Tangu jana mwekezaji wa Simba alipopost kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii kuwa amesikia kilio cha mashabiki wa Simba cha kutaka klabu yao iwe na uwanja wake wa kuchezea mechi za nyumbani na kuahidi kuchangia bilioni 2 kumeibuka mijadala kwenye redio na mitandao ya kijamii,kama ilivyo...
Watoto wa kiume wanapitia changamoto nyingi sana ,kama matumizi ya madawa ya kulevya,udhalilishaji wa kijinsia, uchaguzi wa marafiki wabaya, makundi maovu na nyingine nyingi.
Kitabu ni ebook bei 4000.
Simu na whatsapp 0756625286.
Kwa mfano nimeshtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumi,na jamhuri inajua kesi yangu si ya kuhujumu uchumi Ila wizi wa kawaida,Ila imeamua tu kunikomesha kwa sababu naisumbua tu serikali yao.
Hakimu kila akiangalia anaona hakuna mashtaka ya uhujumu uchumi, je mahakama ina mamlaka ya kubadilisha...
Leo jumatano ya tarehe 15 Septemba 2021 mwili wa Kapteni wa zamani wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) Zacharia Hans Poppe utapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele mjini Iringa mahali ambako pia baba yake Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi Hans Poppe alizikwa tarehe 26 Mei 1979.
Hans...
Elimu ni moja ya haki za msingi kwa kila mtoto wa Kitanzania bila kujali mtoto huyo ni mlemavu au la.Pamoja na sera na mikakati ya kutoa elimu bure kwa wanafunzi wa shule za msingi na wale wa kidato cha kwanza hadi cha nne lakini elimu inayotolewa kwa watoto walemavu hasa wale wa kuona,akili na...
Tanzania ni moja kati ya nchi masikini Duniani kwenye kundi hilo tupo na Burundi, Sudan Kusini, Niger, Msumbiji pamoja na nchi nyingine nyingi. Nchi hizi masikini Duniani zina sifa zinazofanana ambazo ni kama vile kuwa na vita, njaa, ufisadi, miundombinu mibovu, huduma mbaya za afya,elimu duni...
Mradi wa bwawa la kufua umeme wa maji la Julius Nyerere ulioko katika mto Rufiji unategemewa kukamilika juni 2022.Bwawa hilo linatarajiwa kuzalisha megawati 2115 ambazo zikichanganywa na megawati zilizopo zitaifanya Tanzania kuwa na umeme mwingi utakaotosheleza mahitaji ya ndani na ziada kuuzwa...
Amina (siyo jina halisi)mwanafunzi wa kidato cha tatu katika mojawapo ya shule za sekondari wilayani Kibaha mkoa wa Pwani kila siku anaamka saa 11 ili awahi kwenda shule,shule iliyopo umbali wa kilometa sita kutoka nyumbani kwao.Kila siku anaenda na kurudi kwa miguu, nyumbani hapati kifungua...
Asubuhi ya jumatatu ya tarehe 26 Julai 2021 ilinikuta nikiwa kwenye ufukwe wa Coco,macho yangu yalikuwa yanaitazama fukwe hiyo maarufu nchini huku upepo mkali ukivuma kutokea baharini,meli na boti zikikatiza nyingine zikitokea usawa wa bandari ya Dar es salaam na nyingine zikielekea, pia zipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.