Search results

  1. T

    Nahitaji msaada kwa yeyote anayetoka mkoa wa njombe na iringa

    Natarajia mko wazima wakuu. Naomba musaada, kama kuna mtu ambae ametoka mkoa wa njombe na iringa tafadhali niadikia,niko na mambo muhimu sana nataka kujua toka njombe na iringa. Natangulia shukrani wakuu.
  2. T

    Mikoa gani na wilaya gani zinakuza ngano kwa wingi Tanzania?

    Habari wakuu, natarajia kila moja wenu ako salama. Nimekuja kwenu nikitaka msaada kaa zile kichwa kinajieleza, ningetaka kujua ni mikoa au wilaya gani zinakuza ngano kwa wingi au ina ardhi ambayo ngano inaweza kuzwa kwa wingi? Nitashukuru sana kwa msaada wa majibu huyu wapenda, natanguliza...
  3. T

    Pamba (cotton) inapandwa au inakuzwa kwa wingi mikoa au wilaya gani?

    Nawasalimie yote kwa jina la muungano wa jamuhuri ya tanzania, kaa kichwa kinaposema, naomba msaada kwenu wakuu, je ni mikoa gani au wilagi gani ukulima wa pamba (cotton) uko kwa wingi sana hapa nchini. Natanguliza shukrani zangu. Asanteni sana, Mimi wenu, dr tajiri tumbo kubwa
  4. T

    Ni mikoa gani ambayo ina mbuzi wengi na ng'ombe wengi zaidi?

    Habari wakuu, kaa kichwa kinavyosema, swali langu ni hii, je ni mikoa gani ambayo unaweza pata mbuzi wengi zaidi, na ngombe wa kununua, yaani kwa ufupi ni mikoa a wilaga gani zina mbuzi na ngombe wengi zaidi? Natanguliza shukrani?
  5. T

    Natafuta kati ya ekari 1-5 huko Bagamoyo

    Habari wakuu, tafadhali natafuta shamba ya ekari kati ya 1 hadi 5 maeneo ya Bagamoyo, natanguliza shukrani
  6. T

    Natafuta machine mpya ya kutengeneza juice ya miwa

    Habari ya mwaka mpya wakuu, mwaka wa 2022. nawatakia kila la heri yote, sasa natafuta machine ya kutengeneza juice ya miwa, machine mpya, ni wapi naweza inunua au ni wapi naweza enda kuangiza moja, nasikia hata VETA wanauda machine aa hizo, naomba ushauri wenu waku, natangulia shukrani zangu
  7. T

    Je, ni sehemu gani hapa kwetu Tanzania ambapo kunaliwa karanga pori (macadamia nuts)?

    Natarajia wakuu mko salama kabisa, Je ni sehemu gani hapa kwetu Tanzania ambapo kunaliwa karanga pori kwa wingi au wapi panaweza limwa macadamia nuts kwa wingi, yaani karanga pori, natangulia shukrani.
  8. T

    Kilimo cha alizeti (sunflower) sesemi (ufuta) and palm oil (michikichi)

    Habari wakuu, Nataraji mko wazima licha ya majukumu mengi ya ujenzi wa taifa. Zote tumeshudia bei ya juu sana ya mafuta ya kula, Na kwa wale hawajui mafuta ya kula inatokana na hizi bidhaa nimetaja hapo juu, alizeti, michikichi, na ufuta. Tuko na ardhi tele yenye rutuba, na yenye uwezo wa...
  9. T

    Naomba ufafanuzi wa miti aina ya Mitiki

    Natarajia mko wazima wakuu, Niko na swali, je hii miti inayoitwa MITIKI ni aina gani na je inaitwa aje kwa ENGLISH LANGUAGE? nimetafuta kwa google sioni translation ya hii neno mitiki. Natangulia shukrani.
  10. T

    Ni sehemu gani inakuzwa mananasi, maembe, na machungwa, ambapo mtu anaweza jenga kiwanda cha juice

    Natarajia mko salama wakuu na wanajamii forum. Niko na swali ambalo natarajia hapa ni pahari pazuri pa kupata jibu, sasa nataka kuwekeza kiwanda au viwanda vya kutengeneza juices, toka mananasi. Maembe na machunga na pia matunda mengine kama passion fruits and mapapai, sasa swali langu ni hili...
  11. T

    Rais Samia Suluhu Hassan's first major test

    Nangoja kwa hamu sana hapo tarehe 30 Juni, when the BOT report that president Samia Hassan ordered for will finally be handed over to her, nasubiri sana kuona kitakachotokea kwa watakaotajwa, na pia kama wahusika watatajwa wazi bila Rais Samia kuficha majina yao, na sababu waziri wa fedha wakati...
  12. T

    Serikali muliangalie la kuajiri watu wasioelewa wajibu wao

    Habari wanabond, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi ni mtu anayeishi taifa moja la ugaibuni (west). Ninachokiona, tutazidi kubaki nyuma kama ajira zitakuwa zinatolewa kwa watu ambao hawajui nini kilifanya waajiriwe katika maofisi au taasisi za serikali, jirani yetu Rwanda kuanzisha kampuni...
Back
Top Bottom