Search results

  1. M

    Crisis Management:presidentjk Always On Board

    Taking action after seeing the devastating impact or effect of something or situation is sometimes refered to as "Crisis Management".A person of this kind is always driven by the events.Haoni mbele!!Hii ni hatari!! Raisi wa Jamhuri yetu amekuwa na mtindo huu.Sipendi kabisa kuona jambo kama...
  2. M

    Chenge ajiuzulu!

    It is true;He had resigned!!Amefungua mlango sasa!!Si utamaduni wa kwaida kwa viongozi wa Tanzania waliolewa madaraka kujiuzulu kupisha uchunguzi dhidi yao.Chenge kaona ngoma nzito!!Sasa atueleze what goes beyond Vijisenti??Atuambie ni kiasi gani anacho!Amepataje?Kama ni biashara,ni kodi kiasi...
  3. M

    Najuta kuwa Raia Katika Nchi Ambayo Tambwe Hiza ni Raia

    Tambwe Hiza ni moja kati ya wananchi wa jamhuri hii waliowahi kuibaka siasa.Ni kinuka mito.Ni mwanasiasa mbinafsi aliyethubutu kuweka maslahi binafsi mbele na kuweka ya taifa kando.Binafsi ninajuta kuwa mwananchi katika nchi ambayo ndugu huyu Tambwe Hiza ni mwananchi pia. Tambwe ana hulka ya...
  4. M

    Exclusive: TANESCO's Audited Report from PPRA

    Good Work Man!! Hawa Mafisadi wamefanya kila kitu siri!!Hakuna siri ya watu wawili. Mwaka huu ni wa watanzania kufahamu upuuzi na uhuni unaofanywa na viongozi wao kwa manufaa yao binafsi. Leo ninamsikia meghji akinena kuwa alipigwa chenga la macho na Don Balali kuhusu malipo ya kagoda co.Kama...
  5. M

    Rais Kikwete na safari za nje

    Waziri huyu aliyepewa kibarua cha kupigia pafyumu safari za raisi nje ya nchi!!Waziri huyu ambaye kibarua chake ni kutetea hata kile ambacho hakiamini!!!Waziri huyu ambaye amefikia hatua ya kutukana profesion yake!!!Waziri huyu ambaye anautamani sana uraisi/ukuu wa jamhuri yetu bikira akiwa na...
Back
Top Bottom