Search results

  1. Gamic

    Mungu wa Lissu ni Mungu aliye hai, kumbe wanaotukana Serikali na Viongozi ni Wao wenyewe

    M'beba maono huchaguliwa kiasili na Mwenyezi Mungu. M'beba maoni huchaguliwa kwa kura halali na watu . Mwizi wa kura hajabeba chochote,yupo yupo tu na hajui anaongoza nini . Lissu ni M'beba maono.
  2. Gamic

    Furaha ya Nchi hii imeshikiliwa na Mpira. Leo nchi haina furaha baada ya kufanyiwa uonezi Timu ya Wananchi

    Na walioingia madarakani Tanzania kwa kuiba kura washinikizwe kujiuzuru .
  3. Gamic

    Shabiki mnazi wa Mamelody aingia ubaridi. Aomba mechi iahirishwe

    "...but I have faith"- Nungu Themba Maphosa
  4. Gamic

    Uchambuzi: Je, kuna watu wanaamini Simba itashinda kule Egypt?

    Sisi Yanga tutatoboa, Pacome atacheza . Tuwaache Simba wapambane na hali zao . Benchkha hana mbinu za kumfunga Al ahly nyumbani .
  5. Gamic

    Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

    😀😃😃 Serikali ina unafiki , sa hivi inaonyesha rangi yake halisi .
  6. Gamic

    Kwanini tarehe ya Pasaka hubadilika?

    Hao Wayahudi walitutangulia tu kuzijua kanuni za Asili zinazoendesha ulimwengu( Natural law ) , halafu wakajitangaza kuwa wao ni wa juu , nguvu ya duniani. Ila Mwezi ni mfano ambao huwa unasimama kueleza Roho . Sira 43:7 inasema "Kutoka Kwa Mwezi ni dalili ya sikukuu" . Lakini pia hata katika...
  7. Gamic

    Huwa sipendi sana Shomary Kapombe kufanya Pre Match Meetings pale Simba SC ikiwa na Mechi ngumu Kesho yake

    Mlikuwa mnakosea kumpa left footer mzigo wa Babu huko nyuma . Mguu wa kushoto ni mguu mtakatifu . Mzigo wa Babu muwe mnawapa wanaotumia mguu wa kulia kucheza mpira .
  8. Gamic

    Hivi NHIF ni taasisi ya pesa hadi iikopeshe Serikali tsh 208 bilioni? Waziri husika ajipime!

    Wanakopa hela NHIF wanaenda kuwapa Simba na Yanga goli la Mama .
  9. Gamic

    CAF Champions League: Tupia utabiri wako wa weekend hii

    Simba atawashangaza .FT: Simba SC 5 vs Al Ahly 0 ...
  10. Gamic

    HOFU/WOGA:Waarabu Wanamuogopa benchikha vibaya mno!!!!

    Mungu mbariki Abdelhak Benchkha. Mungu ibariki Simba SC club Kwa ushindi mnono .
  11. Gamic

    Mechi ya Dar Young Africans vs Mamelodi Sundowns yapewa heshima ya siku ya Mudathir aka Muda Day

    Kila la kheri Kwa Mamelody Sundowns . Nawatakia ushindi mnono . Ubuntu botho .
  12. Gamic

    Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

    Unaona kwa macho ya wazungu .Unasikia kwa masikio ya wazungu . Macho yako yana giza .
  13. Gamic

    Andrew Nyerere: Ukimpa mtoto peremende hakikisha anamsifu na kumshukuru Mungu

    Sifa mbaya zina mthibitisha shetani mkuu . Shetani ana tabia ya kujiweka kwenye nafasi ambayo siyo yake .
  14. Gamic

    Andrew Nyerere: Ukimpa mtoto peremende hakikisha anamsifu na kumshukuru Mungu

    Kila sifa njema iliyopo duniani inathibitisha kuwa Mungu yupo . Sifa zote za uhai zinathibitisha Mungu yupo . Sifa zote za matunda na vyakula vitokanavyo na mimea zinathibitisha Mungu yupo . . Kila sifa njema.
  15. Gamic

    Andrew Nyerere: Ukimpa mtoto peremende hakikisha anamsifu na kumshukuru Mungu

    Kama umepotea , unahitaji kumtafuta Mungu . Mungu inatakiwa umthibitishe wewe mwenyewe . Mpokee Mungu atimize kusudi lake kwako. Mdhihirishe Mungu kwa matendo yake kulingana na kuumbwa kwako kwa sura na mfano wa Mungu . Binadamu mwenzako anapomthibitisha Mungu wakati mwingine huwezi kumwelewa...
  16. Gamic

    Padri Kitima: Unafiki na kusifia kila jambo ili kupata vyeo kutaliua Taifa

    Hakika .Mwenyezi-MUNGU aendelee kumbariki Padri Charles Kitima . Ametusemea watanzania ambao haki zetu za kibinadamu zinakandamizwa na wanafiki .
Back
Top Bottom