Search results

  1. L

    Sioni haja ya kwenda chuo

    Kwanini asijaribu kufanya uhasibu?
  2. L

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    😀😀Watu mnatunza kumbu kumbu si mchezo, hata Michael Jackson ni classmate wake
  3. L

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    "Sina neno na yule mtoto wa kike nimeshamkojoza kwa takribani miaka kumi na tano" watu ni woyoooooo......!!!
  4. L

    Hii hapa Miji na Wilaya 60 zenye mapato mengi na mzunguko mkubwa wa biashara Tanzania

    Kwa hiyo na Tanga imejumlisha halmashauri zake zote?
  5. L

    Maisha ya uzeeni bila hela ni tabu sana

    Mbabu mwenye kipara hataki uzee😀😀
  6. L

    Mtumishi unayepokea mshahara 1.5m kwa mwezi unapanga na unamiliki usafiri wa gari, hawezi kutoboa maisha utastaafu unatumikishwa tu

    Kuna madaktari wengi tu hawana ajira rasmi, wanabangaiza achilia mbali hiyo 700k unayoiona ndogo
  7. L

    Mwanza ni kugumu sana

    Aende Dar maisha marahisi
  8. L

    Mwanza ni kugumu sana

    Wanasema huko Dar kuna mahela Kila biashara inalipa
  9. L

    Tunaoishi mikoani wengi tunaishi kwenye vijiji maana mtaani unajulikana kila kitu

    Hata Dar kama unaishi uswahilini mbona kuna umbea sana, In short wabongo wanapenda umbea umbea hadi kwenye mitandao ya kijamii kama Insta ni umbea kwa kwenda mbele
  10. L

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Dah, halafu ukiangalia mtu hujawahi kumiliki hata 40M
  11. L

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    We nenda kajenge tu Chanika msumbiji, maana hauna pesa ya kujenga Mbweni
  12. L

    Nimepigwa zongo wakati nikila chakula

    Mi nilidhani zongo ni Tanga tu, kumbe hadi Arusha Wana hiyo michezo
Back
Top Bottom