Search results

  1. P

    Nimeamua kuachana na CHADEMA na kurudi CCM

    Ukivimbiwa amani inakua tatizo sana. Umetumia vibaya uhuru wa maoni. Na wengi kama ninyi hata elimu yenu hua ni ndogo au yakubaba isha. Jitafakari.
  2. P

    The Ponda Syndrome:- Kama Officially Sio Taifa La Wanafiki Basi We are Almost There!!

    Wewe kama mwananchi wa kawaida bila kujali ni mtoto wa nani, kimsingi kwa mtu makini na ambaye ni mtaifa na si mdini ni LAZIMA atakubaliana na wewe 100%. Sikutegemea kama wewe ungeweza kutoa mchango mzito na muhimu kama huu. Wengi wamejawa udini na ni wavivu wakufikiri mambo wa wakati ujao so...
  3. P

    Afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa..................

    Sure, kuna ukweli katika hilo.
  4. P

    Tetesi:wanawake wa kitanzania hupenda kudate na wanaume wenye professional hizi.

    Ingekua vizuri zaidi kama ungefatilia pia na sababu za wanawake kupenda hivyo kutoka katika chanzo ulicho patia habari hiyo
  5. P

    Husband coming home at 4am? is that ok?

    Bado ni mvulana akishakua mwanaume yote yataisha,onyesha furaha kwake then tafuta week end moja nzuri unongone nae kwa upole na mahaba akwambie nini tatizo ili lirekebishwe, vinginevyo jifunze kumzoea ili uepuke gharama.:A S-heart-2:
  6. P

    Nina miaka 21 na sijafanya mapenzi

    Kwanza nakupa hongera kijana, pili naamini sasa kwamba muda mwingi utakua umewekeza katika masomo ambalo pia ni jambo jema, jitunze hakuna madhara, pambana na maisha mpaka utakapo pata wa maisha :nono:
  7. P

    Tupia hapa,ingekua wewe ndio lema x mas yako ungefanyia wapi?

    nakusikitikia kama hilo kanisa lenu linaruhusu hivyo vitu vinavyo itwa "X mas", Tafakari chukua hatua.
  8. P

    Tupia hapa,ingekua wewe ndio lema x mas yako ungefanyia wapi?

    Mkuu nadhani wajua maana ya X, sasa wanapoita X mass inakua na maana gani? Tena nimesikitika wengine wanadai watakua kanisani, imenisikitisha sana.
  9. P

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    haa haaa haaa!
  10. P

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    ....Pongezi kwake.. Ni ushindi wa kitaifa...
  11. P

    CUF yataka serikali tatu

    MziziMkavu nimekupata vema, tafadhali mkuu kama una takwimu za kuonyesha wazanzibar wote hawataki muungano naomba uzitupie hapa., ntashukuru sana mkuu!
  12. P

    Ombi kwa viongozi wa chadema kabla ya bunge dodoma

    sikubaliani na wewe nadhani umekariri, lazima ujue kila siku ipitayo kuna watu wanabadilika kifikra, kwani nani alitarajia kuona mabadiliko makubwa namna ile pale Mtwara na Lindi, hivyo ni vema ujue Dodoma kila siku inabadilika usitazame historia! Kumbuka hakuna apendaye shida Dodoma nao...
  13. P

    Ombi kwa viongozi wa chadema kabla ya bunge dodoma

    Nakuunga mkono 100% ,wewe kweli ni great thinker! Naamini watalifanyia kazi kwakua viongozi wa chadema ni wasikivu haswa kwa mambo yanayojenga na yenyemanufaa kwa Watanzania. Watu wadodoma wana kiu mno na M4C.
  14. P

    UCC website na picha chafu

    Imensikitisha sana! Nao ucc wamesinzia wapi inamana huwa hawatembelei website yao mbona ukiingia pale ofisini kwao{udsm} hua wako bize sana na coputer zao, kama ni ivo mi nadhani wao wenyewe ndio wahusika wakuu, nadhani kuna mfanyakazi mmoja wao si mwaminifu na atakua na malengo yake. Ni vema...
  15. P

    Mume *****....

    Like,like!
  16. P

    Mh!Wanawake. . . . Hii nayo nini??!!

    Haiwezekani hizo zikawa ni takwimu za Tanzania, we unalako jambo tu, ushindwe! SWALI: Je, kalibu kila bango la mganga wa kienyeji laonyesha "Tunatibu matatizo ya nguvu za kiume" hilo nalo laonyesha dalili gani kwa wanaume?
Back
Top Bottom