Search results

  1. J

    Serikali kurudisha tena Mswada wa Bima ya Afya kwa Wote tena bungeni kesho 01/11/2023

    Wangeweka laki moja kwa familia ya watu 5 zaidi ya hapo laki na nusu. Alafu wakaliweka ni jambo la lazima kwa mkuu wa familia kulipia hata ikiwezekana kidogo kidogo kwa mwezi elfu kumi.
  2. J

    Kadinali Rugambwa ampokea Rais Samia Tabora

    Rekebisha Kanisa Katoliki halina kiongozi anayeitwa Askofu Mkuu wa Tanzania yeye hadi sasa ni Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu la Tabora.
  3. J

    Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa unaoifanya iwe chini ya Usimamizi wa Rais watua Bungeni

    Kwa dunia ya sasa sheria ingezingatia pia namna TISS itajikita katika ujasusi wa kiuchumi na kuleta tija kwa uchumi wa Taifa.
  4. J

    Tumaini TV(TVT) ni Mali ya CCM?

    Kwa mfano utaratibu wa Kanisa ili utambulike kama Mkatoliki lazima uwe kwanye jumuiya muumini hataki kushiriki jumuiya kwa hiari yake mwenyewe siku imetokea amefariki ndugu ndo wanajitokeza na kusema ni mkatoliki wanataka kanisa limzike je kanisa likisema halimtambui likakataa kushiriki kosa la...
  5. J

    Tumaini TV(TVT) ni Mali ya CCM?

    Samahani kwa maswali ni katika kukuza uelewa tu je muumini asipochangia gharama za uendeshaji wa Kanisa, Kanisa likigoma kumpa huduma ni makosa ?
  6. J

    Tumaini TV(TVT) ni Mali ya CCM?

    Hapa kimsingi ni lugha laini tu lakini ukweli unakuwa umelipia huduma huo mfano uliotoa ni gharama ya fomu bila kutoa kiasi hicho nina imani hautapewa fomu hata huku kanisani bila kulipia ile gharama itakuwa ngumu kupewa huduma.
  7. J

    Tumaini TV(TVT) ni Mali ya CCM?

    Asante lakini hapo kwenye Sakramenti si muumini analipia mfano wakati wa kuandikisha mafundisho si huwa kuna malipo muumini analipia kabla ya kuanza mbona unasema ni bure?
  8. J

    Tumaini TV(TVT) ni Mali ya CCM?

    Pascal Mayalla kama inapokea matangazo ya kibiashara mbona sasa huwa inasemwa ni Tv za kanisa ambazo sio ya kibiashara?
  9. J

    DOKEZO DAWASA yatoa notisi ya kusitisha usambazaji wa maji ya Visima kwa baadhi ya Maeneo ya Jiji la Dar es salaam

    Badala ya kuifanya huduma iwe bora na rahisi kupatikana kwa mwananchi ili washindane na wenzao badala yake wanawazuia wasitoe huduma ili wabaki peke yao.
  10. J

    Dodoma: Bajeti Kuu ya Serikali ya Tanzania 2022/2023

    Hii kodi ya huduma Mtandaoni ni kodi ipi? Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
  11. J

    Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

    Maxence Melo Maoni yangu napendekeza 1) uwekwe kwamba ukisoma thread ukiishia njiani ukiitaka tena basi ikupeleke moja kwa moja hadi ulipo ishia hadi utakapoimaliza. 2) kwenye thread nikitaka kusoma maoni ya member fulani basi niweze kusearch tu na inakuwa inanipeleka kwenye maoni ya huyo mtu...
  12. J

    Zitto Kabwe: Ndoto yangu ni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mbona mapema sana hivi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. J

    Utaratibu wa ulipaji ada shuleni

    Anadaiwa kwa sababu Mzazi unakuwa umeingia mkataba na shule kwa niaba ya mtoto kulipa ada pamoja na michango mingine ya shule na fomu hiyo unasign wewe hivyo ni wajibu wako kulipa hizo installment ni kukusaidia tu kupunguza kidogokidgo hadi unajikuta umemaliza.
  14. J

    Dark days 17/03/20...

    Mmmhh!! mbona code ndogo sana hiyo
  15. J

    Akaunti ya Benki ya mtu aliyefariki

    Ni kweli huwa zinahamishiwa kwenye account ya mahakama ikiyoko BOT kisha baada ya taratibu zote warithi wake huingiziwa kadri ya uwiano uliowekwa
  16. J

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Mkuu kipengele cha select course kimeafanya vizuri
Back
Top Bottom