Search results

  1. M

    Kozi zitakazokuwezesha kujiunga kirahisi na JWTZ

    Siku chache zilizopita waliwahitaji watu wa masomo ya sanaa pia.
  2. M

    Ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi waanza Msalato Dodoma

    ... na hospitali zingine teule kama za moyo, mishipa ya fahamu na ubongo, macho n.k ? Au wanajenga tuu hospitali za kawaida mpaka Mungu arudi ddddddd
  3. M

    Ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi waanza Msalato Dodoma

    Lini JWTZ itajenga hospitali teule ya saratani ?
  4. M

    Kozi zitakazokuwezesha kujiunga kirahisi na JWTZ

    Ukiangalia vizuri, hata huko unakodhani una uhuru, kuna muda lazima ujiamrishe tuu wewe mwenyewe kufanya mambo flani yanayokuhusu, unajipa amri wewe mwenyewe na usipoitekeleza basi mambo yako lazima yaende kombo. Bado ni mle mle tuu kwamba kuwajibika na kutii amri yako mwenyewe (kama wanajeshi...
  5. M

    Kiasi gani mshahara IST (International School of Tanganyika) - Accountant nani anajua?

    Kwa sasa 2021+ nadhani ni zaidi ya mara mbili ya hapo.
  6. M

    Kozi zitakazokuwezesha kujiunga kirahisi na JWTZ

    Linao watu muhimu ndugu, ndio maana wataalamu wanaohitajika huko huwa wanafanyiwa usaili wa kujiunga na JWTZ moja kwa moja. Hizo za kusema "jeshi halina watu muhimu" zinabaki kuwa siasa tuu za maneno, ila uhalisia ndio huo.
  7. M

    Kozi zitakazokuwezesha kujiunga kirahisi na JWTZ

    Huyo waziri lazima alindwe na askari kijana. Mwenyezi Mungu amempatia karama tofauti kila mmoja wetu, wote tukiwa mawaziri nani atailinda nchi yako dhidi ya uvamizi wa adui ? Nani atatibu wagonjwa ? Nani atakuwa raia ? N.k Ndio hivyo wewe unavyopenda uwaziri, wenzio wanapenda jeshi. Wengine...
  8. M

    Kozi zitakazokuwezesha kujiunga kirahisi na JWTZ

    Nadhani Hii kwa jeshi la Polisi ndio inakuwa na mashiko sana.
  9. M

    Kozi zitakazokuwezesha kujiunga kirahisi na JWTZ

    Ahaaah, kama una uhakika ni ushauri mzuri kwa vijana.
  10. M

    Kozi zitakazokuwezesha kujiunga kirahisi na JWTZ

    Wapo mpaka maprofesa jeshini kijana, ni kawaida tuu. Jeshi limekuwa la kisasa linaenda na wakati.
  11. M

    Kozi zitakazokuwezesha kujiunga kirahisi na JWTZ

    Haya bwana [emoji3][emoji3] watayakuta huko wakijaaliwa.
  12. M

    Kozi zitakazokuwezesha kujiunga kirahisi na JWTZ

    Natumai mu wazima wa afya. Pole kwa wanaoumwa, Mungu awajaalie mkapate afya njema. Nimeona niwashauri kuhusu kozi na taaluma za kuwa nazo, vijana wetu wenye lengo la kwenda kujitolea JKT ili baadae waje kupata nafasi ya kuandikishwa JWTZ kwa urahisi. Kijana, kama una nia ya kuja kulitumikia...
  13. M

    Kutafuta mchamba wa kike ili naye ndoa

    Ntafutie boss ntashukuru.
  14. M

    Kutafuta mchamba wa kike ili naye ndoa

    Kama kawaida, sitaki kuchepuka mimi.
  15. M

    Kutafuta mchamba wa kike ili naye ndoa

    Ntakualika uje ule usijali. Sihitaji mchango wako wa kifedha, usijali ndugu.
  16. M

    Kutafuta mchamba wa kike ili naye ndoa

    Nazitafuta ndugu, ila mke ni muhimu sana. Haya mambo yalianzishwa na Mungu, ni mema ukijaaliwa kumpata mwenza mwema. Uvumilivu pia ni muhimu.
  17. M

    Kutafuta mchamba wa kike ili naye ndoa

    Of course yes, I am [emoji120]
  18. M

    Kutafuta mchamba wa kike ili naye ndoa

    Ni vyema pia.
Back
Top Bottom