Ninachojua kila Wakili lazima awe Mwanasheria na Huyu Jaji anasoma Elimu gani ya ziada ambayo inamtofautisha na Wakili ambapo nahisi nae Jaji Sheria nayo kasomea
Natanguliza shukrani kuuliza siyo ujinga.
Inchi hii ina watu walioajiriwa na ni wasomi Sasa kauli zenu Mimi siwaelewi ( Kila mmoja akisimama kuongea anasema raisi Katoa pesa Kwa AJILI ya SHUGULI FRANI ,naomba niwakosoe 1.tumie kauli serikali imetoa Kwa 2.kama ikitokea katika ziara raisi akatoa pesa hapo Sasa semeni raisi katoa
Kwa kuwa ni mjadala mpana ndani ya mahakama kuhusiana na kesi inayomkabili FEM na wenzake. Mimi siyo mwanasheria ila naomba mtufafanulie kwa kuwa humu najua kuna wabobezi WA Sheria, asanteeni.
Sifa Zangu 1.Ni mzawa halisi wa kanda ya ziwa Ila Kwa Sasa sikai huko 2.Nina miaka 29 3.sina wazazi wote 2. 4.mm Ni mrefu na ni mwili mkubwa kawaida Ila mm siyo mwemba. 5.nina Mtoto mmoja WA kike ana miaka 2 6.Dini yangu ni mkiristo
SIFA ZA MKE NINAEMHITAJI.
1.Awe mcha Mungu 2.awe na Umbo la...
Wakuu habari za mda huu natumaini tupo salama Sana katika kutekeleza majukumu um ya hapa na pale.Dunia ni duara ina mengi tusioyajua kuhusu Sisi viumbe ambao ni binadamu .Binadamu anaishi kulingana na mazingira yafuatayo yametokea Kwa sababu bado watu walio wengi wanawamini kuwa binadamu ni...
Wakuu poleni na MAJUKUMU YA hapa na pale ,
Moja Kwa Moja niende kwenye mada,Story yenyewe IPO hivi Mimi ni mjasiliamari Mambo 5 ninayokutana nayo kitaa ni kama haya
1. Bodi ya mikopo upande wa afya hamjawapa mikopo mfano mhimbili
2. Mnatoa mikopo Kwa ubaguzi mfano watu wanachukua fact Moja...
Wakuu natumaini mpo salama Sana na poleni Kwa majukum mbalimbali nilikuwa naomba nijuzwe maeneo mazuli ya Kula na kupumzika, nitakuepo Kwa MDA WA siku mbili .vyumba bei iwe Kati ya tsh 10-30
Wakuu,,natumaini tupo oky ,
Naomba kushauli Jambo ,kumekuwa na dhana ya viongozi wa SERIKALI kukataa kufungua baadhi ya miradi hasa majengo Kwa sababu wanazozijua wao hasa gharama ni kubwa, tujiulize.
1.kwa mini kusiwepo na utaratibu wa UKAGUZI KILA baada ya HATUA ya ujenzi
2.wewe unaepaswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.