Search results

  1. Rama N Ally

    Serikali: Jeshi la Polisi kurejesha mfumo wa zamani wa vidhibiti mwendo kwenye mabasi ili kupunguza ajali

    Vipi kuhusu Mfumo uliofungwa na LATRA na unatumika sasa. Unaitwa VTS . Nao si unafuatilia mwenendo wa Magari. Ni mradi wa Mabilioni. Sasa itakuwaje basi moja lina mifumo miwili ? Wamiliki watalipa gharama nyingine tena?. Je jeshi la polisi lina miundombinu ya kiteknolojia kusimamia huu mfumo?
  2. Rama N Ally

    Ni muhimu kushindana kwa hoja katika kuidai au kuipinga Katiba Mpya

    Wanaotaka katiba mpya na wasioitaka wote ni watanzania. Katiba mpya siyo chokochoko wala chanzo Cha uhasama, isiwe chanzo cha machafuko au kupeana majina mabaya kama ya usaliti, adui wa maendeleo, kutumika na ubeberu, udikteta , n.k. Hoja za pande zote ziheshimiwe na kuwekwa mezani. Ni muhimu...
Back
Top Bottom