Search results

  1. ngotho

    Mzazi mwenzangu ameolewa, nifuate hatua gani nimchukue mwanangu?

    Wakuu habarini A muda huu, nina jambo moja linalonitatanisha. Hapo nyuma, miaka mitano iliyopita, nilikuw katika mahusiano na mdada mmoja kipindi nipo shule, ila yeye alikuwa hasomi, mahusiano yetu yalikuwa ya wazi pande zote mbili (kwa wazazi wake na wazazi wangu). Hamna chuki yoyote iliwahi...
  2. ngotho

    Mwenye uelewa na American psychological Association ( A. P . A) style, anielezee kidogo

    Wakuu habarini za saa hizi.. Wakuu kama mada inavojieleza hapo juu, naomba mwenye uelewa na American psychological Association ( A. P . A) style, anielezee kidogo. Na ikiwezekana anipe na format namna ya kuiandika. Nimejaribu kuangalia refferences mbalimbali kupitia Google scholar la bado...
  3. ngotho

    Simu yangu inadownload vitu automatically

    Wanajukwaa, simu yangu inatabia ya ku-download vitu kama vile apps, na hii inatokea automatically. Naisaidieje hili tatizo? Msaada wenu tafadhali.
  4. ngotho

    Naomba ufafanuzi kuhusu marekebisho ya form ya mkopo

    Wakuu habarini za wakati huu. Husika na mada tajwa hapo juu, hapo nyuma form yangu ya mkopo ilikuwa na shida, kuna sehemu ilikosewa wakati wa kuaply mkopo.( Yaani alijichanganya akaandika LOCAL POSTGRADUATE badala ya LOCAL UNDERGRADUATE ). Sasa form ikawekewa alama nyekundu pale...
  5. ngotho

    Business information technology vs information technology.

    Wakuu naombeni ushauri wenu juu hizi kizi. Kati y business information technology na information technology ipi ni nzuri zaidi.. naingia degree mwaka wa kwanza (business information technology) pale UDSM na tayari nimeshai-confirm.. but wengine wanasema et information technology ni bora zaidii...
  6. ngotho

    Umuhimu wa kiingereza katika kuficha siri

    Wakuu habarini za saa hizy?? Ndugu zangu naandika uzi huu nikiwa nimejawa na furaha ya kuepusha kuvunjika kwa mahusiano yangu. Jana usiku nikiwa na mpenzi wangu getoni kwangu, kwenye muda wa saa sita usiku hivi, mara paap! Simu inaita..kuangalia, nakuta ni namba ya msichana mmoja hivi...
  7. ngotho

    Naomba kufahamishwa juu ya verification of application

    Wakuu habarini za saa hizi. Husika na mada tajwa hapo juu... Mimi ni miongoni mwa walioomba mkopo, lakini kuna swala linanitaniza kidogo.. Juzi siku ya Jumatatu, nilipokuwa natembelea GOOGLE, kitu cha kwanza nilichokutana nacho kilikuwa kinasema hivi.. (YOUR APPLICATION FORM WAS VERIFIED AND...
  8. ngotho

    Naomba kuelezwa namna ya kuomba chuo kingine

    Wakuu habarini za saizi Ningependa kujua kwamba, hivi kwa mfano umechaguliwa vyou viwili let say (MZUMBE NA MUSTI) in the second round, na itokee umechaguliwa kozi ambazo huzipendi.. later on ubadilishe mawazo against hivyo vyuo. Je, ukiaply chuo kingine unaweza kuchaguliwa round ya tatu...
  9. ngotho

    Msaada juu ya chuo kikuu cha ardhi

    Wakuu, mdogo wangu amechaguliwa vyuo zaidi ya kimoja, chuo cha ardhi kikiwemo, lakini toka asubuhi mpakaa saiv (saa tatu usiku) akijaribu ko-login inakataa.. alitaka ku-confirm hicho chuo cha ardhi lakini ndo ivoo. Wahusika tunaomba mtusaidie.
  10. ngotho

    Naombeni ushauri juu ya hizi kozi

    wakuu habarini za saa hizi? Nimechaguliwa kusoma kozi zifuatazo. 1: bachelor of business information technology pale (UDSM NA MZUMBE). 2: bachelor of sciences in computer system and network pale ARDHI UNIVERSITY. wakuu kwa kuangalia uwanja wa ajira (kujiajiri/kuajiriwa), ni kozi gani ni...
  11. ngotho

