Search results

  1. B

    Vita kati ya Malecela na Lowassa ni ya muda mrefu. Hii hapa ndiyo siri ya utajiri wa Lowassa

    we umeona hili jukwaa la wapuuzi sana? Lini lowassa amewahi kuwa chini ya matonya? Hebu wana jamvi vuteni kumbukumbu zenu tusiwe tunachangia hata vitu vya kijinga na kutengenezwa, pumbafff
  2. B

    Lissu awasha moto Mto wa Mbu wilayani Monduli

    wewe ulikuwa kwenye mkutano wa CCM labda, tangu wiki iliyopita walisema anayekuja Mto wa mbu ni Tundu Lissu, sasa hayo ya Dr. Slaa umeyatoa wapi? Nenda kwa kwenye mikutano yako ya Nepi na Mohamed Farah Aidid (Kinana), shame on you kwa kuandika uongo
  3. B

    Lissu awasha moto Mto wa Mbu wilayani Monduli

    Katika Kampeni inayoendelezwa na CDM nchi nzima leo chopa lilitua katika mji wa Mto wa mbu wilayani Monduli na Kamanda Lisu amehutubia wananchi, amewataka wananchi kuachana na CCM kwani haiwasaidii wananchi wake ambao wamekuwa wakitwishwa mzigo wa kodi na michango ya kila aina ambayo mwisho wa...
  4. B

    Picha: Mwigulu uso kwa uso na Mbowe!

    Hebu funguka mkuu kuhusu hali ya huyo Dr Nchimbi
  5. B

    Yaliyotokea Loliondo sasa Monduli

    Mkuu nipo Arusha kikazi kwa wiki hii na bahati nzuri nipo wilayani Monduli, nimejaribu kufuatilia Uzi wako na baadae kutafuta wahusika, Hakuna hata mmoja anayejua hili, kwa sasa nipo hapa sepeko maarufu kwa jina Meserani au Duka mbovu ambayo ndiyo kaka ya Sepeko, wananchi wanasema hawana...
  6. B

    Hii ndio Nyumba Mpya ya Kisasa ya Mbunge wa Chadema Mwenye Makelele Mengi Sana!!

    SIKUTEGEMEA MTU KAMA WEWE UNGEKUJA NA UZI WA KIPUUZI KAMA HUU, HUWA NINAKUHESHIMU LAKINI SASA BASI NCHI HII KWA SASA HATA MTU WA CHINI ANAWEZA KUWA NA NYUMBA NZURI KWA NJIA NYINGI SANA ZA KIHALALI, UBUNGE WA SUGU NI TOSHA KABISA KUWA COLLATERAL YA MKOPO BANK, ISITOSHE SUGU HAKUWA KIJIWENI...
  7. B

    Vijana wa Monduli wapanga kwenda kumuomba mh Izaack Kadogoo awe mrithi wa Lowassa

    Kanusu una shida gani ndugu yangu? numekuuliza ni ahadi gani alizotekeleza husemi, yupo karibu na wananchi kwenye jambo/mambo gani husemi unang'ang'ania tu kusema tuna chuki, si uweke kwenye jamvi yale aliyoyafanya? we need tangible thinks siyo mambo mnayoongea kwenye ulabu uyalete hapa...
  8. B

    Vijana wa Monduli wapanga kwenda kumuomba mh Izaack Kadogoo awe mrithi wa Lowassa

    WE kadogoo acha kijifagilia ujinga bwana (Unajiita Kanusu hapa) huna elimu, wala hauko karibu na wapiga kura kama unavyodai labda mnaokutana nao kwenye pombe Wins, Mnadani na pale Engutoto, huna hata ahadi ulioitekeleza acha upuuzi sio taifa la vihiyo hili sasa tunataka wasomi, we ni hewa tu...
  9. B

    Vijana wa Monduli wapanga kwenda kumuomba mh Izaack Kadogoo awe mrithi wa Lowassa

    Huo utakuwa ni ukichaa kumpa kadogoo ubunge, mara 100 umpe mwiguli kuliko huyu kibaraka, hana shule ya kutosha kuongoza, iweje wasomi waamue kumchagua huyu bwana, ni vijana wasomi wa wapi walioamua katika hicho kikao? Kuna vichwa vyenye akili monduli ambavyo hadi sasa vipo kimya japo ni...
  10. B

