Search results

  1. Lorenzo Samike

    Chadema nini msimamo wenu kwenye suala la kukopa?

    Kwahiyo siku hizi watu hawafi? Machadema bwana!
  2. Lorenzo Samike

    Chadema nini msimamo wenu kwenye suala la kukopa?

    Hahahaaa.. Na wewe utaoza tu.
  3. Lorenzo Samike

    Nape: Watanzania kuanza kukopeshwa Smartphone

    Wanikopeshe iphone eleven nitalipa kupitia tozo
  4. Lorenzo Samike

    Chadema nini msimamo wenu kwenye suala la kukopa?

    Hahaahaa wote tutatandikwa
  5. Lorenzo Samike

    Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

    Huyu nesi anaonekana ana mahusiano ya kingono na INCHARGE. Ana kiburi kisichokuwa cha kawaida. Wote wachunguzwe na huyo INCHARGE WAKE anayeruhusu matumizi ya VIPIMO VISIVYOFAA.
  6. Lorenzo Samike

    Aliyeibua uozo wa vifaa tiba Tabora asimamishwa kazi

    Mfichua uovu anasimamishwa kwa minajili gani? Is this a cognitive dissonance?
  7. Lorenzo Samike

    Chadema nini msimamo wenu kwenye suala la kukopa?

    Chadema ni mapunguani ndio maana magufuli alikuwa anayatandika bakora na mijeledi.
  8. Lorenzo Samike

    Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

    Wewe, kuna viwango vya makosa ya kufukuzwa kazi. Mtu hawezi kufukuzwa kazi kwa kurekodi video.
  9. Lorenzo Samike

    Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

    Hahahaa kufa ni ibada sio adhabu. Sote tutakufa, lakini wababaishaji lazima watandikwe bakora regardless.
  10. Lorenzo Samike

    Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

    Jitu zembe kazini linalotaka kudekezwa! We thubutu! Tutakushughulikia.
  11. Lorenzo Samike

    Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

    Jitu zembe kama wewe ni kushughulikiwa tu. Hakuna kuonewa huruma.
  12. Lorenzo Samike

    Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

    Kwasababu wewe ni lizembe kazini lisiloweza kazi. Na si ajabu unavaa hirizi kiunoni wewe.
  13. Lorenzo Samike

    Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

    Vyuo vya kata na ukihiyo. Watu wanaoajiriwa kwa minajili ya kupokea mshahara. Working for food and survival. Usitegemee ufanisi hapo. Wengi wao wameunga unga tu kwa D mbili wakajikuta wamekuwa manesi. Hii sekta ihakikiwe.
Back
Top Bottom