Search results

  1. B

    Siku ya tatu Jet Lumo hatupati maji ya Bomba

    Leo ni siku ya tatu jet Lumo hatupati maji ya Bomba. DAWASA mko wapi? Kwa nini maji hayatoki? Mbona hamjatupa taarifa kuwa mtakata maji? Kwa nini mnaichongea serikali ya CCM kwa wananchi? Mh. Mchengerwa hawa wanakuchezea usikubali hata kidogo.
  2. B

    Mpesa haifanyi kazi??

    Wadau, ninahangaika muda mrefu leo kufanya miamala ya mpesa lakini sifanikiwi?? Ni mimi tu au na nyie wenzangu?? Kulikoni???
  3. B

    Mzee Kinana mbona hujatuambia CCM inapata ruzuku kuiasi gani?

    Nimemsikiliza Mzee wangu Komredi Kinana eti akisema wamewapa ruzuku CHADEMA na kuwapakazia akataja na kiasi. MIMI nimuulize mzee wetu, je, CCM inapata ruzuku kiasi gani? Akisema au akitaja basi nawaambia wananchi watazirai siku hiyo! Maana ni pesa nyingi sana lakini hata haieleweki zinakwenda...
  4. B

    Serikali isiwachekee wanaohujumu juhudi za usambazaji wa mafuta

    Salaam wanabodi, Ndiyo, kumekuwako ukosefu wa mafuta katika baadhi ya vituo vya kuuzia mafuta nchini, ukifika hapo unaambiwa petrol imekwisha. Mtazamo wangu ni kuwa hawa wafanya biashara aidha wanakuwa wakisubiri bei kupanda au wanatengeneza uhitaji wa ziada kwa sababu wanazuia usambazaji na...
  5. B

    Magenge ya Radio FM (leo naanza na Radio Wachafu na Radio Mbinguni)

    Nasikitika kusema kuwa hizi radio zina magenge ya hao eti wanaitwa watangazaji , lakini kinachochoendelea huko ni kichefuchefu tupu. Asubuhi tu wakishaamka na kufika kwenye hayo magenge yao , utaskia 'Aloo vipi wewe ? umeoga kweli wewe ? Leo umelala wapi ? mbona unaonekana umechooooka sana ? au...
  6. B

    Vipindi ya redio kugubikwa na matangazo ya kamari ni sawa?

    Hii nchi sasa tunakoelekea mi naona siko! Takriban radio zote zinachezesha kamari na ukifuatilia muda mwingi wa vipindi, niseme tu asilimia kubwa ya muda wao maudhui ni kamari. Je, tunajenga taifa la namna gani? Je, Serikali imeangalia inakuwaje hizi radio zinaruhusiwa kucheza kamari toka...
  7. B

    TIMU YA WANANCHI

    Timu ya wanachi Nyasa Big Bullets kama inavoitwa Malawi ndio timu pendwa kuliko zote. Je nyau atapona leo ? tusubiri dakika 90.
  8. B

    RC Makala, Tunakujulisha kuwa fidia hazijalipwa Sinza

    Zile fidia ulizowaelekeza TARURA-DMDP Kinondoni kwa ajili ya wakazi wa Sinza wawe wamelipa mpakaJumatatu ilopita 31/5/21 mpaka leo hii hizo pesa za fidia hawajalipa. Mkuu fuatilia hawa watu hapa kuna sintofahamu kwa sababu taarifa tulizo pata ni kuwa zile pesa za fidia zilihamishwa toka...
  9. B

    Fidia Mto wa Mg'ombe. Je, pesa zimeliwa?

    Fidia imecheleweshwa sana na wananchi walishasaini zaidi ya mwezi ulishapita wakaahidiwa kulipwa ndani ya wiki mbili! Leo zaidi ya mwezi hawajalipwa ukiuliza ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa Kinondoni ambao ndo walifanya tathmini wanasema pesa walisha pelekewa TARURA-DMDP ili walipe wao...
Back
Top Bottom