Search results

  1. Babamu

    Rafiki wa mume wangu ananitaka

    Achana nae na lazima umdokezee mme wako juu la hilo, bora urafikiwao uvunjike kulikoni wewe kuingia matatani, pindipo akijua mme wako bila ya kumwambia wewe.
  2. Babamu

    Simuelewi Mume wangu

    Inafaa ufungue akaunti ya kwako peke yako hiyo achana nayo usije ukagombana na mume wako
  3. Babamu

    Hamadi Rashid wa aliekuwa CUF

    Amani juu yenu.Jamani mimi nahitaji kueleweshwa zaidi kwani haya mambo ya siasa sina ujuzi nayo. Huyu Hamadi Rashid wa aliekuwa Mbunge wa Kavu baada ya kuvuliwa GAMBA na CUF wenzake, nimeonasehemu ya kuwa anataka kuunda chama cha kwake sasa huu sio UROHO ama UCHU wa madaraka? Nielewesheni...
  4. Babamu

    DIAMOND ARUDIANA NA WEMA.Diamond ahojiwa uingereza juzi amesema arudiana na Wema Sepetu

    Walikuwa wanatania watu tu, hao. Na wao watiwe modomoni, bali hawanaga!!!!!!!!!!!!!!!!!
  5. Babamu

    RE: kufanya mapenzi mbele ya macho ya mtoto.

    Kuna siku nilisoma ujumbe wa mwana JF na katika maelezo yake aligusia suala zima la kukaa uchi ama kubadilisha nguo akiwa uchi mbele ya macho ya mtoto. Kwa ushauri wangu ni kuwa suala hilo nimewahi kupitia katika vitabu vya kidini (auislamu) ni kuwa Mtume wetu Muhammad (S.A.W). amekataza kufanya...
  6. Babamu

    Gaddafi's Female Super Guard

    Libya kwisha sasa
  7. Babamu

    Ndoa za watoto zaruhusiwa

    Mopaozi, huyo sio mtoto kwani kwa komenti za wengine kumbe ana umri kama wangu. Kwani hata wengine hutokea mashine zao zikawa ndogo il-halli wao ukiwaona mijibaba ya miraba mine, na kinyume chake wengine unaweza ukasema nikikohoa si kitatoka kumbe nenda uone kilichomtoa kanga manyoya katika...
  8. Babamu

    Salaam kwa wana jf

    Amani juu yenu, Mimi ni mpya katika wana JF, naomba munipokee kwa mikono yenu kwa leo sina mengi ila kuwajuilisha mwanachama mpya nimeingia jamvini.
  9. Babamu

    Wanaopinga mahakama Kadhi "Intellectual Arguments" only

    Nauliza hivi: Kwani tatizo liko wapi hadi saasa la kuundwa kwa Mahkama ya Kadhi, kule Znz wenzetu wanayo na mambo yao yanakwenda vyema kwa utatuzi wa masuala ya ndoa/talaka pamoja na mirathi kwa watu wao. Suala kwa mara nyengine huku DSM na Tanganyika tunashinwa ama tunakwama wapi?
  10. Babamu

    Sifa kumi za mwanamke asiyekupenda

    Moja kati ya sifa hizo ni wazi kabisa kujing'amua kuliko kujitesa na nafsi yake (yako) kwa muhusika katika mapenzi.
Back
Top Bottom