Search results

  1. Trendz

    Je, wajua neno Fitikalikiti ni kiingereza 'Physically Fit'

    “Wewe mtoto usinitafutie (MADA KESI)” hii nayo ni MURDER CASE [emoji846]
  2. Trendz

    Umewahi kutana na Mpenzi kichefuchefu wa namna hii?

    Serious na ndio tunakosa na baraka
  3. Trendz

    Taja sifa za wateja wako zinazofurahisha

    “Bei ni 30,000 ila niandikie katika risiti 55,000 VAT yako niambie nikupe usipate hasara ya TRA” Hawa wazeee wa kupiga maboss wa kampuni [emoji23]
  4. Trendz

    Nahitaji wajuzi kidogo kuhusu elimu ya majini na utajiri

    Utapewa jini la POPOBAWA usiku linakuletea hela ila hulali na boxa [emoji846]
  5. Trendz

    Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni dhahiri sasa amelewa madaraka. Ni kweli kwamba hajui madhara ya kauli aliyotoa kuhusu kuivamia Kenya?

    Na wewe unaamini kuwa Tanzania yote bara, visiwani na mikoa yake tuna vifaru 49 tu?? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  6. Trendz

    Naomba ushauri, kijana wangu amepewa 'suspension' na bado mwezi mmoja ahitimu kidato cha nne

    Force dogo amalize shule halafu pambana hata kwa kuhonga apate nafasi za vitengo vya ulinzi (jeshi, polisi, magereza etc) la sivyo peleka ufundi maalumu tena sio shule ni mtaani mfano gereji
  7. Trendz

    𝗞𝗮𝘇𝗶 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝘆𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗻𝗶 𝗶𝗽𝗶? 𝗨𝗹𝗶𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗻𝗮 𝘂𝗺𝗿𝗶 𝗴𝗮𝗻𝗶?

    1st kupiiga kokoto kwa mikono na kuchimba jiwe za kujengea [emoji846][emoji846][emoji846] (10 yrs old boy) 2nd kuwafanyia usafi wale mabro walikuwa wakiishi katika nyumba za kupanga huku wameajiriwa na status zao za maisha ikawa ngumu kwao kufanya zile kazi za zamu katika majumba yao. Pamoja na...
  8. Trendz

    Jirani anajenga Msingi wa ukuta katikati ya jiwe la mpaka la manispaa, Sheria ya Ardhi inaruhusu hii?

    Nafasi inaachwa mita 1 kutoka katika jengo la makazi na boundary ya kiwanja ili kuzuia maji ya mvua yasimdondokee jirani. Fence inajengwa kufuata mchoro wa halmashauri na kwa jinsi picha inavyoonyesha hapo huyo jirani yupo sahihi. Ila napata mashaka kama kweli ni kiwanja chako
  9. Trendz

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    “SEA NEVER DRY AND MAN DON’T CRY”
  10. Trendz

    Nauza pikipiki

    Kwa hiyo bei unapata 2 mpya Zanzibar
  11. Trendz

    CHLOROFORM: Dawa ya usingizi inayotumiwa na wezi kuwapulizia watu kabla ya kuiba

    Chloroform huwezi kuhifadhia vyakula na hao wavuvi wakiktumia kwa ukosefu wao wa elimu basi wataishia kulala baharini/ziwani [emoji3]
  12. Trendz

    Tunduru: Mauaji ya madereva bodaboda yaongezeka, hofu yatanda

    Sijawahi kuwaza hili ila linawezekana pia kwa wivu wa mapenzi
  13. Trendz

    Naomba kujua ABCs za biashara ya vyombo vya nyumbani(jikoni)

    Ndio nasema unaongelea kitu kwa madhania, issue ni kuwa nipo busy na professional job kwa sasa sitangazi biashara kuhusu mizigo ya watu walioagiza imefika muda tu na muhusika wa Tanzania alifanyiwa operation Mtu kama wewe ndio mnarudisha maendeleo nyuma na mkizeeka mnakuwa wachawi
  14. Trendz

    Naomba kujua ABCs za biashara ya vyombo vya nyumbani(jikoni)

    Na hiyo ndio hulka ya mtanzania mwenye mawazo finyu bila upembuzi. Naomba uniambie nimekutapeli nini au nimemtapeli nani ?
  15. Trendz

    Ndugu zangu nisaidieni kazi, hali ni mbaya mno

    Mkata, Tanga Fundi analipwa 300 tofali, hapo saidia ni 100 fundi 200. Wakijenga tofali 150? Huyo dogo hapati 15000?
  16. Trendz

    Ndugu zangu nisaidieni kazi, hali ni mbaya mno

    Mimi ndio nalipa watu hivyo kwa kazi wafanyazo site na kama umesoma vizuri nimeandika "UKIJITUMA" Unaweza fanya kazi na ukaondoka na 3000 tu kwa siku kama utakuwa na uvivu.
  17. Trendz

    Ndugu zangu nisaidieni kazi, hali ni mbaya mno

    Mimi ndio nalipa watu hivyo kwa kazi wafanyazo site na kama umesoma vizuri nimeandika "UKIJITUMA" Unaweza fanya kazi na ukaondoka na 3000 tu kwa siku kama utakuwa na uvivu.
  18. Trendz

    Ndugu zangu nisaidieni kazi, hali ni mbaya mno

    Kaka naona ni kijana mwenye nguvu na kama ulivyosema huchagui kazi, nenda kunakofanyika ujenzi mkubwa mfano shule au hospital niamini mimi kazi zipo kila siku na utaondoka na zaidi ya 15000 kila siku ukijituma.
Back
Top Bottom