Search results

  1. M

    Valves zina uhusiano gani na uendaji wa mafuta?

    Habari, ahsanteni sana kwa kureply post yangu, bila shaka nimepata elimu na nitaifanyia kazi... Ila naomba na hili la gari kutembelea 4wd, ni iyoiyo toyota wish, katika dashbod haiondoki alama ya 4wd, ila kuna button ya automatic 4wd nikiiclick sioni tofauti..
  2. M

    Valves zina uhusiano gani na uendaji wa mafuta?

    Habari wakuu, Naomba ufafanuzi gari yangu ni aina ya wish cc 1700 ina 16 valves, sasa hizi valves zina uhusiano gani na uendaji wa mafuta?
  3. M

    Gari yangu ni raum, milango haifungi

    Ahsante, na iyo relay ni tofauti na ile ya kwenye lock yakawaida?
  4. M

    Gari yangu ni raum, milango haifungi

    Habari wataalam, polen sana kwa kuumiza vichwa kuakikisha mnatoa msaada kwa matatizo ambayo yanatukumba madereva, mungu atakulipeni. mi nna shida moja, gari yangu ni raum, mwanzo ilikua ukifunga mlango wa kuchoto kuna loki inajiingiza ambayo ni tofauti na ile ya kawaida katika kitasa, lakini...
  5. M

    Toyota Raum zinatumia oxygen sensor?

    Hhhh, chagua tu baa yyt kunywa nitalipa
  6. M

    Toyota Raum zinatumia oxygen sensor?

    Ahsanteni sana kwa coments, pia samahani sana kwa kutuma tatizo bila kusalimia ikiwa ni memba mpya pamoja na kua mfuatiliaji sana wa huu mtandao- tuko pamoja
  7. M

    Toyota Raum zinatumia oxygen sensor?

    Gari yangu ni Toyota Raum, ningependa kujua kama zinatumia oxygen sensor, kama ndio zinakuwa sehemu gani?
  8. M

    Msaada: Gari inapungua nguvu wakati naendesha, na inakuwa slow kuchanganya

    Mimi gari yangu ni toyota raum, ilikua ikifanya ivo nikasafisha plug naona sasa haifanyi, lkn pia sijaridhika nitaenda kufuatilia na masuala ya fuel pump n.k kutokana na ushauri nliousoma humu. ilifikia wakati haichanganyi na pia ukitaka kuondoka tu inazima au saanyengine inazima kwenye mwendo.
Back
Top Bottom