Search results

  1. Bebz

    Nyimbo ya kudedicate kwa mpenzi

    :lol::lol: umenifanya nicheke kweli, we sema asante tu maana unaweza kutona na wewe dedication maneno mengine yaliyokuwa kwenye wimbo yakamkwaza bure ukaja hapa kufungua thread mpya.
  2. Bebz

    Wanaume na minywele

    ha ha haa.. what a messsage!! Wanaume, lenu hilo.
  3. Bebz

    Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

    Huyu mtu hajielewi, atakua ameshachanganywa na alikurupuka ndio wanaanza kuongea vitu kama hivyo. Viol kunywa maji baridi.
  4. Bebz

    Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

    Umeandika hii thread ukiwa umejifungia chumbani na unalia kwa kuachwa nini? Hivi bado unaishi kwenye karne gani vile? Endelea na mawazo yako mgando alafu tutakuja kukumbusha siku na hii thread yako.
  5. Bebz

    Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

    Dawa aende hospitali akafanyiwe chekup maana ugonjwa wake na mwingine ni tofauti, ukifuatilia ushauri hapo na pia azingatie usafishaji wake usiwe wa kupitiliza na pia kuna dawa ya kusafisha inaitwa Lactacyd ni nzuri unaweza pata pharmacy na pia inasaidia kutopata fangasi (as doctor prescribed)...
  6. Bebz

    Kukutana na Wazazi wa Mwanaume

    Hivi ukimwona kahaba utamjua? Acha ujinga,kama huwezi shauri ni vyema ukaa kimya na si kila sehemu ucomment na pia kama unastress kiivyo kunywa maji ya baridi yatakusaidia otherwise pita tu tutashukuru. Alafu mbona watu wengine wanacomment vizuri tu? Inakuaje mtu unakuwa na jazba na maneno...
  7. Bebz

    Kukutana na Wazazi wa Mwanaume

    This is such a good advice, thanks a lot Suprise.
  8. Bebz

    Kukutana na Wazazi wa Mwanaume

    Nilishamwambia kuhusu Plan B na aliniambia anayo nikamwambia then work on that alichonijibu ni "Plan B is to enforce plan A ambayo ni mimi" kama hapo utamjibuje sasa?
  9. Bebz

    Kukutana na Wazazi wa Mwanaume

    ni kweli, nikienda anaweza kuona nimemkubalia kitu ambacho si kweli
  10. Bebz

    Kukutana na Wazazi wa Mwanaume

    nimeandika kama yeye anavyoiweka.
  11. Bebz

    Kukutana na Wazazi wa Mwanaume

    Kitu nachodoubt ni kwamba anataka mambo yaende haraka mno na anapanga mambo ya ndoa kabla sijampa jibu hivi ni sahihi?
  12. Bebz

    Kukutana na Wazazi wa Mwanaume

    Uzi hapana hautakuwepo. Sema nadhani naogopa to fall kwa huyu kijana ni hilo tu sasa ukiniuliza sababu ndio ntakwambia sina.
  13. Bebz

    Kukutana na Wazazi wa Mwanaume

    SIo kila mtu huwa ana-anguka ovyo kwenye mapenzi kama ufikiriavyo. Mimi hunichukua hata mwaka kuja kumwambia mtu nampenda so sishangai kwa hilo. Pia ku-flirt is not my thing, life has more to offer than branches ya michepuko
  14. Bebz

    Kukutana na Wazazi wa Mwanaume

    MAra nyingi tunaongea maswala ya kazi,labda yeye kuna kitu kinamkwaza namshauri na wakati wa furaha huwa ananiambia na mimi nikisikia kukaa na kuongea na mtu huwa tunaongea na ananipa ushauri wake,nothing else Ngongo.
  15. Bebz

    Kukutana na Wazazi wa Mwanaume

    According to yeye atakuwa wazi kusema anavyojisikia lakini bado sijampa nafasi, ni hivyo tu.
  16. Bebz

    Kukutana na Wazazi wa Mwanaume

    Si mimi ninaejishikisha yeye ndio yuko tayari kusubiri sasa acha asubiri wakati naendelea kumchunguza. I wish angeandika barua maana ingetupwa tu nikasahau. Pia ushauri ndio kwenye maswala hayo manne chini.
  17. Bebz

    Kukutana na Wazazi wa Mwanaume

    Ndio hapo bado nahitaji ushauri.
  18. Bebz

    Kukutana na Wazazi wa Mwanaume

    Umenifanya nicheke. Kulala nae bado sana. Misosi hatuendi wote tunakutana tu sehemu hiyo yeye akiwa na wenzake na mimi nikiwa na rafiki zangu. Sijajua kama nampenda au la!
  19. Bebz

    Kukutana na Wazazi wa Mwanaume

    Habari wandugu, Wacha niende moja kwa moja kwenye mada. Weekend nilitoka na shemeji yenu kama kawaida na katika maongezi ya hapa na pale akaniambia kuwa wazazi wake watakua mjini karibuni na angependa kama ningeenda kuwasalimia. Sasa tatizo si kwamba ni vibaya kwenda kuwasalimia wazazi ila...
Back
Top Bottom