Search results

  1. Kajiarashid

    Katiba mpya ni uzushi

    MAISHA: Neno hili MAISHA ni mfumo wa namna binadamu duniani, atende kama alivyo agana na Muumba wake Mungu. Lakini kuishi kivingine, hiyo namna nyingine sio maisha. Huwenda tukaiita Unyama, Upuuzi n.k. Maisha safi, ni vitu vitatu KUVISHIKA. Navyo ni~ 1) Uaminifu, 2) Heshimu na 3) Utii...
  2. Kajiarashid

    Tutafikiaje kujitawala wenyewe tuwe huru?

    Karibuni wenzangu tulongeya moyoni. Nyerere na wenzake walipigania UHURU WA BENDERA, tukaupata. Akasema bado uhuru KAMILI. Je, Tumeshaupata? Kama uhuru kamili bado, ni kwa nini?
  3. Kajiarashid

    KATIBA MBONA IPO?

    1. Kwanza tujiulize, KATIBA ni nini? 2. Herufi hizi tatu.....Ka, Te na Be, ukizibadilisha irabu, utasoma maneno mengine. K.v...... KITABU, KATIBU, KUTUBU n.k; badala ya neno LA awali KATIBA 3. Mimi sipingi KATIBA MPYA, bali nataka tuonyeshane hiyo KATIBA MPYA yenyewe iko je, na Pahala ilipo...
Back
Top Bottom