Search results

  1. Mancobra

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Chimbo la suti za kiume Kwa bei ya jumla nicheki Join WhatsApp group kwa maelezo zaidi [emoji116][emoji116][emoji116] https://chat.whatsapp.com/J6njhZUPqHT2XLBlRgDQdv
  2. Mancobra

    INAUZWA Tunauza suti kwa bei nafuu kabisa

    jipatie Suti kali za kiume kwa bei poa kabisa. Plain suit- 140,000/= Fashion suit- 170,000/= Kaunda/Safar suit- 120,000/= Kwa wateja wa Dar es salaam tunafanya free delivery na mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa. Kwa mawasiliano zaidi; Whatsapp: +255712878245 Call: +255743230690
  3. Mancobra

    INAUZWA Tunauza suti kwa bei nafuu kabisa

    Tunauza Suti za kiume aina zote, zipo plain suits na fashion suits size zote. Suti zetu ni 2 pieces(koti na suruali) na 3 pieces (koti, kizibao na suruali) Bei ya suti; Plain suti 2 pieces(koti&suruali)-140,000/= 3 pieces(koti, kizibao&suruali)-150,000/= Fashion Suti- 170,000/= Tunatoa...
  4. Mancobra

    Kuhusu historia ya mwamba Kunta Kinte

    So sad, huyu jamaa alikua na zaidi ya ujasiri.
  5. Mancobra

    INAUZWA Tunauza suti kwa bei nafuu kabisa

    Package ni suruali na koti tu.
  6. Mancobra

    INAUZWA Tunauza suti kwa bei nafuu kabisa

    KWA mwanza na mikoani tunatuma mzigo kutoka Dar.
  7. Mancobra

    INAUZWA Tunauza suti kwa bei nafuu kabisa

    Suti za kiume (fashion)-140,000/= Plain-110,000/= Ukiwa Dar es salaam
  8. Mancobra

    INAUZWA Tunauza suti kwa bei nafuu kabisa

    Suti mseleleko ni wauzaji wa suti za kike, kiume na suti za watoto kwa wateja wa Dar-es - salaam na mikoani. Bei zetu ziko poa kabisa zinaendana na gharama ya fedha yako. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana Nasi kupitia namba; WhatsApp number: 0712878245 Suti za kiume(mikoani)...
  9. Mancobra

    SoC01 Mambo ya kuzingatia kabla ya kuhamia Dar es Salaam

    Kwanza, ni lazima kijana ajitambue yeye mwenyewe lengo la kutoka nyumban kwenda Dar kutafuta maisha. Ni lazma awe anajua fursa zinazopatikana kwenye mazngra yake na kuona kama zinamfaa au la. Hili suala la vijana kutamani kuhamia Dar ni suala la uelewa tu na jamii kuanzia level ya familia mpka...
  10. Mancobra

    SoC01 Mambo ya kuzingatia kabla ya kuhamia Dar es Salaam

    Jiji la Dar es Salaam lipo kati ya latitudo nyuzi 6 hadi 7 na longitudo kati 39.45 kwa upande wa Mashariki na nyuzi 39 kwa upande wa magharibi, Kusini mwa ikweta na upande wa magharibi, Kusini na Kaskazini. Jiji linapakana na Mkoa wa Pwani, upande wa Mashariki linapaka na Bahari ya Hindi. Jiji...
  11. Mancobra

    SoC01 Mambo ya kujifunza kwenye mafanikio ya Diamond Platnumz

    Naseeb Abdul Juma Issack (maarufu kama Diamond Platnumz; majina mengine ya kisanii ni Chibu, Simba au Dangote; alizaliwa dar es salaam, 2 october 1989 ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo flava kutoka Tanzania. Diamond ni msanii mwenye mafanikio makubwa kuliko wasanii wengine Tanzania na Afrika...
  12. Mancobra

    Upotoshaji kuhusu mizimu

    Africans ni viumbe pekee dunian tunaotapatapa kwenye kila sekta, hii yote inasababishwa na kuikana asili yetu yani saiv hakuna utumwa wa nguvu tupo kwenye utumwa wa kifkra; leo hii africans tunakana majina yetu kwa kisingizio Cha din(ubatizo), tunakana lugha zetu kwa kisingizio Cha kuelimika...
  13. Mancobra

    Nyumba za kuishi zinazojengwa na wasomi wa siku hizi zinafikirisha

    Kua msomi haimaanishi utakua na maisha mazuri bali usomi(elimu) ni njia mojawapo Kati ya njia nyng za kua na maendeleo....sasa mtoa mada unashndwa kutofautisha Mambo halaf una mtazamo wa kipumbavu Sana
  14. Mancobra

    A Level iondolewe ili wanafunzi watoke Form Four moja kwa moja na kusoma kozi husika

    Hii ina ukweli ndani yake....advantage nyngne ya kusoma diploma Ni kwamba utakua marketable zaidi ukimaliza diploma kuliko waliomaliza degree kwasababu serikali yetu inaajiri Sana diplo kuliko degree labda kwa sababu serikali inapenda cheap labour( kwa upande wa afya)
  15. Mancobra

    Kuolewa ni kuolewa tu kuliko kudanga

    Message sent, delivered &sealed
  16. Mancobra

    Wahitimu wengi wa Vyuo Vikuu vya Kitanzania hawawezi kufanya mjadala kama huu wa watoto wa shule

    Mambo hubadilika kila nyakati....saiv kuna internet ambayo imepunguza kwa kiasi kikubwa mambo ya mijadala ya face to face lakin pia internet imesababisha vijana wa sasa tuache kujieleza Sana tunavohitaji kitu fulan mfano; mtu unaweza kuhtaji kitabu flan badala ya kwenda library au kwa teacher...
  17. Mancobra

    Ushauri: Wanaume tuache kutongoza, tuanze kununua wadada wanaojiuza barabarani

    Mkuu, Fanya unachoona kina ahueni....kuna time unaweza pata demu akawa haleti pigo za kukufanya bank mpk machangu unawasahau....lakn kuna nyakat za mashaka unakutana na akina amina ndara ndefu wanaanza kukufanya bank, sasa hapa unacompare hela ya kumpa changu inazid ya kumpa huyu amina ndara...
  18. Mancobra

    Nilibahatika sikupitia njia hii ila najua ni njia inayowaumiza sana watoto kisaikolojia na kuwaacha na chuki kwa wazazi

    Siri ya mtungi aijuaye kata.....baba kumpiga mama tena mbele ya watoto inaweza kusababishwa na Mambo mengi ambayo watoto hamyajui...labda mama kazngua au mihemko ya baba...lakn pia watu wengi husahau maudhi ya mama anayomdharirisha baba mbele ya watoto(nazan hii inasababishwa na kauli za...
  19. Mancobra

    Diamond Platnumz kajiaibisha kwa Swizzbeats na cheni feki

    Chuki huletwa na wivu pamoja na dharau...utapata tabu Sana😁
  20. Mancobra

    Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

    Aise, hivi suma JKT wanafanya nini?...huyu dada apewe ulinzi
Back
Top Bottom