Search results

  1. King Innocent

    Mradi wa Maji ziwa Chala wilayani Rombo umekwama au umefikia wapi?

    Mwenye kuelewa huu mradi ulipofikia naomba kujuzwa, Mwaka Jana 2021, Serikali kwa kupitia Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi aliwaahidi warombo tatizo la maji litakuwa historia kwani , juzi nilipita maeneo mbalimbali mfano Kiraeni na Useri nimekuta watu wanatembea umbali mrefu...
  2. King Innocent

    Mwanamke anasema nipige niue: Ingekuwa wewe ni hakimu, ungetoa hukumu gani kwa huyu mwanaume?

    Toa maoni yako, wew kama hakimu huyu jamaa kama alimpiga mpenzi/mke wake ungetoa hukumu gani?
  3. King Innocent

    Nahitaji mayai ya kuku wa kisasa.

    Kwa wale wafugaji wa kuku walioko Arusha tuwasiliane pm kama uko tayari kwa biashara
  4. King Innocent

    Nyumba inahitajika Arusha mjini.

    Kwa mtu yeyote anayeuza nyumba yake iliyopo karibu na kanisa katoliki popote pale Arusha mjini tuwasiliane.
  5. King Innocent

    Mwanafunzi wa UDOM mwaka watatu ajinyonga akiwa zahanati ya chuo

    Mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika kitivo cha elimu, ndugu: Kura Kasenyi, BSC Ed mwenyeji wa Geita, ameaga dunia kwa kujinyonga jana saa 2 asubuhi, dispensary. Alifanya jaribio hilo tangu juzi chumbani kwake na jana ilikuwa mara ya pili. Inasemekana alikuwa na tatizo la akili na...
  6. King Innocent

    Mgomo wa wanafunzi UDOM waingia siku ya pili

    Licha ya jitihada zilizofanywa na naibu waziri wa afya na mkuu wa mkoa wa Dodoma kuwatuliza wanafunzi wa kitivo cha elimu wasigome na kwamba Serikali yao sikivu itafanya kila jitihada kuhakikisha wanapata fedha hizo kwa haraka, jitihada hizo hazijazaa matunda kwani wanafunzi walisisitiza...
  7. King Innocent

    kila la kheri kidato cha 6 katika mitihani yenu mnayoanza hapo kesho.

    Nawatakia mafanikio na ufaulu wa kuridhisha kwenye mitihani mnayoenda kufanya.pili nawapongeza sana kwa kumaliza vidato, hakika ilikuwa safari ndefu.
  8. King Innocent

    UDOM leo wanajaza form za vitambulisho vya taifa lakini form zaonyesha ni za mpiga kura

    Jana kulikuwa na matangazo kuwa wanafunzi wa UDOM kitivo cha elimu leo watajiandikishe ili wapate kitambulisho cha taifa, ajabu form walizopewa wanafunzi zinaonyesha ni form za mpigakura, Je! Vitambulisho vipya vya mpiga kura ndio kitakuwa kitambulisho kipya cha taifa? Na Je! Wale...
  9. King Innocent

    Kwa wapinzani kushinda uchaguzi mkuu 2015 sera ya jino kwa jino, jicho kwa jicho haie

    Kwa mda mrefu chama tawala kimekuwa kikishinda chaguzi mbalimbali kwa kutumia mbinu za kimafya. Nami na washauri wapinzani watumie mbinu hizo pamoja na za kwao kwenye uchaguzi ujao. Wakiiba kura nasi tuibe, wakitoa takrima kwa wasmamizi wa chaguzi nasi tutoe, wakigawa kanga na kofia nasi tugawe...
  10. King Innocent

    Picha zinatisha: Yanayotokea Kiteto yanadhihirisha Tanzania haina Serikali

    Mapigano bado yanaendelea kati ya wafugaji wakimasai na wakulima eneo la Matui, chanzo kugombea maeneo ya kilimo na ufugaji, naomba serikali ichukue hatua maana hali ni mbaya sana, hamna hata pilisi mmoja aliyeenda kutuliza gasia hizo, watu wengi wameshaanza kuyahama makazi yao kunusuru maisha...
  11. King Innocent

    Kulishawahi kutokea conflict yoyote kati ya Rwanda na Burundi?