    Picha: MAKAMU WA RAIS DK BILAL AHUDHURIA KUAPISHWA RAIS MPYA WA IRAN

    Mkuu tulijifunza enzi hizo za mwalimu kwenye somo la siasa, TANZANIA NI NCHI ISIYOFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE, UPO HAPO? kanunue vitabu vya siasa ujikumbushe
  11. B

    Monduli: Mji uliochoka wakati mbunge wao anamwaga hela kwenye majimbo mengine!

    Ndugu mleta mada nimesikitishwa sana kwa mchango wako, unaweza kuwa sahihi kwa namna moja, lakini ukiwa kama mtanzania mwenye mwenye mapenzi na nchi yako na hasa nyumbani kwako monduli kama ulivyosema unategemea lowasa pekee anauwezo wa kuleta mabadiliko? wewe uko wapi? je ukiwa mwana Monduli...
  12. B

    Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

    Acha upuuzi wewe wakristu hawaongozwi na mazoea au utaratibu kama ulivyouita wewe, wakristo wamekuwa wavumilivi na wasiopenda makuu, lakini uvumilivu huu hautakiwi kuzidi na kuingilia imani ya ukristo, suala la jumapili ijumaa au jumamosi halina mantiki, hata uarabuni jpili ni mapumziko kuna...
  13. B

    Ujumbe uliofuatana na Kikwete watia aibu mkutano na rais wa Ufaransa

    Mchangiaji mbona unakurupuka! unachokieleza hapa ni kitu cha kufikirika kutoka kwenye nafsi yako finyu, hakuna logic yeyote, mbona haionyeshi kuna mtu amesinzia hapa? nenda CCBRT kapimwe macho wewe, acha chuki isiyo na maana, huyo mwanamke unajua anafanya nini? hii ni picha tu ambayo haina...
  14. B

    Bi Tekka amfungulia Kesi ya madai Dc wa Korogwe

    KOMBAJR usinichekeshe! 96 mil zinapatikana kilaini sana kwa Gambo kwani ni mfuasi wa David cameroon huyo, tumpr pole tu jinsi atakavyolipa, Cameroon akiwa busy kuna waarabu anawafaham huyo
  15. B

    Ariel sharon yupo hai?

    Asante kwa taarifa mkuu
  16. B

    Ariel sharon yupo hai?

    Ndugu wana JF; Waziri mkuu wa zamani wa Israel Nd. Sharon alipata stroke na kupelekea kuuachia Uwaziri, aliendelea kupata stroke akiwa hospitali na kuwa kwenye Koma kwa muda mrefu, lakini ni miaka mingi sasa imepita hakuna taarifa zinazotolewa kuhusu afya yake au alishaaga dunia? naomba mwenye...
  17. B

    Wabunge Wasiokuwa na Tija kwa Majimbo

    We ni mpuuzi; huna data za kutosha kuhusu maendeleo ya nchi hii, Wakati wa MWALIMU vijiji vya ujamaa vilikuwa vinamiliki matrekta, malori na mabasi kwa msaada wa serikali leo badala ya matrekta tunaletewa BATAVUZI mnazoita Power Tiller, sasa hapa tunaenda mbele au tunarudi nyuma? huoni huo uozo...
  18. B

    Mhe. Nundu Vs Mhe.Mfutakamba hapatoshi!!!!!!

    we mbona mpuuzi! mwenzio anakwambia alichokiona wewe unabisha ulikuwepo? yani magamba ni taabu tu
  19. B

    Wakuu wa wilaya waliotemwa...

    Seif Mpembenwe - Handeni
  20. B

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    nilichokigundua watanzania asilimia60 tunaupeo mdogo hasa wa akili mtu akishaongelea ana nyumba na gari basi huyo mtu anajidai or whatever jamani hayo ni mambo ya kawaida na wenzenu wanamagari zaidi ya matano kwahiyo kuongelea neno gari au kiwanja kwenye tv ni suala la kawaida sasa nyie wenzangu...
Back
Top Bottom