Search results

  1. Memento

    Waziri Januari Makamba agawa mitungi 300 ya gesi kwa kina mama wa CCM Mkoa wa Mara

    wangeanza kuwauzia kwanza kwa hiyo bei rahisi.
  2. Memento

    Januari Makamba: Wanaohoji kuchelewa Mradi wa JNHPP ni upuuzi tu

    Kama hataki lawama aache uongozi.
  3. Memento

    Januari Makamba: Wanaohoji kuchelewa Mradi wa JNHPP ni upuuzi tu

    Hata mimi sikuamini mpaka nilivyosikiliza video. Hii nchi tumerogwa sio bure kama viongozi ndio hawa
  4. Memento

    Januari Makamba: Wanaohoji kuchelewa Mradi wa JNHPP ni upuuzi tu

    Makamba nilijua ni mweupe Ila sio kwa kiwango hiki. Kabisa hana majibu zaidi ya kusema Kama wanataka wamuue? Mawaziri wote wanasemwa, Tamisemi, afya, maji, ujenzi, mambo ya ndani. Kwa nn yeye aone anaonewa?
  5. Memento

    Waziri Januari Makamba agawa mitungi 300 ya gesi kwa kina mama wa CCM Mkoa wa Mara

    Gesi kupikia? Kwa hawa ambao hata milo mitatu tu hawajui wanaipataje? Kwa mujibu wa world bank nusu ya watanzania ni maskini. Gesi mimi mwenyewe imenishinda pamoja ni muajiriwa
  6. Memento

    Januari Makamba awajibu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi

    Umemezwa na hizi propaganda? Hakuna ambae hapendi kutumia gesi Ila shida ni kumudu gharama. Huko vijijini kupata Milo mitatu tu shida, Leo ndio ataweza kujaza gesi ikiisha?? Kwa takwimu za world bank watu milion 30 ni maskini. Na hapa wanazungumzia wale maskini haswaa. Leo ndio utaweza kuwaambia...
  7. Memento

    Chalamila laana inaendelea kumtafuna

    Sijaelewa
  8. Memento

    Wasanii Bongo Fleva na ajenda za ushoga

    Tema mate chini Hiyo yupo na mchicha mmoja designer
  9. Memento

    Waziri Januari Makamba agawa mitungi 300 ya gesi kwa kina mama wa CCM Mkoa wa Mara

    Hapo ni sawa na kumpa mtu samaki badala ya nyavu. Aweke sera nzuri bei ipungue, watu watatafuta wenyewe
  10. Memento

    Waziri Makamba hiki unachofanya sio sawa. Umaskini uliopo unatisha

    Kalemani?? Ww na kalemani wote hamna akili
  11. Memento

    Hili lililomkuta Bashe liwe fundisho kwa Mawaziri

    Hata ukiwa na tatizo nae, utafanyaje?
  12. Memento

    Hili lililomkuta Bashe liwe fundisho kwa Mawaziri

    Arudi bungeni afute tena kauli zake
  13. Memento

    Hili lililomkuta Bashe liwe fundisho kwa Mawaziri

    Confidence mwanzo alipata wapi? Maana hili suala la.mbolea alikua mkali sana
  14. Memento

    Waziri Makamba hiki unachofanya sio sawa. Umaskini uliopo unatisha

    Inahitaji sayansi gani hapo kwa wananchi wanaoishi chini ya dola moja kumudu gharama za gesi? Muajiriwa tu anashindwa kumudu ndio ije kuwa huko kwenye nyumba za tope
  15. Memento

    Waziri Makamba hiki unachofanya sio sawa. Umaskini uliopo unatisha

    Viongozi wetu sijui hawafikirii?
Back
Top Bottom