Search results

  1. Balqior

    Huyu bibi bikra mwenye miaka 86 anawakilisha mentality ya wanawake wengi

    Hi Jana nliona video afrimax, kuna bibi anaeitwa Sofia wa hapa hapa Tanzania anadai ana miaka 86 halafu bado bikra, hajaolewa hana watoto wala wajukuu, kwasababu kipindi cha usichana wake alikataa kila mwanaume aliekuwa anamtongoza. Aliwakataa hao wanaume sababu alikuwa akiwaangalia hawana...
  2. Balqior

    Msaada: Nina MB's za kutosha kwenye smartphone yangu, ila mobile data haifanyi kazi

    Habarini Natumia simu ya itel A05 mpya tu haina hata mwaka, laini ya voda nayo ni mpya haina mwaka, hili tatizo limeanza juzi, mb nakuwa nazo tena zaidi ya 800, ila nikiwasha mobile data sipati chochote, sasa najiuliza hili tatizo ni kwangu kwenye simu yangu, au ni watoa huduma wa voda Wana...
  3. Balqior

    Baadhi ya wadada kwakweli mnajua jinsi ya kutupa mfadhaiko sisi wanaume

    Za asubuhi Kwenye majira flani hivi yaliyopita nlikuwa mahali ofisini, nafanya mishe zangu, mara akapita mdada jirani wa siku nyingi kidogo tunaefahamiana kwa majina tu ila sinaga mazoea nae zaidi ya salamu, akanisalimia, nikamjibu, alichokifanya baada ya kutembea hatua mbili mbele yangu ndo...
  4. Balqior

    Wanaume wengi siku hizi tumejanjaruka, nikikutongoza leo, kesho ukaniomba hela, ni mbio, hakuna kutuma hela wala kubembeleza

    Hello Hii staili ya wanawake sijui niite ni udangaji, kukomoa mtu, au kumjaribu mtu, pale ambapo mdada umetongozwa tu leo, kesho unaomba hela, nlishangaa kugundua hadi watoto wa kiume wa form 4 wanaijua hio staili, unaombwa hela, ukiitoa mtu kwenye miadi hatokei, sababu kibao, bora ukimbie, na...
  5. Balqior

    Ukiachana na "golddiggers" kuna aina ya wanawake ambao mimi nawaita "marriage-diggers"

    Habarini, "Marriage-diggers" ni aina flani ya wanawake ambao maamuzi yao ya kuingia kwenye mahusiano na mwanaume yako dictated na umri wao. Unaweza kuta mdada mzuri tu kimuonekano, ana miaka 28,29, au 30 yupo single hana mtoto, halafu anakushobokea kiaina, unamtongoza anakubali kirahisi...
  6. Balqior

    Wanawake wanaoomba hela muda mfupi baada ya kutongozwa huwa wanakuwa kwenye mahusiano ya maana?

    Habarini, Nimewaza hali ya uchumi ilivyo, na tabia ya wanawake kupiga mizinga kila mwanaume anaewatongoza. Najiuliza, mwanaume gani ataombwa hela siku chache baada ya kutongoza, halafu aweke kambi kwa huyo dada? Sana sana ama akiombwa hela mara ya kwanza atakimbia, au atahonga mara ya kwanza...
  7. Balqior

    Wadada kausha damu, jifunzeni hata kuwapikia boyfriends wenu

    Habarini Nimefanya takwimu isio rasmi, nimegundua wanaume ndio tunaongoza kwa kula migahawani kila siku, asubuhi mchana na jioni, wadada wanaokula migahawani ni wachache, tena wanakula mara moja moja, nika-reason na kusema wanaume wanaokula migahawani sio kwamba wote wako single, wengine wako...
  8. Balqior

    Wanaume mliowahi kudate wadada wanaoosha nywele saluni za kiume, nipeni uzoefu

    Hello, Wazee kuna saluni moja nilienda hapa mjini, dah kuna mtoto nlimwona nkapagawa, ni mzuri haswa, mfupi kiasi, rangi nzuri, chura iliochomoza yenye shepu nzuri, mlaini, miguu yenye shepu nzuri ilionona, nkajisemea kwa uzuri huu hastahili kufanya kazi kama hii. Wakuu nipeni tips, ikitokea...
  9. Balqior

    Dunia ina unafiki sana, Poshqueen anampost Harmonize karibia kila mara, kama vile anampenda kweli

    Yaani mdada kama Poshqueen ni mtu wa ku fall in love na mwanaume, hahaaaaa tena mwanaume mwenyewe Harmonize.😂 Baadhi ya wanawake (wengi wenu) mmetisha, mkiona mwanaume ana hela, mnajua kuigiza mmempenda kuliko waigiza filamu wa Hollywood, nje mnaonesha mnampenda kumbe moyoni mko tofauti...
  10. Balqior

    Naona kama miaka ya 2009- 2013 nyimbo nyingi nzuri sana za mziki zilitungwa kwenye kipindi hicho

    Hi guys nyimbo Kali nyingi zilitungwa kipindi hicho kama vile 1)Dynamite ya taio Cruz 2)International love ya pitbull ft Chris brown 3)Coconut tree ya mohombi 4)Bumpy ride ya mohombi 5)Moves like jagger ya maroon 6)On the floor ya Jenifer Lopez 7)Dj got us fall in love again ya usher...
  11. Balqior

