka unga wa Iwisa nchi zote nilizotaja hapoejuu. Waganda pia...
Hitaji la nyumba bora za kuishi Tanzania ni kubwa mno, si mijini wala vijijini. Kutokana na hitaji kuwa kubwa, kodi za nyumba hasa mijini ni kubwa sana. Kijana anae anza maisha anatumia 3/4 ya kipato chake katika makazi, hii ni pamoja na kodi, umeme na maji.
Vijana wengi wanawaza kujenga ili...
He's one of my best friends,
I've been closer to him than I have to anyone else
He knows everything about me
EVERYTHING
I always felt like i could rely on him
When everything and everyone else failed me
he was always there...
until now.
Now he has decided to end our friendship. I do respect...
Kuna kundi kubwa la watu wazima wanaotafuta kazi za ndani. Wengine ni kutokana na changamoto za maisha, kuachwa na mume, kufiwa, kupoteza ulivyonavyo na kubidi kuanza upya, haya yote si sababu ya kuanzisha uzi huu.
Watu wazima wengi wanajielewa, kazi umamwelekezi mara moja tu na huwa hawapendi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.