Search results

  1. jiwe gizani

    Tatizo la mbwa kuishiwa nguvu miguuni linasababishwa na nini?

    Tatizo la mbwa kuishiwa nguvu miguuni na kubaki amelala tu linasababishwa na nini? Je matibabu yake ni nini?
  2. jiwe gizani

    Ushawahi kukutana na haka kamchezo?

    Tuwe makini
  3. jiwe gizani

    Michezo ya Olympic inaonyeshwa ??

    Ni chaneli gani zinazoonyesha michezo ya Olympic live?
  4. jiwe gizani

    Kama ushawahi kudate na huyu mkaachana jiandaee anawawinda ma ex wake na kuwaua

    Nimekutana na hii habari sehemu kuhusu huyu mwanamke police huko Kenya anaewawinda ma ex wake na kuwaua Kwasasa anatafutwa na police === In Sengre village, Kabondo Kasipul, Homa Bay County, the family of slain police constable John Ogweno is coming to terms with the death of their son. To...
  5. jiwe gizani

    Wanawake watakubali wanaume watakataa

    Hapo vepe
  6. jiwe gizani

    Naomba kujuzwa ukweli kuhusu kitabu cha Uchawi wa Mchungaji Stephano

    Kuna kitabu kimoja hivi kilitikisa sana miaka ya nyuma kinaelezea Uchawi wa Mchungaji Stephano, Wakuu hivi hii story ni ya kweli? Na huyo mchungaji alishawahi kuwepo?
  7. jiwe gizani

    Mpaka chuo kikuu lakini bado wanalia njaa na hawana kazi

    Aisee nipo mtaani na nakutana na washkaji kibao tu wenye degree zao wakilia njaa na wakilalamika kua hawana kazi na wamezunguka Sana kuzitafuta lakini hawazipati Sasa hivi ni kwanini wasomi wetu hawapati kazi na wamesona mpaka elimu ya juu? Huko kwenye mashirika na makampuni binafsi na ya...
  8. jiwe gizani

    Kwanini yai ukiliminya hivi halipasuki?

    Salaam wakuu, Mayai ni rahisi mno kupasuka lakini ni kwanini ukiliminya kwa mtindo huu [emoji116][emoji116] halipasuki?
  9. jiwe gizani

    Ni kwanini watoto wanaogopa sindano?

    Salaam wakuu, Watoto wengi wanaogopa Sana sindano na wengi wao hawajawahi hata kuchomwa hizo sindano zenyewe lakini wanaziogopa tu. Yaan unakuta ukiwatajia tu neno sindano wanaanza kulia na kukimbia kwa woga. Hivi ni kwanini?
  10. jiwe gizani

    Kitu gani kilikwamisha ndoto zako za kutoka kimpira?

    Salaam wakuu Binafsi mpira nilikua nacheza tuu na wakati huo sikujua kua mpira ni kazi na unawalipa watu..kwahiyo sikuupa muda wala nini... Mtaani Kuna watu wengi Sana waliokua na ndoto kua mpira utakuja kuwatoa siku moja Ila mwisho wa siku wakaachana na mpira wenyewe kutokana na changamoto...
  11. jiwe gizani

    Jambo gani uliwahi kudanganywa kwenye siku ya wajinga?

    Tarehe 1/4 kila mwaka huwa ni siku ya wajinga duniani Binafsi sijawahi kudanganywa kwenye hii siku maana kila anaetaka kuniingia/kunidanganya huwa namshtukia mapema sana na kumwambia kua leo ni sikuku ya wajinga kwahiyo sidanganyiki [emoji3] Vipi wewe ulishawahi kudanganywa siku ya...
  12. jiwe gizani

    Una-deal vipi na matapeli mtandaoni?

    Aisee Hawa watu wakuitwa matapeli wanakera sana. Wakipiga simu ukiwastukia wanaporomosha matusi yani hadi kwa wazazi wako wao wanatukana tu. Hivi haya makampuni ya simu yameshindwa kabisa kutulinda sisi wateja wao waaminifu dhidi ya hawa matapeli?
  13. jiwe gizani

    Nini maana ya EP?

    Salaaam wakuu Nimeona hili neno EP linatumiwa Sana na wasanii wa mziki....ni nini maana yake?
  14. jiwe gizani

    Ni zipi faida za bangi?

    Salaam wakuu Eti wakuu niliskia eti bangi inafukuza majini yaani majini yakiskia harufu ya bangi yanakimbia[emoji3] hivi ni kweli? Na bangi inasaidia nini mwilini? inauwezo wa kutibu magonjwa? Ni magonjwa gani hayo yanayotibiwa kwa kutumia bangi?
  15. jiwe gizani

    Ongezea zako: Timu ambazo ni ngumu kukuta mchezaji mweusi

    Italy Argentina Spain Iceland Croatia Turkey Ongezea zako
  16. jiwe gizani

    Una maoni gani kwenye hili?

    Ni sahihi au sio sahihi?
  17. jiwe gizani

    Msemo gani wa kiswahili unakukera?

    Aisee binafsi nakerwa sana na msemo Nyani haoni kundule Sababu: hilo neno kundule naona kama nimetukanwa vile [emoji2] Wewe ni msemo gani wa kiswahili una kukera? Na kwanini?
  18. jiwe gizani

    NATABIRI: Timu ya Taifa ya Ufaransa itakuwa bingwa kwenye mashindano haya ya EURO yanayotegemewa kuanza 11/6/2021

    Timu ya Taifa ya Ufaransa itakuwa bingwa kwenye mashindano haya ya EURO yanayotegemewa kuanza 11/6/2021 Binafsi sijaona timu yakumsumbua France wana kila aina ya mchezaji na wamekamilika kila idara
  19. jiwe gizani

    Ulishawahi kushuhudia au kukutokea?

    Binafsi sijawahi kukunjana na polic Ila nimeshawahi kushuhudia jamaa mmoja hivi mbavu kidogo akikunjana na polic Ila kwa bahati mbaya sikujua kisa na mwisho wa siku huyo polic alijitetea kwa kutumia miguu yake [emoji3][emoji3] Je ilishawahi kukutokea au ulishawahi kushuhudia raia na polic...
  20. jiwe gizani

    Je, tunaweza kuwa kama kunguru?

    Je, unaweza kua kama kunguru kwenye swala la mahusiano? Binafsi ziwezi aisee niwe tu mkweli [emoji3]
Back
Top Bottom