Search results

  1. Igande

    Forex Trade imeniumiza

    Jana ilishuka pips 70 in 3 minutes [emoji119]. Juzi ilifanya the same in 2mins, yaani ukitaka kuunguza account trade Gold bila stop loss, halafu tumia lot size kubwa[emoji23][emoji23] Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
  2. Igande

    Sup sio kilema

    [emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
  3. Igande

    Ni nini hiki?.

    Angalia groups in common. Wengi wanatoa kwa groups
  4. Igande

    Naomba ushauli; simu bora kwa mwanachuo

    Kama ni kwa matumizi ya chuo tu, kikubwa angalia storage. Storage ambayo ni uhakika huwezi kuijaza hata kama uwe na vitabu au slides nyingi kiasi gani ni 64GB. Pia, unaweza ku'consider' RAM. Ila mara nyingi simu zenye Storage ya 64GB zinakuwa na RAM ya 4GB. Ambayo ni bomba. Hivyo, bajeti ya...
  5. Igande

    Medical Council of Tanganyika (MCT) lengo lenu ni lipi kwa vijana wetu? Njooni mueleze

    Kwenye pesa, nakubaliana na wewe. Kwenye muda, kama una kichwa kizuri unaweza kusoma huku unafanya mishe nyingine. Kama hoja yako inalenga kwamba miaka sita ni mingi, naomba nikukumbushe hao wanaomaliza mapema wanabaki kulaumu wanasiasa kuhusu ajira. Hakuna la maana wanalofanya mtaani Sent...
  6. Igande

    Medical Council of Tanganyika (MCT) lengo lenu ni lipi kwa vijana wetu? Njooni mueleze

    Kwahiyo ni mazuzu kwa sababu wanafanya kitu ambacho, kwa mtazamo wako, si sawa? Wewe ndo zuzu sasa Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
  7. Igande

    Medical Council of Tanganyika (MCT) lengo lenu ni lipi kwa vijana wetu? Njooni mueleze

    Acha uongo Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
  8. Igande

    Medical Council of Tanganyika (MCT) lengo lenu ni lipi kwa vijana wetu? Njooni mueleze

    Mitihani waliyofanya ndani ya miaka mitano ni mingi mno na inatosha Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
  9. Igande

    Medical Council of Tanganyika (MCT) lengo lenu ni lipi kwa vijana wetu? Njooni mueleze

    MCQs ni ngumu zaidi mkuu Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
  10. Igande

    Medical Council of Tanganyika (MCT) lengo lenu ni lipi kwa vijana wetu? Njooni mueleze

    Zamani ulikuwepo? Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
  11. Igande

    Ni kweli hakuna iphone 13 original nchini Tanzania?

    Naona hamjaelewana. Kuna tofauti kati ya Apple stores na Resellers. Kwenye website ya apple utakuta stores tu na sio resellers Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
  12. Igande

    Ewe Mwanachuo, pitia hapa uepukane na aibu ya kuwa msomi

    Nipo chuo mkuu. Ninayaishi maneno yangu, lakini pia nimeona ni vzr ku'share' knowledge hapa na wengine Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
  13. Igande

    Ewe Mwanachuo, pitia hapa uepukane na aibu ya kuwa msomi

    Ahsante kwa kunisaidia kumjibu Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
  14. Igande

    Ewe Mwanachuo, pitia hapa uepukane na aibu ya kuwa msomi

    Mkuu mimi na wenzangu wachache tunafanya hivyo. Ninaongea ninachoishi Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
  15. Igande

    Ewe Mwanachuo, pitia hapa uepukane na aibu ya kuwa msomi

    Ahsante. Nimefurahi kusikia hivyo Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
  16. Igande

    Ewe Mwanachuo, pitia hapa uepukane na aibu ya kuwa msomi

    Inasikitisha kwamba kuwa msomi siku hizi imekuwa aibu. Unasoma kwa bidii mpaka ngazi ya chuo kikuu unaishia kutia aibu mtaani. Nakumbuka kipindi niko Form V niliazimia kuacha shule. Niliona kabisa napoteza muda mrefu na nitaishia kupata aibu tu kwa usomi wangu. Sio jamii tu, bali hata walimu...
  17. Igande

    Kipi kiliwafanya wahenga kutunga misemo kama hii "Asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu"

    Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo? Misemo mingi ya wahenga haiko sawa. Don't take it from me, take it from an American professor and expert in psychology : In 2015, a meta analysis, a study of studies, found this pattern across thousands of studies following over 14 million twin pairs across 39...
  18. Igande

    Kozi zipi za ziada unaweza soma wakati unachukua degree ya udaktari?

    Nakushauri uachane na wazo la kuongeza kozi. Ni bora zaidi kama ukianza kujihusisha na biashara, don't put that much trust in education Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
  19. Igande

    Kozi zipi za ziada unaweza soma wakati unachukua degree ya udaktari?

    Sio rahisi ku'save' boom. Labda intern Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom