Search results

  1. B

    Naomba Ushauri Juu Ya Hali Hii Ya Wife

    Jamani nawashukuruni nyote, kwa michango yenu ya mawazo kwa sababu nimepata upeo sasa, kiasi kwamba kuna uwezekano wa kuamua kusaidia au ukaacha au ukasaidia mtu akiwa mbali au karibu lakini pia ukamfuata Mke na kutowasikiliza ndugu au ukawa na msimamo wako binafsi bila kujali wengine watasema...
  2. B

    Maandamano ya waislamu yazuiwa

    Jamani kwa sasa ushabiki unaohusu imani za watu tusiufanye, 7bu mambo haya kwetu ni mageni, lakini ndo yaliyoleta shida huko Nigeria, Sudan, Rwanda, Kenya (Mombasa), Uganda, na kwingineko. Dalili zote za kujitokeza hapa kwetu zimeshaanza kiasi kwamba hata kama sisi tutayaepuka, wanetu yatawatesa...
  3. B

    Hupaswi kupitwa na hiki kichekesho...hebu kisome

    Ila kama haina ukweli ndani yake, si vizuri kuiweka hapa katika kipindi hiki ambacho bado wana hisia tofauti juu ya mpasuko uliopo baina ya imani moja na nyingine. Inaweza kuchochea kundi fulani kujisikia wao ni wakoseaji wa kila watendalo na mwisho wa siku tukaibomoa Tanzania yetu kwa kauli...
  4. B

    Naomba Ushauri Juu Ya Hali Hii Ya Wife

    Naishi na mke wangu vizuri tu siku nyingi, lakini familia yangu ni kubwa kiasi kwamba kila baada ya muda fulani napata mgeni wa kuja kututembelea. Kama ni mwanaume kidogo afadhali hata watasalimiana na atamuhudumia at least kiroho safi, mbaya zaidi ni wa jinsia ya kike. Hata kama anajua kabisa...
  5. B

    Ntachezeaje matiti (maziwa) ya mwanamke anayenyonyesha

    Panua wigo wa kumsisimua mkeo, 7bu kama ni titi tu kuna cku litakuwa halimstimulate tena especially akinyonyoshe zaidi ya mtoto mmoja. Mwili wa binadamu ni zaidi ya kiwanda, unatengeneza "immune" popote ambapo kuna mapungufu. Kwa hali ya mtoto kunyonya akawa stimulated, inawezekana zikazalishwa...
  6. B

    Nimegusana kimwili na shoga

    Hivi ni kweli nyoote mnawachukia hawa watu kwa dhati? Isije ikawa ni uchangiaji hapa! Kama ni kweli, wanatumiwa na akina nani? Sababu wana soko ndo maana wanaendelea na biashara yao, na wachangiaji twaweza kuwa wachache sawa, lakini tunachokiwakilisha lazima kionyeshe kwamba kuna asilimia flani...
  7. B

    Kama sio DR. Slaa, Godbless Lema ndiye Rais 2015

    Mbona mnaanza kugombania gawiwo wakati shilingi hamjazitia mkononi? Au ndo mnatafuta kuwavimbisha vichwa wanaharakati we2 ili waanze kurumbana na dira ye2 ipotee? Kama wamefanya vizuri wasifieni kwa nafasi walizonazo kwa sasa, na si kuhusiana na uchaguzi ambao mgombea urais hajateuliwa na chama...
  8. B

    Miezi mi3 kwa ATCL kujiendesha ni uendawazimu wa Mwakyembe

    Ulukulo; Kama neema ingekushukia leo, ukaitwa na Mkuu wa Nchi na ukaulizwa nani asimamie wizara hii, ungemtaja nani baada ya kumwona Mwakyembe mwendawazimu? Onyesha mikakati yako 10 ya makusudi ambayo ungeweza ku2mia zaidi ya ile aliyoanza nayo huyu, baada ya Nundu kuvurunda. Unafikiri ni rahisi...
  9. B

