Search results

  1. CM 1774858

    Saed Kubenea: Je, Kafulila huyu wa UDART leo ndio yule yule wa IPTL na Escrow?

    Kafulila ni miongoni mwavijana wachache wa Taifa hili mwenye uthubutu sana wa kuchukua hatua. Lakini pia ni mtu anachukia sana rushwa na ufisadi, Pengine ndio maana Mpaka leo jamaa hana kitu chochote cha thamani kama vijana wengine.
  2. CM 1774858

    Saed Kubenea: Je, Kafulila huyu wa UDART leo ndio yule yule wa IPTL na Escrow?

    Huyu Bwana ni hazina ya Taifa hapo kesho tumwombeeni tu.
  3. CM 1774858

    Abdulrahman Kinana amempongeza Rais Samia kwa kuvunja rekodi za Mapato

    Mzee Kinana piga kazi tunakuelewa sana Mzee wetu
  4. CM 1774858

    Abdulrahman Kinana amempongeza Rais Samia kwa kuvunja rekodi za Mapato

    Mama Samia yupo kazini kwelikweli
  5. CM 1774858

    Kafulila: Kwa miaka mitatu Rais Samia amekopa nje TZS 12.5T sawa US$ 5BL lakini amelizalishia Taifa TZS 47.5T sawa na US$19BL

    Nimemsikiliza huyu Kafulila kwenye hayo mahojiano, Nakubaliana kabisa ni kweli deni la Taifa limekua, Lakini pia, Nimekubaliana kuwa ni kweli Uchumia wa Taifa pia umekuwa. Hoja hapa deni limekuwa kwa kiasi gani na Uchumi umekuwa kwa kiasi gani? Asante Kafulila
  6. CM 1774858

    Kafulila: Kuna Uhusiano wa Moja kwa Moja kati ya Umasikini wa huduma na Umasikini wa kipato hii ni moja ya sababu za Pato la Kila Mtanzania kuongezeka

    Team: Nimemsikiliza vizuri sana Kafulila na huu ndio mchango wangu, 1. Nikweli kwamba Uchumi wa Mtu mmoja mmoja umekua hasa kwa kupunguza Umasikini wa Huduma. 2. Nikweli kwamba kama Taifa hatupashwi kulalamika tu ni lazima pia kuwasikiliza vizuri Wataalam. 3. Hili la Pato la Kila Mtanzania...
  7. CM 1774858

    Africa: Tanzania yashika nafasi ya kwanza kwa nchi zenye watu wenye furaha zaidi

    Hii kauli imeshafuta kwa sasa Tanzania ni miongoni mwanchi Bora kabisa
  8. CM 1774858

    Africa: Tanzania yashika nafasi ya kwanza kwa nchi zenye watu wenye furaha zaidi

    Furaha ni jumla ya hali nzuri ya mwili na akili ya mtu
  9. CM 1774858

    Africa: Tanzania yashika nafasi ya kwanza kwa nchi zenye watu wenye furaha zaidi

    Tunaposema chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Watanzania wamekuwa na raha lazima tuwe Tunaelezwa, Tangu uhuru rekodi hii ya furaha kwa Watanzania haijawahi kufikiwa, #Sasa 2025 tumuache Mama tuende kwa nani? ===...
  10. CM 1774858

    Dar es Salaam: Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa akutana na kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna

    Hongera sana Rais Samia Hongera sana NMB, Hongera Mhe Waziri Hongera Ms Ruth Kaziiendelee
  11. CM 1774858

    Ukiwa na NMB Yanga World Debit Mastercard na safari yako ya ndege ikaahirishwa NMB watakulipa TZS 19M, Why this today?

    Wewe ni muongo hata hivyo miongoni mwaidara zinafanya vizuri pale NMB ni hii ya HR chini ya jamaa anaitwa Akoonay so usipotoshe watu kwa urongo wako.
Back
Top Bottom