Search results

  1. M

    Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    Mchumba wake anayefanya kazi UN Sudan.Naye kajiua pia .. Source Radio one.
  2. M

    Rais Kikwete, mbegu uliyoipanda italitafuna taifa letu...

    Kuna kila dalili sasa nchi inaelekea kwenye machafuko!!
  3. M

    Msaada wa sound clip ya Ester Wasira.

    nahitaji pia
  4. M

    Masasi wasimamisha zoezi la sensa tangu jana

    siku ya tano bado hatujahesabiwa kwenye kamtaa ketu!!
  5. M

    Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    Maajabu na kweli..hukumu ya kesi kubwa kama hii haijasomwa mpaka saa hizi??
  6. M

    Mkutano wa madaktari- agenda za kujadili

    Kila la heri Madaktari wetu..umoja ni nguvu. Imebaki kumalizia kuchuna mkia tu
  7. M

    At least 118 killed as Bhoja Air Boeing carrying 127 crashes in Pakistan

    Umenikumbusha mwanadada mmoja wa ABBA group aliyekuwa mwoga sana kupanda ndege..nadhani overseas trip zao zote alikuwa anatumia meli au ungo!!
  8. M

    Yu wapi Sitta?

    afadhali mmeichomoa faster ile thread, yule jamaa aliyeanzisha kama breaking news ale ban
  9. M

    Bungeni kwawaka moto, ripoti za kamati zaibua mjadala mkali!

    Mkuu dudus, unamaanisha wana Igunga wameuziwa mbuzi kwenye gunia?
  10. M

    Bungeni kwawaka moto, ripoti za kamati zaibua mjadala mkali!

    kweli hii ni banana republic!!.. in modern times, hakuna mfano wake..
  11. M

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    Mkuu, umesababisha nicheke! ni bahati naye Invisible yumo humu. Lakini "huyo mtu" ukweli huwa anakera sana!! yaani hii ndiyo priority sasa!
  12. M

    Lissu kufunga ushahidi mchana huu-maendeleo ya kesi tangu jana.

    sina taaluma ya sheria..lakini naweza kusema leo nimeenda darasa la sheria.. Kila la heri TL. Mkuu Isango, usichoke kutujuza yanayojiri hapo mahakamani!
  13. M

    Tahadhari ya Tsunami kanda ya pwani Afrika Mashariki...

    Ni kweli tetemeko kubwa (8.6 magnitude) limetokea kwenye ufukwe wa Indonesia. Bahari ya Hindi imetikisika na kupelekea uwezekano wa tsunami kusambaa hadi hapa kwetu. Bahati nzuri maji yamesambaa laterally (mwelekeo wa kulia na kushoto au kaskazini na kusini) lakini siyo kwenda mbele (mashariki...
  14. M

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    inatia moyo..naona watu wana utilivu
  15. M

    Kwa hili Godbless Lema unakosea

    wewe ni bonge la gamba..halafu hilo jina umechomeka ili tuchanganye na Josephine original tuliyemzoea hapa...umeongeza +03.. lakini wengi tumekuelewa
  16. M

    Kwanini CCM hawashangilii Ushindi wa kesi dhidi ya Lema?

    Huu ni muda muafaka kujua uhuru wanaodai wanao mahakama (in this case mah. kuu) Ni aibu, na pia hatari kubwa kama watatumika dhidi ya wananchi... I mean, what is the logic behind all this?!! For sure, none!! ukweli wanafuata maagizo ya chama tawala..
  17. M

    Jaji aliyetoa hukumu ya Lema ni nani haswa?

    Mahakama kuu imenasa kwenye mtego wa panya.. Huu ni muda mwafaka kuichambua legal system ya kibongo!! Tufunue uozo wooote kwenye huu mhimili wa dola
  18. M

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    rufaa wataichelewesha..bora uchaguzi urudiwe ndani ya siku 90
Back
Top Bottom