    Uamsho na Kauli Mbiu ya CHADEMA

    Sidhani kama hii ni sahihi! Inamaana anaye mwambia mzazi wake "Mama Nakupenda" na mwingine akamwambia mkewe "Mama nakupenda" wakiwa wamelala anakuwa na maana ile ile ukiachilia mbali maneno kufanana na kuwasilisha dhamira moja. Hata kama ni mtu yule yule aka2mia maneno haya haya sidhani kama...
  10. B

    Mkakati wa Kuwafelisha Waislam Kidato Cha Sita Wabainika

    Sasa we kwa source hii ulitegemea kukuta jipya linalosema kuna usawa wa kidini Tanzania?
  11. B

    Mkakati wa Kuwafelisha Waislam Kidato Cha Sita Wabainika

    Nawashukuru wanaJF kwa kuona mbali, nadhani watu wengine wanahisi hii ni sehemu ya kuzusha mambo na watu wote waitikie NDIYO! Hapa ma-mbumbumbu hamna, wewe unataka kujaza watu hasira juu ya baraza eti udini umeanzia kwenye matokeo. Na kesho wakifeli Waislam wengi useme nilisema baraza...
  12. B

    Baada ya Zanzibar Bukoba

    Kabisa hufai wewe!
  13. B

    Baada ya Zanzibar Bukoba

    We jipange upya! Walimu wangapi wantenda hayo uloyasema Tanzania hii? N-way, najua huna data za kutosha, tuulizeni sisi nasi tulio nje ya nyumbani. Tabia ya mtu mmoja usiihamishie mkoa mzima na tena ukome kabisa! Unajua huko CDM (japo ni chama langu) kuna mtu, tena mbunge anahutubia watu akisema...
  14. B

    Hivi Wakenya wametushinda nini?

    Don, picha nzuri hii, naomba niicopy please! Ili hata kama sitaenda Nairobi (7bu fly overs ze2 hazitafanana hii), niseme nshawahi kuiona.
  15. B

    Hivi Wakenya wametushinda nini?

    Yote tisa, kumi ni kwamba: 1. Nyumba usiyolala hujui kunguni wake, 2. Utamu wa ngoma ingia ucheze mwenyewe, 3. Usoweza kuukata ubusu, 4. Ukiona ambari zinduna iko nyuma, Nawe ongeza zako zinazoonyesha kwamba eidha; i. Umetambua udhaifu wetu, au ii. Unatamani mabadiliko toka rohoni, au iii...
  16. B

    Wanaohama CCM ni 'Oil Chafu' - Nape

    :msela:Inawezekana pia ni oil saaaaaaaaaafi ila inahamia kwenye kopo safi baada ya aliyebadili na kufunga gari kusahau gasketi:peace:
  17. B

    Diwani wa CCM Rombo ajiuzulu

    Ni ugonjwa, Mungu atakuponya. Ila ukishapona fanya uamuzi wa kizalendo wa kuchukua kadi ya CDM na kugombea udiwani wako tena. Jiunge na Selasini!
  18. B

    Natafuta mtu wa kuniweka kimada.

    Mi nadhani hiyo ndo ilikuwa lengo zaidi ila kama ali2mia tasfida flani hivi. Kama si hivyo atakuwa anamaanisha swings wakati wa zoezi zima. Yale mambo ya bending up and down kama unapiga Push Ups!:rockon:
  19. B

    Serikali yatimiza ahadi ya msiba wa Kanumba! Yatoa TZS 10M

    Utashangaa Tanzania yetu! Kweli msiba uliumiza wengi, nami nikiwemo ila jana nilishangaa nilipoona Kiongozi wa serikali kwa tabasamu kubwa akitoa mil.10 CASH! Na akamuhakikishia kwamba ukitaka ulinzi, serikali itamlinda sababu serikali inalinda heshima ya kutotoa cheque feki ndo sababu za...
  20. B

    CCM kujibu mapigo dhidi ya CHADEMA?

    Nikipata T-shirt ya hivi kweli ntavaa, huyu mtengenezaji wa mavazi ya njano na kijani yenye jembe na nyundo imemfikia hii charter?
Back
Top Bottom