Search results

  1. B

    Maji na umeme Dar es Salaam

    Mlioo karubi na Mhesimiwa Rais Samia mwambieni haya: Dar maji imeshafikika lita 20 shilingi mia tano, watumiaji umeme kujipatia mkate wao hawana kazi Sasa mwambieni sifa za Aweso za "NANI. KAMA MAMA, na Makamba za MAJIKO YA GESI KILA KIJIJI kwetu sisi tunotoa zaidi ya 70% ya pato la seriikali...
  2. B

    DOKEZO Mawasiliano na TAKUKURU

    Mtaani kwetu Manzese kuna tatizo kubwa la rushwa. Yawezekana wengine mkaliona dogo lakini kwa watu wa chini ni maumivu makubwa iko hivi. Kila mwezi kwenye baadhi ya serikali za mitaa ya kata ya Manzese anakuja mgambo ajiitaye afisa mazingira, na kazi yake kwa kushirikiana watendaji wa mitaa...
  3. B

    Hatimaye nimejiunga

    Hodi jamii ya JamiiForums mzee wenu nimekuja kubadilishiwa mawazo
Back
Top Bottom