Search results

  1. Francis fares Maro

    Tunauza na kukodisha Vifaa vya Ujenzi

    Tuna vifaa/Machines Tuna chimba mabwawa Tuna chimba mitaro Tuna Tengeneza barabara (changalawe) Tuna safisha Mashamba,na viwanja Tuna kata na kurekebisha Eneo kwaajili ya Ujenzi Tuna kodisha mitambo,machine Tuna kodisha mitambo kwenye migodi na Makampuni ya Ujenzi +255714908121
  2. Francis fares Maro

    Daladala inauzwa

    Nissan civilian TD 42 Diesel Engine Fully duty paid Ipo barabarani Makumbusho/Posta Route 17 millions TSH negotiable +255714908121
  3. Francis fares Maro

    Hongera Rais Samia Suluhu. Shughulikia changamoto hizi pia

    Kwanza nipende kukuombe Kwa Mwenyezi Mungu akupatie Umri mrefu wenye mafanikio na hitaji la Moyo wako. Hakika Wanawake ni Nguzo kuu kwenye kila Hatua kwenye Dunia hii!!. Mama Samia napenda kukupongeza Kwa hatua kadhaa na jinsi unavyofanya nchi yetu inaenda Kwa kasi sasa. Mama Samia...
  4. Francis fares Maro

    Chanjo ni hiari lakini ina umuhimu

    Tokea nimezaliwa na sio Mimi tu, watanzania wengi kama sio wote tumekua tunapata chanjo kutoka Kwa wahisani (mabeberu)..kila chanjo lazima iwe na side effects Kwa baadhi ya watu lakini sio wote. hanjo hizi zina umuhimu mkubwa sana kwenye maisha yetu ya kila siku!!..tuache propoganda mbaya za...
  5. Francis fares Maro

    SOLD: Tipper (Hino)

    Hino Tipper (Dumper) Repainted 1997 YOM 3.3 Tones 19 millions TSH negotiable Makumbusho Dar es salaam +255714908121
  6. Francis fares Maro

    Kulipa kodi ni maendeleo

    Ndugu wanabodi, Nimefwatilia Kwa kina mijadala hii ya Tozo na Kodi ya majengo Niseme machache! Tulipe kodi kwasababu Kodi ndio msingi wa maendeleo yetu,bila Kodi nchi Itakua ngumu sana hii,hizi Kodi ndio tunaona mabarabara, vituo vya Afya, watumishi kupandishwa madalaja, madarasa, Elimu Bora...
  7. Francis fares Maro

    Plot4Sale Farm for sale Morogoro Town

    Clean title deed 150 acres 400 millions TSH Well developed area 7 kilometres from Morogoro Town Few minutes from Morogoro Dodoma road Ideal for Agriculture or any investment Mkundi/Makunganya/Nguru Ranch Morogoro Town Tanzania +255714908121
  8. Francis fares Maro

    Rayvanny nimekunyanyulia mikono

    Wakati mwengine ukweli usemwe, nilikua nadhani mziki wetu umepoteza dira kwasababu ya kiki, skendo na mambo mengine yasiokua na maana na tena yanaharibu kabisa watoto wetu huko uswahilini. Tokea Jana nimekua nasikiliza nyimbo nzuri sana za kijana huyu, tungo zake aisee, nimeangalia videos duh...
  9. Francis fares Maro

    MO Dewji mzalendo

    Mo Kazaliwa Singida Kasoma shule za serikali Kawatumikia watu wa kijijini kwake Kawekeza kwenye nchi yake Simba SC ni mtoto tu kwake,tokea amaeanza kuwa mshabiki Hadi mwananachama na kisha mwekezaji ndani ya club hii pendwa ni Jambo la kheri na ikibidi asifiwe sana!!.. Kila kwenye neema...
  10. Francis fares Maro

    Car4Sale Mitsubishi Delica

    Body nzima kabisa Picnic car Engine issues Petrol engine 3000 CC 2004 YOM Makumbusho Dar es salaam Nipe offer yako +255714908121
  11. Francis fares Maro

    Naomba kujuzwa kinachoendelea katika michuano ya kombe la Kagame

    Wasalaam, Ndugu wanajf naomba kupata updates za kombe la Kagame huko linavyoendelea na nikiwa shabiki lialia wa Yanga naomba matokea bila kufichwa!! Nasubiria na updates za usajili kutoka club yangu pendwa naona viongozi na mashabiki tumekua kimya sana kama tumepigwa na ganzi kunani
  12. Francis fares Maro

    Bunge, Katiba, Madaraka

    Wasalaam Bunge Ili uwe mbunge lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa,chama kina kupa dhamana,kama sivyo basi itokee utashi wa Raisi akuteue!!.. Mfumo wa Bunge letu na wabunge wenyewe ni tishio kama siyo kichekesho!!..hakuna sheria wanazotunga kwaajili ya serikali na wananchi na siyo...
  13. Francis fares Maro

    Passo inauzwa

    Passo 2005 YOM 3 piston Engine problems 3.6 millions TSH Makumbusho Dar es salaam +255714908121
  14. Francis fares Maro

    Tanzania inaendeshwa “VuluVulu”

    Wasalaam Kama vile nchi yetu na viongozi hatujui tunataka nini, tunaenda wapi na tuko wapi? Huku COVID-19 na katazo la mikusanyiko, lakini viongozi ndio wa kwanza kufanya mikusanyiko (unajiuliza nini hiki!) Huku Tozo za miamala ya simu kupandishwa, kule petrol imepandishwa juu, hapa kila...
  15. Francis fares Maro

    INAUZWA Excavator inauzwa

    CAT 318 B EXCAVATOR 3556 MASAA 2001 YOM TABATA DAR ES SALAAM +255714908121 100 millions TSH
Back
Top Bottom