Search results

  1. Bill

    Mashabiki wa mamelodi hawana furaha kucheza na Yanga

    Pole mtani, ni ya kawaida haya sisi tumeyazoea. Kina Magereza (Prisons) walijipigia tukakubali matokeo
  2. Bill

    Hongera Pacome Zuzu kwa kujivunja mapema leo vs Azam

    Na haitakaa itokee vile Pakome ni mmoja tu, pia hakuna mchezaji ktk NBC ligi yote kama Fei Salum, Kibu au Diara Kila mchezaji ana namna yake na ni mmoja pekee
  3. Bill

    Mashabiki wa mamelodi hawana furaha kucheza na Yanga

    Hahahah😃🤣😃 Salaam mtani. Nenda AZAM upate ice waambie ntalipa, password (neno siri) ni "toto"🤣
  4. Bill

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Hii game ni droooooooooooooooooooo
  5. Bill

    Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

    Sawa mkuu, weka namba PM tuyajenge
  6. Bill

    Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

    Weka bei au tuma namba PM tuyajenge
  7. Bill

    Mashabiki wa mamelodi hawana furaha kucheza na Yanga

    Eti mtani Shadeeya ya kweli hayo? Kalpana et al njoo uone wanavyosema
  8. Bill

    Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

    Hicho kiwanja kipo mkoa gani, eneo gani na unauza bei gani? Sema tukuondolee stress
  9. Bill

    Duniani Wanawake Waganda wanaongoza kwa kuwa na Mizigo au Matrakoo Asilia zunguka popote hawa viumbe wamejaaliwa

    Hahahahahhahahahaha Sasa kama unajua picha zinakopatikana, si usome kisha uingie google uangalie picha🤣😃😀
  10. Bill

    FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

    Benchika karudi au timu ipo na Matola
  11. Bill

    Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

    Ww ongelea timu yako sio timu zetu
  12. Bill

    Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

    ....ili ipangwe na Mamelody Sundowns. Na wote tuseme amen, na waje.
  13. Bill

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Angalau 2 kwa 1 sio mbaya
  14. Bill

    Karia anapambana ili Simba ipangiwe Petro de Luanda

    Uzuri unajua ukweli ndio maana ukasema ni kama nimevuta bangi ila ukweli unaujua sijavuta. Kumbe ukivuta bangi unajibu kama nilivyojibu. Basi uache hizo bangi nami naacha kujibu kama wavuta bangi
  15. Bill

    Karia anapambana ili Simba ipangiwe Petro de Luanda

    Acha unazi wewe, Yanga lazima atoke akikutana na Mamelody. Hata Simba lazima atoke akikutana na Mamelody. Na kuna uwezekano mkubwa Mamelody akatwaa ubingwa. Yaani unataka kusema Yanga akimtoa Mamelody basi anaenda kutwaa ubingwa Afrika?
  16. Bill

    Karia anapambana ili Simba ipangiwe Petro de Luanda

    Simba timu inaweza pangwa nazo hatua ya Robo ni 1. Al Ahly 2. Mamelody Sundowns 3. Petro Atletico de Luanda Yanga 1. Asec Mimosas 2. Mamelody Sundown 3. Petro Atletico de Luanda Haya mwambie Karia akuchagulie nani ukutane nae kati ya hizo.
  17. Bill

    Karia anapambana ili Simba ipangiwe Petro de Luanda

    Lazima Yanga akipige na Mamelody
  18. Bill

    Karia anapambana ili Simba ipangiwe Petro de Luanda

    Ficha ujinga wako basi japo kidogo tu. Unadhani wanapanga kama nyanya? Vigezo ni hivi hapa 1. Timu zilizokuwa kundi moja hazikutani katika hatua ya robo fainali 2. Kunakuwa na vyungu viwili (pot). Pot moja ni washindi wa kwanza kila kundi na Pili ni washindi wa pili kila kundi. Hapa sasa...
Back
Top Bottom