Search results

  1. Heinz Consulting

    Namna ya Kudhibiti Ubora wa Bidhaa/Huduma Zako

    Dhana/mbinu ya uthibiti wa ubora katika biashara yaani "Total Quality Management" (TQM) kwa mara ya kwanza ilianza kutumika miaka ya 1980 na kampuni za Kijapani, baadae mwanzoni mwa miaka ya 1990 Kampuni za Amerika ya Kaskazini na zenyewe zilianza kuitumia mbinu hii. Kwa upande wa Amerika ya...
  2. Heinz Consulting

    Unahitaji Kuchangia Taasisi ? FAHAMU HAKI ZAKO/TARATIBU WEWE KAMA MCHANGIAJI (Philanthropist/Donor)

    Katika masuala ya Harambee (fundraising), Tanzania bado hatujaweza kuwa na chombo maalum ambacho kinapaswa kutoa utaratibu pia muongozo katika suala zima la Harambee. Kutokuwa na chombo hiki kwa Tanzania haimaanishi kwamba, Harambee inapaswa kufanywa pasina kufuata taratibu, la hasha. Kuna...
  3. Heinz Consulting

    Kwanini kampuni nyingi zinapoteza nguvu ya kiushindani (competitive advantage)?

    Pindi kampuni inapopoteza nguvu ya kiushindani, faida pia hushuka (profitability falls) japo si lazima Kampuni kufa. Kuna sababu nyingi zimekuwa zikielezwa kama chanzo kwa kampuni kupoteza nguvu/uwezo wake wa kiushindani sokoni. Lakini sababu kuu zinazosababisha hali hii ni kama ifuatavyo...
  4. Heinz Consulting

    Uombaji wa Ruzuku Pasi na Kutangazwa Wito wa Uwasilishaji wa Michanganuo ya Miradi (Proactive Grant seeking)

    Kuna aina mbili za uombaji wa fedha ama ruzuku kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi; aina ya kwanza ni kuomba ruzuku baada ya kutangazwa wito wa kuwasilisha michanganuo ya miradi (hii tunaita "Reactive Grant seeking") aina ya pili ni uombaji wa ruzuku pasina kutangazwa wito wa uwasilishaji wa...
  5. Heinz Consulting

    Fahamu Kuhusu Ruzuku (Grant)

    Ruzuku ni kiasi cha fedha kinachotolewa na mashirika binafsi ya hisani (charitable giving foundation), mashirika ya ya umma ya hisani (public charity) au wakala/Taasisi za serikali (government agencies/insitutions) kwa asasi za kiraia (Civil Society Organizations) ili kuziwezesha kutekeleza...
Back
Top Bottom