Kwa kweli picha za rais anapofanya ziara ndani ya nchi yake mwenyewe haina maana mbali na utumiaji mbovu wa pesa. Sote tunamjua!
Ni sawa na mtu atokapo au audipo nyumbani kwake, familia yake ina-printi na kubandika picha zake kila pahali nyumbani kwake!!!
Kwa vyanzo vya majitulivyojaliwa na Mwenyezi Mungu(mito, maziwa, etc.), tatizo LA maji kwa matumizi yote ingelikuwa historia. Maji ya kunywa na kilimo yapo ya kutosho. Lakini utakuta kiongozi mtu mzima analilia mvua. Huko Israel, Misri, etc. waseme nini?
Tatizo kubwa wataalamu wa nchi hii ni...
Ni manufaa ya muda mfupi tu mkuu. Mbali na hivyo vibarua, kama taifa tunanufaika na nini kiuchumi? Binafsi ningependa kujua ni faida kiasi tutaipata Vs wao. Huyu mwekezaji angelikuwa bakhresa (Mtanzania yeyote) tungejisifu zaidi.Naamini maendeleo ya Taiga lolote huletwa na RAIA wa nchi husika...
Mbunge Yuko sahihi kabisa. Tuache ushabiki, Magu kazi kapiga. Hakuna mwanadamu alokamilika, lakini katenda makuu daima yatatukuka nje na ndani ya nchi.
Tuache kulaumu tu, kila MTU hasa hawa walomadarakani miaka lukuki watwaambie wamefanya nini?
Umesema ukweli kabisa mkuu. Tatizo nchi yetu inaongozwa na genge LA watu waliopo kwa ajili ya maslahi binafsi.
Miaka 60 ya Uhuru, bado hatuna dira ya taifa wala mfumo mahususi wa kuwapata viongozi wakuu!!??
Wenzetu wanatangaza utalii lakini sisi tunawatangazia wawekezaji kuwa sasa tunademokrasi, tunawaonesha madini n.k. ili wawekezaji waje. Maswali muhimu ya kujiuliza:-
(1) Je Tanzania tuliwahi kutokuwa na amani?
(2)Bado tunalia na mikataba mibovu ya madini, je mama ataingia mikataba hiyo kwa...
Mkuu uchoshauri ni primitive ideas zinazotutafuna watanzania. Tumekuwa wanafiki kwa kuwaona viongozi malaika wasiokosea wakiwa madarakana. Wakitoka madarakana, mnahamia kwa mgeni. Mfano wakati wa hayati Magu na wenzake mliwasifu na kuwatukuza kama malaika. Leo mmewageuka nyote, sasa mnasema...
Huduma za fedha kwa njia ya mitandao ya simu badala ya kuboreshwa ili serikali izidi kupata mapata makubwa kwa kushawishi wananchi wengi zaidi kuitumia kwani kodi yake haina chenga, wana-discourage huduma hii kwa maksudi! Kwa kiwango cha tuzo anayotetea mbunge huyu, watu watarudi kwenye mifumo...
Kwa formula ya kodi hata wakiongezewa ndiyo watalipa kodi kubwa zaidi. Walipe tu ili tuchangie sote maendeleo ya nchi yetu, huo ndio uzalendo wa kweli.
Leo kasema ukweli japo naye ni miongoni mwa hao wanasiasa. Kuthibitisha unafiki wa wanasiasa (Hususani Waafrika-wasowazalendo) tujiulize-wajuzi wa mambo haya tusaidieni, maoni ya wananchi ndiyo yaliyopitishwa na bunge LA katiba au yalipingwa chini na kutuletea katiba inojali na kulinda zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.