Search results

  1. Autodidacts

    Zangira ni nani na katumwa na nani kuwashughulikia akina Lema huko ughaibuni?

    Kuna taarifa zimenistusha sana,zinarushwa kwa mtindo wa onyo hasa kwenye mtandao wa heshima...Twitter kuwa kuna mtu anaitwa Zangira ambae katumwa kuwashughulikia kimafia akina Lema na wenzake uko ughaibuni walipokimbilia kunusuru kesho yao. Huyu mtu ni nani hasa na katumwa na nani? Je 'muuaji'...
  2. Autodidacts

    Tusilalamike; Mdude Nyagali katengenezwa na CCM

    Nimefuatilia malalamiko na mijadala mingi kuhusu ujio wa 'lugha za Mdude' kwa watawala. Tujifunze kidogo kuvaa viatu vya watu wengine ata kama havitutoshi. Mdude ni muhanga wa utawala katili kuliko tawala zote tangu uhuru. Amepewa kesi ya kubambika kama iliyothibitika hivyo kwa maandishi ya...
  3. Autodidacts

    Wote wameingia kibahati na kutotarajia, Rais Samia hana jipya tena

    Hayati Magufuli a.k.a mwendazake aliwahi kukiri kuwa hakutarajia kuwa Rais wa awamu ya tano. Wengi tunakumbuka yaliyotokea, mpambano wa Membe na Lowassa ndio uliomzaa Magufuli kama suluhu ya kambi mbili pinzani ndani ya CCM wakati huo. Mwendazake alipata heshima na makofi mengi ndani ya siku...
  4. Autodidacts

    Rais Samia Kiwanda cha Chibuku/ Darbrew LTD kilifungwa tangu mwaka 2018. Muwekezaji yupo lakini Watendaji wa Jiji la Ilala wanakwamisha

    DARBREW LTD ni kiwanda cha kutengeneza pombe aina ya chibuku,kilianzishwa tangu mwaka 1967 na kampuni binafsi LONRHO corporation. Serikali ilikitaifisha kiwanda hicho mwaka 1978 na kukiendesha kwa mafanikio.Kilianza kuwa na ubia mwaka 1997 ambapo serikali ilikuwa na hisa ya 40% na sekta binafsi...
Back
Top Bottom