    Wanaume tunaongoza kusaliti na kujisifu kusaliti, lakini sisi tukisalitiwa tunalaumu

    Hi, Kuna kitu nashangaa kuhusu sisi wanaume, naongelea from experience nliyoona from washkaji wangu wa karibu, utakuta mwanaume ni malaya mbwa, michepuko anayo kama yote, na malaya ananunua, lakini anatarajia mkewe awe loyal, hii inawezekanaje? Tarajia mkeo au mpenzi wako awe loyal, kama wewe...
  12. Balqior

    Nafikiri miaka 100 ijayo taasisi ya ndoa haitakuwepo kabisa

    Hi, Kwasababu ya huu utandawazi wa internet, redpill movement, mgtow, mambo ya LGBTQ, udangaji, atheism, umaskini na unemployment wanaume wengi watachelewa kuoa, wanawake watazidi kuona suluhisho ni kudanga, wanaume wataona wanawake wote ni wadangaji, hata wakioana, muunganiko wa moyoni...
  13. Balqior

    Kuna vijana wengi wa kiume in their late 20's wenye mwonekano smart, kazi nzuri, kipato, gari, lakini hawajaoa

    Hi, Humu jf na nairaland vijana wengi tunasema hatujaoa coz hatuna hela, tunajitafta tupate hela ndo tuoe. Cha kushangaza kuna hii kitu nimeona haswa haswa sehemu ninayofanyia kazi, kijana wa kiume unakuta ana cheo, tena head wa department ya kampuni kubwa, kazi nzuri, wese la kuweka mafuta...
  14. Balqior

    WANAUME: Umewahi kukutana na mwanamke mzuri anayejiuza barabarani mpaka ukajiuliza pamoja na uzuri wote kakosaje mwanaume wa kumhudumia?

    Juzi kati nliingia chobiksi, katika harakati zangu za kusaka mbususu. Daah nlikutana mdada Mmoja huyo, alikuwa anajiuza barabarani halafu bei cheap, nilimla, yule mdada ana personality nzuri, ana tabasamu nzuri, nikashangaaa nkajisemea kweli humu duniani kuna uchawi, yani mdada kama yule...
  15. Balqior

    Nimegundua makazini, watu wengi wanaogopa bosi wao, kuliko wanavyomwogopa Mungu

    Habarini, Yaani mtu kabla ya kuongea chochote, let's say kwenye group la Whatsapp, mtu anawaza mara tatu tatu ndiyo aongee, mtu anakua veeery careful kuhusu anachoongea. Utakuta unaona changamoto fulani kwenye idara, iliodumu kwa muda mrefu kiasi, na kuna uwezeoano mkubwa ikiendelea itaenda...
  16. Balqior

    Inasemekana Fred Vunjabei na Poshqueen sasa ni wapenzi

    Ni umbea nliopata insta, kama ni kweli basi vunjabei anajua kutumia hela yake vizuri, huu Uzi bila comment ya cocastic hautanoga
  17. Balqior

    Sijajua kwanini inakuwa changamoto kwangu kupata platonic female friends (marafiki wa kike)

    Hi, ninavomaanisha platonic female friends namaanisha marafiki wa kike ambao sijawahi kuwatongoza, sijawahi kutembea nao, na sina mpango wa kuja kuwatongoza au kutembea nao. Utakuta nakutana na mdada naipenda personality yake, nachukua namba yake, naamua kumfanya rafiki wa jinsia tofauti kwa...
  18. Balqior

    Nyuzi za jf zilizo bora kwangu, zilizowahi kunichekesha sana

    Humu jf kuna watu story zao ni zaidi ya movie, Uzi wa kwanza ni WA huyu jamaa anajiita analyse, title ya Uzi inasema sijivunii mama wa mtoto wangu, jamaa alipigwa na dingi yake kabari sababu ya kuzalisha jimama, jamaa alipigwa kabari hadi akajinyea,😂😂😂 alivoachiliwa akajisemea kichwani...
  19. Balqior

    Je, Mchungaji Kumuyi wa Nigeria ameanguka kiroho?

    Ni Pastor mkubwa wa kanisa kubwa la kilokole kule Nigeria linaitwa Deeper Life, anasifika kwa kuhuburi injili ya utakatifu na kuishi maisha matakatifu. Mwanzoni kulingana na baadhi ya shuhuda za watu inasemekana yeye ni mtumishi wa kweli wa Mungu, ila siku hizi mbili tatu nimeona picha zake...
  20. Balqior

    Kwa maoni yangu, Arusha inaongoza kuwa na warembo Kanda ya Kaskazini

    Hasahasa maeneo ya Arusha Mjini, usipokua makini unaweza gongwa na bajaji kwa kushangaa wanawake. Wanawake wengi huku Arusha wana makalio makubwa yenye shepu nzuri balaaa, miguu ya bia ilionona daah, huwa saa nyingine nakutana na pisi, naishia tu kuguna kwa tamaa!
Back
Top Bottom