Search results

  1. W

    Yanga iachane na Propaganda

    Kusema kweli inatia aibu klabu kubwa kama Yanga kuwekeza muda na rasilimali kubwa kwenye propaganda za mitandaoni. Yanga inawatumia wale wanaojulikana kama wachambuzi kusambaza hizo propaganda. Badala ya kutumia fedha nyingi kwa hawa wachambuzi kuwasifia GSM wajikite kwenye kuweka mambo sawa...
  2. W

    Mjadala wa kujaza uwanja ufungwe rasmi

    Unajua mashabiki wa Utopolo wanapenda kushabikia mambo ya kiutopolo kama kujaza uwanja. Sasa Simba Leo tumefunga huo mjadala Kwa kujaza uwanja kabla ya saa nane mchana. Kudadadeki. Sasa hatutaki kujadili tena mada kama hizo tena. Tujadili Nani bingwa, Nani ana magoli mengi, nani anacheza...
  3. W

    Ubashiri: Rivers United vs Yanga

    Rivers United Vs Yanga Mchezo utapigwa kesho mida ya saa kumi na mbili jioni kwa saa za Afrika ya Mashariki. Hii ni mechi marudiano baada ya mechi ya kwanza iliyopigwa hapa Dar es Salaam. Utopolo walilala kwa goli moja bila majibu uwanjani Nyumbani. Tupia ubashiri wako hapa chini. Wangu Ni...
  4. W

    Amsha Amsha Simba Day mwaka huu si Mchezo

    Leo nilikua natembea mitaa mbali mbali ya jiji la Dar. Kusema ukweli mwaka huu amsha amsha huku mtaani si mchezo. Hongera kwa uongozi wa Simba kwa kujipanga safari hii maana Simba Day ni tamasha kubwa nchini. Kila Kona ni Simba Day. Natamani ifike hiyo tarehe 19 tukuburudike wana msimbazi...
  5. W

    Predictions: Yanga Vs Rivers United

    Haya sasa ile siku imefika tupia utabiri wako hapa. Utabiri Wangu Huu Hapa Yanga 0 Rivers United 2 Tiririka Mdau
  6. W

    Mashabiki wa Yanga nani kawaroga?

    Simba imezindua jezi kuelekea msimu mpya. Tuseme basi jezi za Yanga ni bora zaidi ya Simba. Halafu? Kwa miaka kadhaa Yanga wamekua wakijanasibu kuwa na jezi bora. Sasa tujiulize maswali, mbona matokeo ya uwanjani ni tofauti? Achana na hiyo, Simba anavuta Tzs 1 Bilioni kwa Mwaka kutoka kwa...
  7. W

    Maajabu ya Yanga SC

    Unaweka kambi Morocco bila mipango, unarudi nyumbani unacheza na Freinds Rangers kujifua na mechi ya ligi ya mabingwa. Hivi Nani kawaroga Utopolo? Anayewauzia hizi bangi viongozi wa Yanga, Mungu anawaona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. W

    Yanga Kwafukuta

    Yanga hali si shwari tena. Kambi mbili zinavutana. Upande huu ni uongozi uliochaguliwa na wanachama (Msolwa & Mwakalebela) Upande ule ni wa wadhamini GSM ( Engineer Hersi &Senzo) Upande wa wananchi wanahisi mamlaka yao yanapokwa kila kukicha. Sasa hivi mambo ya uendeshaji yanafanyika pale...
  9. W

    Mweee Senzo Ni CEO Wa Mpito Yanga SC

    Wadau muda si mrefu Yanga watamtangaz Mbatha Senzo kama Interim CEO wa Yanga. Hapa kuna maswali mengi ya kujiuliza. Kama CEO je ana report kwa Nani? Kama ana report kwa GSM, Kwani GSM ameshakabidhiwa klabu? Vipi kuhusu Nafasi ya Mwenyekiti wa Yanga? Natarajia klabu ya Yanga itatoa maelezo...
  10. W

    GSM anafanya atakalo Yanga

    Sasa ni rasmi klabu ya Yanga ipo mikononi mwa GSM na cha ajabu viongozi wako kimya kabisa. Hawa wote wameletwa na GSM 1. Engineer Hersi 2. Karibu Mkuu Haji Mfikirwa 3. CEO Senzo 4. Haji Manara Cha ajabu GSM yupo yanga kwa kofia mbili tu. kwanza kama mzalishaji na msambazaji wa jezi za Yanga...
  11. W

