Search results

  1. C

    Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

    Hapana mkuu,ile mashine iloagizwa kwa maelekezo ya village ruler wa wakati ule,tena sijui ilitengenezwa jeshini ile?
  2. C

    Ni wakina nani walitaka Samia asiapishwe Rais wa Tanzania? Walitaka nani aapishwe? Kama CDF asingesimama imara nini kingetokea?

    Kuna mengine hayapaswi kutamkwa kabisa,ndiyo maana wanapelekwa kufia mzena,where the place is dark and silent.
  3. C

    TBS: Mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage kutoka Marekani, ni Salama kwa Walaji

    Hakuna chandarua cha mbu kinachoagizwa kutoka marekani, marekani ndiyo wanaoagiza hapa kwetu na kuzisaidia nchi nyingine.
  4. C

    Live from Kinondoni Makaburini: Mazishi ya Mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe

    "Ila siyo ngoma" elewa maandishi, mwelewe mwandishi, kwenye masomo yako yote sikuwahi kufeli,yote huwa nafunika 100/100
  5. C

    Live from Kinondoni Makaburini: Mazishi ya Mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe

    Unaweza kutusogezea maandiko yake hapa jamvini aliyoandika enzi za uhai wake?
  6. C

    Hamas na Houth wakutana kuratibu mapigo yao dhidi ya Israel.

    Ingewezekana,ila haiwezekani,kwa kuwa hata waislam wenyewe kwa wenyewe hawaaminiani,hawapendani,ndiyo maana wakishalitibua huko jangwani ni mbio kukimbilia USA,UK,FRANCE, au nchi nyingine ya makafiri.
  7. C

    Hamas na Houth wakutana kuratibu mapigo yao dhidi ya Israel.

    Ukimkaribisha mwislam kwako anakulazimisha na wewe uwe muislam, ukibisha anakupiga!! Hatari sana hawa jamaa
  8. C

    Baadhi ya picha hazifunguki hapa JF

    Nikitumia app picha haifunguki kabisa,nikitumia browser page zinakuwa fupi fupi
  9. C

    Madai ya Janeth Shayo, Mkazi wa Uru, Moshi, kutosikilizwa

    Aisee,sijawahi kuwa na imani na kiongozi yeyote wa serikali, ila wewe unanipa matumaini,kuwa kuna wachache wema waliobaki, Mungu wa mbinguni akupe uzima Mama,akuongezee hekima na akukomaze katika Uthubutu, inaonyesha huna makandokando ndiyo maana una ujasiri wa kusimama mbele ya wana JF wote na...
  10. C

    Hayati Magufuli kaingia madarakani kakuta Wanaccm wanaogopa Kuvaa Sare mitaani, ameondoka kaacha hadi Mawaziri wanavaa Sare popote!

    Sema hilo ni vazi rasmi la wapumbav, watu wenye akili huwezi kuwahonga fulana
  11. C

    Usimamizi wa mirathi

    Uko mkoa gani mkuu, ningekupa njia rahisi kabisa ya kushughulikia mirathi bila jasho.
  12. C

    DOKEZO Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

    Wewe hujaguswa na msiba huu, na umeshahitimisha kuwa marehemu alipigana na wenzake au alipata ajali, mimi wakati nasoma tena nikiwa mdogo kabisa kuna mwalimu wa hesabu liyeitwa Marandu,aliwahi kuniambia kabisa kuwa ananichukia bila sababu yoyote, nilipomweleza mzazi wangu akanihamisha shule...
  13. C

    Ugonjwa wa Figo wazidi kuwatesa vijana, Hospitali zapokea wanne hadi 9 kila siku

    Hivi vipombe vya buku buku ni hatari kwa kweli,na serikali inajua,waziri wa afya ni mwajiriwa wa serikali,kuna katibu wa wizara,naye ni mtaalamu wa afya,kuna mganga mkuu,wote hawa wanajua tatizo lilipo,na wana access na serikali kuu,kwa nini wasiishauri serikali izipige marufuku bidhaa hizo...
  14. C

    Ugonjwa wa Figo wazidi kuwatesa vijana, Hospitali zapokea wanne hadi 9 kila siku

    Hizo zote ni addiction mkuu,kama tu mihadarati mingine,ukimuuliza teja yeyote kama angependa kuendelea kutumia madawa ya kulevya atakuambia jinsi anavyotamani aachane nayo kabisa,ila inamuwia vigumu mno kuacha,mtu ambaye tayari ni addicted anahitaji zaidi msaada kutoka kwa jamii kuliko kumwombea...
  15. C

    Hotuba ya Rais Samia yawabubujisha machozi Watanzania utafikiri wamefungiwa kwenye chumba chenye moshi wa kuni mbichi

    Hilo hata yeye amelikataa,amesema wazi kabisa kuwa watanzania hawana furaha.
  16. C

    Waziri Mkuu wa Haiti ajiuzulu baada ya Makundi ya Uhalifu kumshinikiza aachie madaraka kabla ya kurejea nchini humo

    Haiti haipo Afrika,ipo America huko,kwa nini nchi za amerika zisimsaidie mwenzao hadi wewe black butt uende huko eti ukatoe msaada? Mmeshindwa kumsaidia kongo hapo si ujinga tu kwenda huko?
  17. C

    Video: Diamond Platnumz na Harmonize wakipata chakula kwa pamoja

    Waimba ngono ndani ya Ikulu yao.
  18. C

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri lijitathmini kwenye miradi yake

    Na hiyo miradi huwa inamfaidisha nani? Maana pale Selian mtu wa kima cha chini hawezi kumudu hata gharama ya kujitibu mafua, nilishaapa, siji kuchangia mradi wowote wa kanisa, labda wa Sunday school.
  19. C

    Nini kifanyike bajaji na bodaboda kutosimama kwenye zebra?

    Hii ni kero kubwa sana, specificaly hapa Arusha, eneo la Summit centre, kuna zebra inayoruhusu watu kuvuka kutokea summit kwenda kanisa la calvary, hapo watu wa hiace wamegeuza ndiyo parking yao, na madereva wa hiace Arusha wengi wao ni walevi sugu, cha kushangaza unakuta hiace imesimama hapo...
Back
Top Bottom