Search results

  1. T

    Ukitaka kujua system ni hatari, angalia mdundo unaochezwa tokea kwa Mwingira, Jaji wa NEC na leo Ndugai na Rais Samia

    Kwakwel dipu steti ya bongo ni ushuzi wa amba ruti kama kazi zao ndio hiz..mavi kabisa
  2. T

    Boxing Day 2021: Kumbe Mwanamke akishalewa, usaliti ni nje nje!

    Uko kama mimi tu.Yan najua kabisa huyu mke au dem wa brother au dogo au mshkaji anapita hapa n mimi naenda hapo aisee haiwezekan..ya naona uchafu kabisaa tena ni kama unatembea na mwanaume mwenzako
  3. T

    EFM, imekuaje Scorpion (aliyemtoboa mtu macho) kuwa huru?

    Shetan tu hamkumuogopa ple Edeni mkapiga nae story fresh tu...ndio mtamuogopa scorpion!?
  4. T

    TANZIA Askofu Desmond Tutu afariki kuamkia leo akiwa na umri wa miaka 90

    "Hata kumbukwa" kwa mambo mengi.... Alloo hiki kiswahili chako mzee
  5. T

    Hivi mlenda una virutubisho vyovyote au watu wanakula ili wasife?

    Unaweza tumika pia kama KY...unamwagia mlenda pale kunako mwingine unapaka kwenye dushe kitu kina slide tuu
  6. T

    Geita Gold wanajenga uwanja wao bila michango ya mashabiki wake

    Ni kwasababu ni mdhamin wao.kwan simba na yanga hawana wadhamini?
  7. T

    Kutana na Luludiva; superstar anayeishi nyumba ya tope

    Acha kulia lia we master choko. Ungenijua usingenitolea vimifano vya kutishia nyau hivyo.Af sipendagi kujisifia shida maana zilishanipa funzo la kutosha..
  8. T

    Kutana na Luludiva; superstar anayeishi nyumba ya tope

    Kwan yumo humu?? Huu ujumbe mnapew nyie akina luku diva w JF.. Comment nyiingii na majisifu kibao ila kulala stoo
  9. T

    Kutana na Luludiva; superstar anayeishi nyumba ya tope

    Huna kwenu na upo jamii forum..utakua boya kabisaa
  10. T

    Kwa wale tulio onja bulgur, tubadilishane uzoefu

    Watoto wa jana watahis unaongelea BAGa
  11. T

    Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo

    Wanawake na wanaume decent wastaarabu waliolelewa na ku maintain maadil yao licha ya maisha kuwa harsh WAPO tena WAPO SANAAAA na bado watakuwepo mpaka dunia inaisha.....kwakifup WANAPATIKANA na WANAOA/WANAOLEWA daily. Mmeathirika sana na ukosefu wa maadil na watu wanaowazunguka na mnaojihsisha...
  12. T

    Uhusiano wako kazini utategemea na uwezo wako wa kutatua changamoto

    Nadhan wewe ndio unapaswa kuiona thaman yako kwanza kabla ya wengine..ukiishi kwa opinio za wengi utaish kitunwa sanaaa
  13. T

    Taaluma/Fani/Biashara zinazoenda kupungua na kufa miaka 20 ijayo

    Kwanza hata umeme wa mambo hayo uko wapi???Robot likikata power linakuacha unajifia hapo lenyewe limesizi theatre
  14. T

    Taaluma/Fani/Biashara zinazoenda kupungua na kufa miaka 20 ijayo

    Tena narudia BADO SANAAAAAAA.kwa hili naomba nikuunge mkono
  15. T

    Jamaa anamuoa mchumba wa rafiki yake kama mke wa pili

    Kujifanyaga marafiki mpaka mnaunganisha family affairs zenu na wake/waume zenu matokeo yake huwa ndio kama haya...Jifanyen wazungu tu..HAPA STORI TU, KULA KILA MTU KWAKE.
  16. T

    Je, Master J huwa anampiga Shaa?

    Acha kumuiga Smart Guy
  17. T

    Siku zote Java Script itaendelea kuwa lugha ya kipekee sana

    Umesomeka vyema kabisa. Swali la kizushi kidogo mkuu... Tumekua watumiaji /utilizers wazur sana wa hiz programming platforms/languages and their respective IDEs ili ku develop softwares... but i wondér how can someone develop these languages...yan uka develop your language, compilers, libraries...
Back
Top Bottom