    Alinikataa kaja kunikubali baada ya kupata mtoto

    Mwaka 2012-2015 nilikuwa nchi jirani kwa mjomba wang (yaani kwao mamaangu) nikiendelea na masomo yangu.. Kulikuwepo dada mmoja.. kwa jina ngoja nimpe jina la fatuma .. for privacy. huy mdada nilitokea kumpenda ghafla.. ilibidi nimwambie ukweli kuhusu hilo. ila alinikatalia na kunipotezea...
  12. ngotho

    A friend of mine forgot to attach his form four certificate

    Moja kwa moja kwenye mada ... Wakuu kuna rafiki yangu amefanya maombi ya mkopo.. kila kitu kafanya sawa .. vyeti vyote ameweka safi tu.. na form aliipereka posta kuituma. Baada ya siku mbili amegundua kuwa alisahau kuattach cheti cha form four kwenye ile form iliyoenda posta. anauliza eti...
  13. ngotho

    Laptop nzuri ni ipi? Nataka ya Tsh. 400,000

    Wakuu nawasalimia kwa jina la Yesu Wale wenzetu waislamu salaam aayqum. Wakuu ivi kwa mtu anayesomea Bachelor of Science in Business Information Technology anafaa awe na PC gani? Budget yangu ni 400,000/= je naweza kupata inayoendana na kozi yangu hiyo? Naombeni ushauri.
  14. ngotho

    Kozi zinazohusisha matumizi ya kompyuta..

    wakuu Habarini za saiz.. tumsifu yesu kristo.. Bwana yesu asifiwe... salam alihekum... wakuu wangu kuna swala dogo sana linanisumbua akili ... naombeni mnieleweshe .. ivi kozi zote zinazohusisha matumizi ya kompyuta kv.. it, bachelor of sciences information technology.. computer sciences...
  15. ngotho

    Baada ya kuomba mkopo..

    wakuu habari za kushinda???.. ndugu zangu wakuu.. naomba mwenye kujua hili anisaidie na aseme lolote.. nilipokuwa naomba mkopo.. nilijaribu kuwa makini sana na kuweka all required details kulingana na current guidline.. cheti cha kuzaliwa na cha kifo niliviatach .. lakini baada ya kumaliza...
  16. ngotho

    Msaada: Napata changamoto hii RITA

    Wakuu neema ya bwana iwe juu yenu naombeni msaada juu la hili. Nilikuwa nahakiki cheti cha kifo lakini katika harakati za kufungua account na kureigister waliniambia eti wananitumia TOKEN kwenye namba yangu lakini kwanzia saa nane mpaka sasa sijaona hiyo TOKEN tatizo linaweza likawa nini wakuu...
  17. ngotho

    Naomba kujuzwa kuhusu hizi hatua wakati wa kuapply mkopo

    wakuu salute kwenu, Jamani katika harakati za kuaply mkopo.. ukiangalia hiyo attachment hapo chini .. naombeni kujua kuhusu hizi hatua 1. tertiary education 2. guarantor. halafu wakuu naombeni kujua.. mimi ndo nimemaliz form six.. Bado sina kitambulisho cha taifa.. vilevile sina kadi ya...
  18. ngotho

    Naomba ushauri kwa matokeo haya

    Wakubwa wazimaaa? Mdogo wangu amepata CCC EGM. Kulingana na ujuzi wenu juu ya nchi yetu na uchumi wake. Naombeni ushauri wa kumpa huyu dogo juu ya kozi nzuri ambayo itmuwezesha kujiajiri. Yeye alikuwa anapenda agribusiness ile ya UDSM. Kama kuna ushauri wowote hasa hasa kwaUDSM. Karibuni.
  19. ngotho

    A Level iondolewe ili wanafunzi watoke Form Four moja kwa moja na kusoma kozi husika

    Bila shaka natumaini mpo salama wakuu. Moja kwa moja kwenye mada. imegundulika dhahiri shahiri kwamba wanafunzi wanaosoma advance na kujiunga na chuo kikuu wanakuw shallow sana ukicompare na wale waliotoka o levo na kujiunga na diploma. Kwanini hii levo ya advance isiondolewe ili wanafunzi...
  20. ngotho

    Maji ya upako ni nini? Ni kweli? Yanatoka wapi? Yanaponya?

    Salute to all my fathers, mothers, brothers, sisters and my age mates in this social forum.. straight to the topic of discussion. nimekuwa nikisikia tetesi nyingi sana hasa kwa makanisa mengi na watumishi wa mungu humu nchini kuhusu maji ya upako. kuna siku nilikuwa kijiweni muda fulani...
Back
Top Bottom