Search results

  1. K

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Kuna Mawaziri wana tuhuma za Uchawi

    Dah! Afu wakukamate umeiba kuku uje uone unavyosagwa sagwa utadhani unashambuliwa na yale ma raptors na ma stealth fighters yaani F22 na F35. Lkn wao their stomachs are as dry as Saharan desert of which there is no rain that can quench out its thirsty. The Mickey cattle of Africa who seem to...
  2. K

    Andrew Chenge achukua fomu ya kugombea Uspika. Fahamu kuhusu wasifu wake

    ***** wallah! Na yule babu wa dijirii tisa kutoka hazina sjuhi akimuona huyu kifaru cha Harmata toka Urus anajiskiaje???!!! Ahahah
  3. K

    TANZIA Rubani wa Ndege iliyotekwa 1982 kushinikiza Nyerere ajiuzulu afariki dunia

    Na mimi nilishagundua hilo, unaweza kuwa unatukana kisela-sela-jinga kumbe unamtukana baba/mama/ babu/nyanya yako. Bora tu kuwa na adabu na lugha hadhimu ya staha!
  4. K

    Hiki ndicho kilichomg'oa Lukuvi pale Ardhi

    Watu wanaroga aisee, Kurwa kabaki duh! Watu humu walimsagia kunguni balaa ahahaha
  5. K

    Hiki ndicho kilichomg'oa Lukuvi pale Ardhi

    mimi nikahisi ile michambo ya enzi zile Kanisani dhidi ya Zanzibar-Uislam-Ugaidi.. ndo imemtoa knock out
  6. K

    Ridhiwani Kikwete kuwa Naibu Waziri ardhi siyo mkakati kweli?

    Umenichekesha sana maana umemgusa mtu utosini!
  7. K

    Yuko wapi Job Ndugai kuisawazisha hii sintofahamu?

    Yeah, iko vizuri ndugu! Hongera, tuendelee kulijadili Taifa letu(Mama Tanzania).
  8. K

    Yuko wapi Job Ndugai kuisawazisha hii sintofahamu?

    Kujiudhulu, kujiudhuru, umechanganya-changanya kishenzi mwanangu. Sema KUJIUZULU usisumbuke na 'dhu' yako ahaha Narudi kwenye Mada, naendelea kumsihi Ndugai akae kimya hivyo hivyo asiongee chochote maana he is at the edge of his last paper!
  9. K

    Mwanzoni alikuwa hajui hata nafasi anayotumikia inakuwaje

    Dah! Ahahahah mwanangu tumeshea mamaaa, maana pale nimevibomoa vidumule kama sitini hivi, ahahah yaani pale mwake kishenzi juzi tu kuna kanyange kamenicheka tu nkafyatua mm sjui na hako umekapiga mwanangu!!!
  10. K

    Sinior Makamba alijua hivi, kumbe mambo yanaweza badilika yakawa hivyo

    Aisee umendika kitakatifu sana bila bias yoyote mkuu. Barikiwa sana! Muhimu kuchapakazi kisha kila kitu muachie Mungu uone atakavyopangua mafile! Safi sana. Hii kwako comment lakini kwangu ni kama somo!
  11. K

    Kwa hali hii; Je, Job anaweza kumuwahi boss wake kwa ile kura ya veto?

    Nadhani watafanyiana timing, maana mama hata akishinikiza Jamaa kufutwa uwanachama, hawez kumtoa kwenye usipika maana spika silazima awe mwanachama wa chama chochote. Na ikipigwa kura bungeni mama hataamini macho yake!
Back
Top Bottom