Search results

  1. Mtepa wa Mtepaza

    Mwenye kujua jinsi ya kupata kazi nje ya nchi aniunganishe

    11 Mil. Kwa ela ya dada Samia aisee
  2. Mtepa wa Mtepaza

    Mwenye kujua jinsi ya kupata kazi nje ya nchi aniunganishe

    Inatakiwa kufanya nini ili niweze kufika huko kwa utaratibu na salio
  3. Mtepa wa Mtepaza

    Nina elimu ya Kidato cha nne naweza kupata scholarship nchini Canada?

    Habari zenu wadau wa jamii forum, samahani, kiu yangu ni kufanya kazi nje hasa nchi ya Kanada na elimu yangu ni kidato cha nne kwa ufaulu wa division 3 nimemaliza mwaka 2015 masomo ya sanaa,kulingana na tafiti yangu ndogo nimeona wengi hupitia kwa njia ya masomo ili kufika huko Je, kulingana na...
  4. Mtepa wa Mtepaza

    Je, Tanzania kuna agent wa kazi nje ya nchi?

    Gari sijui ila ngeli naijua kaka
Back
Top Bottom