    Hongera Sana Madam CEO Barbra

    Hakika umekua msimu wa mafanikio kwa klabu yetu pendwa ya Simba chini ya uongozi wako Imara. Tadhmini ya Mafinikio 1) Usajili wa Didier Gomes. Hapa tulilamba dume. Sven alikua kocha mzuri ila kwa Didier Gomes hakika CEO Madam Barbra aliupiga mwingi sana. Gomez ni Master Technician kwenye soka...
  12. W

    Haji Manara ni kansa ndani ya Simba SC

    Baada ya kusikiliza clip ya Haji Manara ni dhahiri shahiri anajiona amekua mkubwa zaidi ya Simba. Uongozi wa Simba uchukue hatua haraka za kumuondoa kwa mustakbal wa klabu yetu pendwa. Anasahau hakuna branda ya Haji Manara Bali kuna brand ya Haji Manara wa Simba. Ukiondoa Simba hakuna Haji...
  13. W

    Nini kilimng’oa Abubakar Kunenge Ukuu wa Mkoa Dar es Salaam?

    Nawasalimu Kwa Jina La JMT. Katika teuzi mpya zilizofanywa na Mheshimiwa Raisi Mama Samia Suluhu Hassan ni kupangua safu za baadhi ya wakuu wa mikoa. Mabadiliko yaliyonistua ni kuondolewa kwa RC Abubakar Kunenge katika jiji hili la MaRaha. Jiji letu la Dar es Salaam. Hakuna ubishi RC wa Dar...
  14. W

    Ukaguzi wa mahesabu vilabu Vikuu

    Habari za asubuhi wakuu. Hivi kwa nini mkaguzi mkuu wa mahesabu ya Serekali (CAG) akagui mapato na matumizi ya vilabu vya soka hapa nchini hasa vile vyenye maslahi ya umma kama Simba, Yanga, Mbeya City na kadhalika. Ni haki ya mashabiki wa mpira kujua vilabu vyao vinaingiza mapato kiasi gani...
  15. W

    Dalili za jezi za Simba na Yanga

    Habari za mchana wadau wa Soka. Napata pilau langu hapa nikiandika uzi huu. Kwanza kabisa, pongezi kwa Simba kwa kuweka wazi kiasi itakachopokea kwenye mauzo ya Jezi kutoka kwa Vunja Bei Group. Mkataba Ni wa Tsh. 2 Bilioni kwa kipindi cha miaka miwili. Kwa maana nyingine ni Tsh. 1 Bilioni kwa...
  16. W

    Zitto Zuberi Kabwe nisikilize kwa makini

    Sikujui hunijui Ila nakufahamu kama mwanasiasa makini sana na ukiwa kwenye ubora wako Taifa litanufaika. Sasa nisikilize. Kuna dalili zote bado haujapona na majeraha ya kupoteza ubunge wako na unafanya juu na chini ubaki relevant kwenye medani za siasa. Shida ipo kwenye mbinu ama strategies...
  17. W

    Utabiri: UEFA Champions League Final itakuwa Chelsea 0-3 Man City

    Game itapigwa siku ya jumamosi tarehe 29/05/2021 ndani ya dimba la Estadio Do Dragao ndani ya nchi Ureno. Tupia utabiri wako hapa. Utabiri wangu. Chelsea 0 vs Man City 3 Either Players to Score. 1. Riyad Mahrez 2. Reuben Diaz Hapo vipi?
  18. W

    Nini kimempata Bilionea Mo Dewji?

    Kwanza niweke bayana mimi ni mshabiki (sio mpenzi) wa Simba Sports Club, mabingwa wa nchi. Kutokana na kushabikia klabu yetu pendwa, nimejikuta nikamfuatilia (follow) Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Bilionea Mo Dewji. Namfuatilia Twitter mpaka Instagram. Baada ya mechi ya Simba na Kaiser Chief...
  19. W

    Tanzania & Corona - Biashara ya Mabilioni

    Habari za jioni Wakuu. Kipyenga cha kuashiria mapambano dhidi ya Corona kimeshapigwa jana na ni suala la muda tu kabla ya hatua stahiki kuanza kuchukuliwa. Wenzetu walishaanza mapambano haya mapema sana walianza na hatua za kufunga mipaka, watu wakalazimishwa kuvaa barakoa , social distance...
Back
Top Bottom