Search results

  1. S

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Kaka ni better kwako sio kwa watu wote na huu ujinga wa kusema ni better kuliko Magufuli jitahidi kuuficha hasa utaje humu jukwaani! Ila huko mtaani utakuwa kituko!
  2. S

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Kwa hiyo wewe ndo mfano wa werevu? Jitu unakaa Mbeya huko kwenye majumba ya tope unaweza kuwa mwerevu kuzidi wote waliohojiwa?
  3. S

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Huyo jamaa unahangaika nae tu maana yeye anaamini ndo anaweza kuwa na mawazo sahihi kuliko watu wote juu ya Magufuli! Ila raia bado wanamkubali Magufuli kuliko hao walio hai kwa sasa
  4. S

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Inaonekana walipiga kura wenyewe wafanyakazi wa the Citizen na familia zao kupunguza aibu!
  5. S

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Huyo pengwini anatizama data haamini kichwa imejaa kama tikitimaji! Hahaha
  6. S

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Tena wanaojua kingereza kibongobongo ni watu wenye ufahamu fulani! Njoo sasa mtaani huku ulete huo utafiti kama Samia hapati asilimia 2! Endelea kuita uduanzi unadhani hata wangekuwa milioni moja asilimia za Mama zingepanda na kumzidi Magufuli? Punguza ujinga unao sukumwa na chuki!
  7. S

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    CCM hii ambayo ilikuwa inazomewa kabla ya ujio wa JPM ndo unataka kusema ina wimara gani? Acha utani watanzania wa leo wanajua mkiongozi mchapakazi na legelege CCM hii ya sasa chini ya team Msoga ilishafeli tokea 2010 na itaendelea kufeli zaidi na zaidi!
  8. S

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Wewe una chuki tu na watu wa Kanda ya ziwa hasa Wasukuma lakini kusema una sababu ya msingi ni uongo uongo wako!
  9. S

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Wewe tulia anzisheni hata hapa jamii forum bado mtaangukia put!
  10. S

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Mimi nimeshawaambia bila kumpa Makonda 2025 hawachomoki hawa CCM maana wanachokihitaji wananchi ni mtu anayejali shida zao na kusimamia uwajibikaji!
  11. S

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    2025 kazi wanayo kama ni huyu mama kwa heri mwalimu! Unajua CHADEMA wanachokifanya saizi kwenye maansamano ni noma! Lakini ndo mda wa CCM kudondoka no way out!
  12. S

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Hapo sasa! Waitishe kura kwenye gazeti lao maana hata wana CCM wenyewe wanajua shughuli ya JPM! !
  13. S

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Makamu Mweneykiti chuzi alimnanga sana JPM juu ya makusanyo ya kodi kwenye utawala huu kuwa yako juu bila kutumia nguvu! Sasa Wananzengo leo wamemjibu mubashara kupitia gazeti la the Citizen!
  14. S

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Wanaogopa sana maana Mama anaupiga mwingi! So wanaenda kinyume na wimbo lazima wa RESTRACT!
  15. S

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Gazeti la Kingereza la the Citizen anunue kilaza wa kijijini au mlala hoi kweli? Hao waliopiga kura ni wasomi na wanaojitambua bado wamempigia kura Magufuli kwa wingi! Mkijaribu kuja kwa wala mihogo mtatapa kura asilimia 2% aibu itakuwa kubwa zaidi!
  16. S

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Hahhahah hii weekend ni nzuri sana! Uchaguzi unakuja wajipange sana hasa wanapoamua kumponda Magufuli! :D :D :D :D :D :D
  17. S

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Haahaha uzuri waliuza swali kwa lugha ya kiingereza! Naamini waliopig kura ni watu wenye uwezo wa kufikiri vizuri na kutambua mambo kwa undani! Tulieni Machwa hii ni wenu!
  18. S

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Magufuli huwezi kumpiga kijinga kijinga mbele za watu ukabaki salama! Marais wote wameangukia pua mbele ya Magufuli! Samia mwenyewe licha ya makelele ya machawa bado kapigwa chini!
  19. S

    Kwanini Paul Makonda anautafuta wokovu sasa kwani ametenda dhambi gani inayomtafuna?

    Wewe hao wauza ngada wanakuhusu nini hata huyo Mbowe anayemwamini anaweza kuwa muuza madawa usiaamini sana maisha unayoyaona kuna upande wa mtu usio wazi huwezi kujua? Waache wapambane wenyewe maaa unajitia kuwaonea huruma wauza madawa ya kulevywa kana kwamba hayo madawa hayana madhara kwa...
Back
Top Bottom