Search results

  1. M

    HONGERA Mnadhimu TUNDU LISSU

    kweli lisu me nimekusikiliza kuanzia mwanzo hadi mwisho. we ni kiboko kwelikweli. naamini ukisimama hao viongozi wenu wanaanza kuhangaiika. wanaanza kujipanga jinsi ya kuwakanilize. ccm walevi wa madaraka
  2. M

    Safi! Mbunge wa Kigamboni - (CCM) kesha kinukisha!

    tatizo la wabongo ni hilo. kinachowafanya kuanza kumpigia debe mpoki nn? achen uzushi bungen co sehemu ya kuchekesha
  3. M

    CV ya Rose Kamili

    hafai huyu mama hatufai kabisaa
  4. M

    CV ya Rose Kamili

    huyu mama katumwa co bure
  5. M

    Ahsante Halima Mdee...

    watu wengne wangefurahi kuona zinapostiwa hints za ccm
  6. M

    Siku saba zilishaisha mnyika umewasilisha ushahidi??

    ndugu zangu hk chama hakifaii kabisa kuwepo.kimetuhadaa mda mrefu sana
  7. M

    Siku saba zilishaisha mnyika umewasilisha ushahidi??

    wahuni hao hawapendi kuambiwa ukweli.wanaanza kujitetea
  8. M

    Kwel nimeamini kikulacho kinguoni mwako..

    a pole ndugu haya mambo hutokea sana. mshukuru mungu yametokea kabla ya kuoana:A S cry:
  9. M

    Kwel nimeamini kikulacho kinguoni mwako..

    :A S-baby:pole ndugu,a nza upya ndio mchakato wenyewe huo.niafadhali kwako yametokea kabla hamjaoana,fikiria kama ingekua baada ya marriage?
Back
Top Bottom