Search results

  1. Mwanza kwetu pia

    Kuuza mahindi ya njano kwa nchi ya Misri

    Habari zenu nyote, Bila kupoteza muda niende kwenye mada, miezi michache iliyopita nilisikia serikali ikisema ya kuwa nchi ya Misri inataka kuwa inanunua MAHINDI ya njano takriban tani milioni moja kwa mwaka toka Tanzania. Hivyo wizara ya kilimo ilijitokeza mbele ya wananchi na kuutangazia...
  2. Mwanza kwetu pia

    Naomba kujua ushuru wa chombo cha moto

    Habari zenu wadau, bila kupoteza mda naomba kujulishwa gharama za ushuru zinavyokuwa iwapo nitanunua gari au mashine kutoka kwa mtu nchini Kenya ambayo ni used ilikuwa inatumika na mkenya, ushuru unakuwaje mfano labda nimenunua gari milion 20 za kitanzania nchini Kenya na linatakiwa livuke mpaka...
  3. Mwanza kwetu pia

    Kodi ya pikipiki kwa bandarini ni asilimia ngapi?

    Habari za asubuhi nyote, Sina mengi ila nauliza ushuru wa pikipiki ni kiasi gani bandarini Kama ntasafirisha pikipiki toka China kwa gharama za ununuzi pamoja na usafiri kwa pamoja zimegota milioni 3 hadi kufika bandarini. Asanteni [emoji120]
  4. Mwanza kwetu pia

    #COVID19 Neno UVIKO-19 wamelipata wapi?

    Habari zenu wana Jamiiforums, poleni na majukumu ya kutwa nzima. Bila kupoteza muda, ugonjwa wa Corona baada ya kuonekana kutokuwa kwenye mjumuisho wa magonjwa hatari yanayotambulika na shirika la afya dunia yaani WHO, Hivyo WHO waliamua kuuingiza kwenye orodha ya magonjwa hatari na kuutafutia...
  5. Mwanza kwetu pia

    Natafuta mtu anayeweza kuwekeza kwa mtaji wa milioni 50 na kupata faida ya hadi milioni 70

    Ndugu wadau habari zenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Mimi nipo Geita najishughulisha na biashara ya madini ya dhahabu offisi ni ya watu so Mimi ni msimamizi na wakati mwingine natoa ushauri pale inapobidi, ili kazi iwe yenye tija zaidi. Kwa upande wangu huwa tu nalipwa...
Back
Top Bottom