Search results

  1. Bill

    Ile Mvua Yetu wana Simba imeonekana tena huko Algeria, Tushangilie Ushindi

    Walipokea wapinzani wetu Airport, wakawapa mbinu, wakazua uongo wa vyumba vya kubadili nguo, wakavaa jezi zao. Kale kamvua ka Dar es Salaam kamepanda DreamLiner. Wanako, kapo. Kesho tusubiri matokeo. Lazima wanaSimba tufurahi. ONYO. TUSIPANGIANE FURAHA WALA CHA KUTUFUHISHA. ENJOY...
  2. Bill

    Sendoff ya Yanga imefanyika kwa Mkapa, Harusi na kuvaa Madela/Medali itakuwa Algeria Jumamosi

    Yanga, amemaliza sherehe ya kuaga Mashindano ya Losers, CAF confederation CUP. Wageni na washuhudiaji karibu milioni 60 walihudhuria sherehe ya sendoff au kuagwa kwa Yanga Mashindano ya Losers. Harusi ni Jumamosi, Yanga wanaenda tayari wamejiandaa kuvalishwa madela au medali. Hili ni tukio la...
  3. Bill

    Ni kwasababu gani mechi ya coastal union na yanga imesitishwa 16/1/2022,??

    Hii mechi ilipangwa Jumapili Mkwakwani Stadium Tanga lakini imeahirishwa. Je nini hakijaenda kama ilivyopangwa? GENTAMYCINE ufafanuzi tafadhali.
  4. Bill

    Uchaguzi 2020 Oktoba 28, 2020 siku ya kuwapumzisha Wabunge wa Upinzani waliosusa mara kwa mara vikao vya bunge 2015 hadi 2020

    Wabunge wa upinzani wakiongozwa na CHADEMA walikuwa wakisusia mara kwa mara vikao vya bunge na kutoka nje. Hata kipindi cha korona aka COVID19 walisusa wakisingizia wanaenda kujifungia kitu hawakufanya wakaendelea kupiga misele mtaani. Hata pale shule zilifunguliwa hawakufungia watoto wao...
  5. Bill

    Uchaguzi 2020 Jinsi ya kuweka vema✅ kuchagua Rais wa Tanzania

    Bado siku chache tuifikie 28 Oktoba 2020 ambayo itaamua Tanzania inachukua mlengo gani wa kisiasa na kiuchumi. Hivi ndivyo inavyotakiwa kupiga kura kwa kuweka alama ya Vema kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  6. Bill

    Uchaguzi 2020 Kwanini CHADEMA hawakemei na kulaani vurugu na mauaji kipindi hiki cha kampeni?

    Mauaji yametokea Njombe kijana Mlelwa kauawa Chadema hawajalaani au kutolea kauli kuwataka wanachama wao kuheshimu sheria za nchi na kanuni za uchaguzi ili kudumisha amani. Mauaji pia yametokea Tunduma kijana akipigwa tofali hakuna tamko la Chadema. Watu wamekatwa mapanga msikitini Zanzibar...
  7. Bill

    Ubashiri: Jaribio la mauaji kwa kiongozi nchi mojawapo Afrika Mashariki labashiriwa

    Kuna wahubiri wanajiita manabii wa Mungu aliye hai. Lakini mimi wengi wao huwa siwaamini kwa kuwa matendo yao walio wengi yanapingana na neno la Mungu. Wengi ni matapeli na malaya. Lakini pia kuna jumbe huwa wanazitoa, zinaweza kuwa kweli na zikatokea lakini sio kweli kwamba zimetoka kwa Mungu...
  8. Bill

    Tutafakari: Dereva wa Lissu kuelekeza gari nyumbani badala ya polisi kituoni

    Nimetafakari mara kwa mara kuhusu huu mkanganyingo wa kujeruhiwa kwa Lissu. Hasa pale sinema linapoanzia. Kwa siku kadhaa dereva aliona gari likiwawinda. Na pia siku ya tukio gari hilo liliwafuata tokea viunga vya bunge. Cha kwanza najiuliza na kutafakari, kwanini hakukuwa na taarifa polisi juu...
  9. Bill

    TAZAMA yatoa gawio la TZS 681 Milioni Serikalini

    Shirika linalosimamia bomba la mafuta kutoka Dara es Salaam Tanzania hadi Zambia - TAZAMA limetoa gawio la shilingi 681 milioni kwa serikali ya Tanzania ikiwa ni theluthi moja (1/3) ya gawio lote ambapo zambia imepata theluthi mbili (2/3) ikiwa mbia mwenye hisa kubwa. Kwa maana hiyo Zambia...
  10. Bill

