Search results

  1. Mika_Graphix

    Je, unaifahamu Canva?

    Za asubuhi wanaJF. Leo ikiwa ni Jumanne tulivu, wanaJF wakitokea kwenye weekend ndefu kuanzia Jumamosi. Ninaanza kwa swali kama kichwa kinavyosema, Je unaifahamu CANVA? Share designs uliyotengeneza kwa kutumia hii software ya CANVA. Natumai kwa wale wote ambao hawaifahamu ni mwanzo mzuri wa...
  2. Mika_Graphix

    MSAADA: Tatizo ni meno kuwa na rangi nyeusi (Meno 🦷)

    HABARINI ZA WEEKEND WANA JF, Natumai mu buheri wa afya. Kwa Ufupi Mimi ni kijana wa kiume miaka 22. Ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimojawapo apa Tanzania. Nimeandika huu uzi kuomba msaada ni dawa gani nzuri ya meno au tiba ambayo itatumika kungarisha meno. Apa tatizo ni meno kuwa na rangi...
  3. Mika_Graphix

    Sabaya afanyiwa upasuaji wa kichwa

    Mawakili wa upande wa utetezi kwenye kesi namba mbili ya mwaka 2022, inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kuwa hali ya Sabaya ni mbaya baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa wa kichwa Julai 27,2022. Sabaya...
  4. Mika_Graphix

    Naomba kueleweshwa/kujuzwa juu ya hili

    Habari wanajamii, Nawasalimu kwa jina la jamhuri. Poleni na majukumu yenu ya kila siku. Niko mbele yenu kuwaomba ushauri ndugu zangu juu ya hili jamba kuhusu mkopo wa elimu ya juu. Mimi ni mnufaika wa mkopo wa elimu ya juu kwa mwaka 2021/22. Nlikuwa nauliza je, kama kwa mwaka wa kwanza wa...
  5. Mika_Graphix

    Bsc. Chemistry VS. Agriculture economic and banking.

    Habari wanajamii.Nimepata hizi kozi mbili nlikuwa naomba ushauri kwa wakuu zanguu ipi inalipa kati ya hizi mbilii. Mimi ni first year mtarajiwa. Nawasilisha.
  6. Mika_Graphix

    Bsc. Chemistry ni nzuri?

    Hellow wana jamii. Nilikuwa nauliza kwa upendo. Je! Bsc. Chemistry kwa hapa nchini(🇹🇿) ni nzuri na ina soko maana mimi ni first year mtarajiwa kusomea hii kozi.
  7. Mika_Graphix

    New member

    Hello JF.
Back
Top Bottom