    Na kama isha wahi kutokea nini chanzo cha ugomvi huo? Mi nachanganyikiwa watu wanasema Rwanda na Burundi walishapigana bt uki google hamna kitu kama hicho.
  12. King Innocent

    Raisi wa serkali ya wanafunzi udom (federal) achakuwa kikwazo kwa wanao dai haki zao

    Jana yalikuwa ya fanyike maandamano makubwa mkoa wa mwanza kushinikiza serkali iwalipe wanafunzi madai yao au kuharakisha asessment ili wanafunzi warudi makwao , lakini jambo lakushangaza umekuwa unatuma sms za vitisho na kusema atakaje andamana kitakachompata asilaumu, bwana Fred naomba...
  13. King Innocent

    Rock city, Mwanza: Siku tetemeko la ardhi likitokea kutakuwa na maafa yasiyoelezeka!

    Wiki iliyopita nilikuwa jijini mwanza, na nimara nyangu ya kwanza kufka katika mkoa huu, kilicho nishangaza ni watu wengi kujenga nyumba zao chini ya miamba, hi imenishangaza kuona mtu anajenga nyumba kwenye mawe yanayoninginia bila woga wowote wala kujali usalama wa mali na maisha yao, sijui...
  14. King Innocent

    Uhai wa CCM unategemea Ufisadi, Wizi, Ujangili, Wongo, Ufitini, Ukandamizaji na unafki

    Sababu hizi zinanifanya niamini hayo. 1, kutokuchukuliwa hatua yeyote mafisadi wa nchi hii, mfano wez wa Epa, na walioficha fedha uswis 2, majangili papa kuachwa bila kuchukuliwa hatua yeyote kisheria. 3, kukwamisha bunge la katiba na...
  15. King Innocent

    Ualimu ndio mama wataaluma zote duniani.

    Maendeleo ya nchi na jamii yeyote hutegemeana na kipaumbele katika taaluma ya ualimu. Hu ni ukweli usiokubalika kwa nchi nyingi za kiafrika lakini kwa nchi zilizo endelea kama Marekani na Uingereza moja ya fani inayothaminiwa sana ni fani ya ualimu na nifani ngumu sana kupata ajira ya...
  16. King Innocent

    Kwa wale wanaobeza mikutano ya m4c, tambueni shughuli ni watu

    Shughuli ni watu iwe harusi, msiba, ibada, siasa nk. Idadi ya watu katka shughuli yako nikipimo cha wewe kukubalika. Kumekuwepo na upotoshaji mkubwa hapa jamvini kuwa watu wanaofurika kwenye mikutano ya CHADEMA hawana impact yeyote kwa chama, kwa mawazo yangu njia ya mikutano ni bora kuliko...
  17. King Innocent

    Katika kata zote 27, wapi cdm inamvuto na wafuasi wengi?

    Na nikata ngapi chama kinatetea zisipotee?
  18. King Innocent

    Poleni wanachadema kwa maumivu,huwezi kutumbua jipu bila kubaki na maumivu lakini mtapona.

    Ungonjwa sugu huhtaji dawa ili kupöna tena nyingne ni chungu kupitiliza lakni mgonjwa hunabudi kunywa ili uweze kupöna, sakata la jana limeacha maumivu kwa wanachama wengi ikiwemo mimi , naamini chama kitapata misukosuko kidogo kwa mda lakini kitaendelea kuimarika.
  19. King Innocent

    Shikamoo pesa

    Wana siasa wana saliti vyama vyao kwa sababu yako, wapigakura wanarubuniwa ili wakupate , wanasiasa wanauwana na kudhuriana sababu yako pesa na hata haki imepotea. Pesa mbona unakuwa kikwazo cha mabadiliko nchini? Bila pesa hatuendelei lakini wewe umekuwa kinyume hapa Tz.
Back
Top Bottom