    Magereza wamwachia SUGU na kumfunga YANGA

    Hawa Magereza (PRISONS) watu wa ajabu sana, wamemwachia SUGU kisha wakamfunga YANGA.:D
  11. Bill

    Mwizi wa deki G/Mboto atumiwa nyuki

    Mliokuwa mnabisha ishu ya Mlandizi sasa live huyu mwizi wa deki katumiwa mzinga wa nyuki huko Gongo la Mboto. Hali ngumu watu wameamua kujiongeza na kutumia ulinzi shirikishi.
  12. Bill

    TCRA, IGP Sirro, Polisi: Utapeli - Pyramid Scheme WhatsApp kuna wizi

    Kuna watu waanzisha magroup ya whatsapp na kufanya donation ya pesa kuanzia shs 10,000 ambapo mchangiaji analipwa 70% baada ya siku tatu. Lakini baada ya kuwa wamekusanya pesa ya kutosha wanatoweka na kuwaaacha donators wakihangaika. Kuna hawa watu wanaojiita STRONG INVESTMENT wameanza huu...
  13. Bill

    Anahitajika Pharmaceutical Dispenser

    Anahitajika Pharmaceutical Dispenser awe na cheti cha Mwamka mmoja katika masuala ya Pharmaceutical Dispensing. Hata ikiwa hana uzoefu kazini atafundishwa kazi kwani ataanza kama intern (internship program). Mwenye nia aniPM nitampa namba kwa mawasiliano. Regards
  14. Bill

    TRA, TAKUKURU wamtaja anayeiba mil7-8 kila dakika, huyu hapa..

    MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) hatimaye wametaja mfanyabiashara ambaye alibainishwa na Rais John Magufuli katika hafla ya kuwaapisha Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Ikulu Dar es Salaam juzi. Akizungumza na waandishi wa habari...
  15. Bill

    Kujua kituo chako cha kupiga kura Piga *152*00#

    Nilicheck kwa namna hiyo kisha nikaenda moja kwa moja kwenye hicho kituo kuangalia jina langu nikalikuta lipo. Hii itakurahisishia kujua mahali ulipo ili ukapige kura Jumapili. Ujumbe: USIWE CHANZO CHA VURUGU VITUONI NA MTAANI, ZOEZI LA UCHAGUZI LIISHE KWA AMANI.
  16. Bill

    Nyumba inauzwa Sinza Mori - Hakuna Dalali

    Nyumba inauzwa Sinza Mori. Anaehitaji ani-PM. Madalali marufuku. Kuni contact uwe mnunuaji sio mtu wa kati.
  17. Bill

    ong: Ladies and Girls be Strong

    Haka kawimbo nimekapenda nadhan ladies watakapenda pia https://www.youtube.com/watch?v=BGvOaGp5M-4
  18. Bill

    Continuing Story: Ile kashfa ya Mh. Komba msichana alopiga nae picha anena...

    Hatimaye mrembo huyo ameibuka na kuanika mambo mazito kama si makubwa, Risasi Mchanganyiko linakudadavulia.Awali katika gazeti hili toleo la Jumamosi iliyopita ukurasa wa mbele kulikuwa na habari hiyo ikiwa na kichwa; KHAA! KOMBA! Katika habari hiyo picha zilizomuonesha mheshimiwa Komba akiwa na...
  19. Bill

    Pendekezo la katiba lililosahaulika: ZANZIBAR iitwe ZANZIDAR

    Kwa kuwa wawakilishi wetu wameamua kubaka mchakato wa katiba, na hawataki kuiona Tanganyika ikirudi, wanataka iendelee kuitwa jina la ubatizo, Jina la TANZANIA BARA yaani Tanganyika Zanzibar bara. Ninapendeza kwenye mjadala wa katiba mpya ZANZIBAR ibatizwe na kuwa ZANZIDAR yaani Zanzibar Dar...
  20. Bill

    Political Joker: Mzee Kasema "Ukiiponda Utapigwa tuuu"

    Wabishi yatawakuta! timu ikiharibu kidogo mnachonga sana, sasa tutawapiga tu na mimi nasema wapigwe tu.
Back
Top Bottom