Search results

  1. Body Armory

    Naomba mwenye kufahamu utaratibu wa kurudia masomo ya kidato cha nne

    Na je kuna limitation ya muda toka umemaliza elimu ya sekondari maana kwa sasa mimi nina mwaka wa 9 na bado nina ndoto ya kurudia mtihani wa kidato cha nne mwakani!
  2. Body Armory

    Sababu za watoto kuchelewa kutambaa msaada

    Wana Jf habari za kazi na mihangaiko ya hapa na pale, Nilikuwa napenda kufahamu sababu zinazopelekea baadhi ya watoto wakachelewa kutambaa au wakawahi kutambaa katika kipindi cha ndani ya mwaka mmoja mpaka miwili.
  3. Body Armory

    Naomba kujua vituo vizuri vya kurudia mtihani kidato cha nne kwa Dar

    Na kurudia mtihani huwa kuna muda mwisho ni miaka mingapi???????
  4. Body Armory

    Rais Samia; Achana na hoja ya Haki Sawa inakupotezea Ushawishi ndani ya jamii

    Naamin kuna wanawake humu kuna kitu wamejifunza
  5. Body Armory

    Ushauri kuhusu kwenda kwao na binti

    Wapendwa wanaJf habari zenu, poleni na majukumu ya hapa na pale na kazi katika ujenzi wa taifa. Napenda kuja kwenu kuwaomba ushauri kuhusu suala ambalo nimeona nije niombe ushauri kwenu Nimebahatika kuzaa na binti mmoja ambaye katika kuwa kama wapenzi ilitokea akabeba ujauzito wa nyumban kwao...
  6. Body Armory

    Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu

    Hao wengine c wapo hai watuletee maelezo yanayojitosheleza na pia nmeona kuna cha kujifunza katika hii awamu ya sita akili mkichwa
  7. Body Armory

    Msaada kuhusu kurudia mtihani wa kidato cha nne

    Hakuna ukomo wa kurudia yaan huyu ana miaka minne sita au saba toka amemaliza kidato cha nne
  8. Body Armory

    Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Nimeota tupo kwenye mashua tunavuka maji mara ghafla kukatokea dhoruba kubwa cjui ni baharn au mtoni lakn tuliweza kufanikiwa kuvuka na kifika ng'ambo salama ckumbuki kama kwenye ndoto hyo nilikuwa nahofu wakat wa dhoruba hiyo.
  9. Body Armory

    Msaada kuhusu kurudia mtihani wa kidato cha nne

    Ahsant sana kiongoz kwa muongozo
  10. Body Armory

    Msaada kuhusu kurudia mtihani wa kidato cha nne

    Shkrani sana mkuu nimekuelewa vzr kabisa
  11. Body Armory

    Msaada kuhusu kurudia mtihani wa kidato cha nne

    Napenda kufahamu kuhusu utaratibu wa kurudia mtihani wa kidato cha nne maana naamini humu walimu wapo wanaohusika na wanaorudia mitihani hyo, je wanaorudia mtihani huwa nao wanakuwa na continious assesment(CA) pili wao mitihani yao inasahihishwa na kupewa alama kwa utaratibu upi? Tatu na mwisho...
  12. Body Armory

    Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Usiku wa kuamkia leo nimeota tuko watu wawili tuna vua samaki mahali sio mtoni, bwawani,ziwani au baharini na tukapata samaki mchanganyiko kila mmoja wa kwake aina ya samaki niliyoitambua ni sato, mara kuna gari nadhani la police likaja nikaondoka nalo ila zile samaki niliwaachia nyumbani kama...
  13. Body Armory

    Mpaka sasa Baada ya hizi nauli mpya na Tozo tunasemaje kuhusu Mama?

    mmmmmmh wacha waisome namba ccm mbele kwa mbele!!!
  14. Body Armory

    Maajabu ya pyramid Misri

    Wala cjakataa kuwa m n mjinga ndo maana nikaamua kusema kile nachofahamu hapo kuna kitu nimejifunza ambacho nilkuwa cfahamu, usijerudia kumuita mtu mpumbavu kama hujamfundisha, huyo unaemuita mpumbavu akifundshika hawez kuwa mpumbv
  15. Body Armory

    Mbowe: Hatutompa muda Rais na hatukubali. Viongozi wa CHADEMA watakiwa kujiandaa kuanza mikutano nchi nzima

    haya mambo kipindi cha awamu ya tano yalisahauliwa kabisa na tulikuwa tunaangalia inshu zingne na mambo yalikuwa yanaenda vizuri japo kila mtu huwa anaangalia manufaa yake binafsi au kikundi cha watu baadhi huwezi kumfurahisha kila mwanadamu hata Yesu Kristo alikuja kufa kwa ajili ya wenye...
  16. Body Armory

    Maajabu ya pyramid Misri

    Pyramid zilijengwa na waafrika au walijenga waisraeli? Pyramid zilijengwa na waisrael wakati walipokuwa utumwani Misri miaka miaka mingi iliyopita BC mi ndo nafahamu hvyo.
  17. Body Armory

    Humu mjengoni vipi?

    Nafurahi kuwa mmoja wa familia ya Jf naamini nitabadili fikra zangu na mtazamo wangu kupitia watu wengine.
Back
Top Bottom